Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,270
- 8,031
huyu Pinda kwa nini amewaahidi uongo???????? na apeleke hizo hizo laptop, hakusema desk top,hawa viongozi wa sisiem sifa zitawaua na ahadi hewa zao.
hapo ndipo najiuliza IQ level za wasomi wetu walio vyuo vikuu siku hizi, tena wasomi wa computer science! unashindwaje kujua au kutofautisha kuwa hapa mkuu amenena kweli au hapa anadanganya au anatafuta umaarufu tu na au anatudanganya? kweli CCM inayoshindwa hata kununua vifaa vya kuhudumia wamama wajawazito dispensaries inaweza kukununulia laptops ambazo kila moja thamani yake ni zaidi ya 1ml sh?
Hao wanafunzi wanastahili BAN!