Udom; dressing code imekaaje?

MAKOLE

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
618
280
Naomba kuwauliza wana JF mliopo hapo UDOM, jamaa mmoja amerudi home kufuata Pamba zake za Haiba na kushonesha Suruali za vitambaa fasta fasta, Jamaa hajawahi kumiliki suruali ya kitambaa then ni mwaka wa kwanza. Imekuaje huko kuhusu mavazi?
 
Mavazi ya staha yanatakiwa. Sijui nani aliwadanganya wanafunzi wa vyuo vikuu kwamba wanaweza kuvaa wanavyotaka...
 
Hapa unatakiwa udress acording na fani yako hauwezi kuwa teacher den unavaa modo,pensi,minisket,n.k kikubwa haiba hapa inamaksi zake ndo yalosemwa ndo maana akarudi tafuta nc dress
 
Kwa udom kama n mavazi mtanyooka tu.Hata madem hawaruhusiw kuvaa suruali hasa za kubana,ma men wale ma rastaman hawaruhusiw ni kunyoa tu,waulize watakwambia,hakuna cha pensi wala sandals wala ma chen ya shngon au kofia ama nguo zenye charter fulan hata sket fup ni marufuku!,CHEZEA MLACHA WEWE?Ukiingia kichwa kichwa utatoka kisogo sogo dogo.Take care.
 
mmmmh mbona hii sijaiona,madem wa COED wanavaa skin jeans,min nk ma men jinsi kama kawa labda kama unazungumzia mda wa vipindi peke yake ila wakati mwingine mbona watu wamejiachia
 
Naona sera iliyoasisiwa na SAUT inashika kasi, wasomi lazima waonyeshe ya kwamba wanajitambua kuanzia mwonekano wa mavazi.
 
DSM hata msichana akiamua kwenda na Bikini class 'All is well' twende kaz. Seriously dress code vyuoni kwa mtazamo wangu ni muhim
 
UDOM wanafuata sharia, chini ya Sheikh Mlacha, wanawake Hijab, wanaume Kanzu.
 
Hiyo nimeipenda labda heshima ya wasomi wetu hasa wa vyuo vikuu itarudi tena. Tunaomba vyuo vingine vya umma na vile vya watu binafsi(private) kuiga hilo.
 
hahahaaa asee mmewezwaje?kumbe hii kitu ipo adi chuo cha serikali?safi sana
 
Naona sera iliyoasisiwa na SAUT inashika kasi, wasomi lazima waonyeshe ya kwamba wanajitambua kuanzia mwonekano wa mavazi.

nashangaa mijitu inayozusha kuwa udom wanafwata sharia wakati saut ndo waloanzisha huo utaratibu.

Kuna watu wamejawa na chuki muda wote.
 
vaeni kwa heshima jamani hata kama ni jeans ivae tu poa siyo kama L.Wayne anapiga show ..hizi tabia zikiwa ni sehemu ya
 
Ni heshima kujistiri mwili wako, maana kuonesha maungo yako ni aibu kwa wanaokuona na hata kwa wazazi. Kikubwa zaidi ni mtu kujiheshimu mwenyewe na kutunza utu wake sio mpaka uwekewe sheria na vipingamizi kibao! Ahsante sana!
 
Yote kwa yote Mwalimu yake haiba, wasiponyooka tunarudisha sare kama jeshini, msingi na sekondari. Eti tunalamika watu wanavaa ovyo makazini na mitaani. wangefanya nini tofauti na walivyozoea chuo?
 
Asia Pacific .. kama Philippines wanavaa sare kama shule ya msingi! Msomi kujiheshimu muhimu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom