UDOM: Degree programmes ambazo zimeruhusiwa kufanya Practical Training na ambazo zimenyimwa

njoro

Senior Member
Dec 21, 2010
178
8
•DEGREE PROGAMMES AMBAZO ZIMERUHUSIWA KUFANYA FIELD PRACTICAL TRAINING MWAKA HUU KTK COLLEGE YA HUMANITIES AND SOCIAL SCIENCE YA UDOM:• Bachelor of Business Administration(BBA), Bachelor of Business Administration – BBA Evening• Bachelor of Commerce in Accounting - B.Com (AC)• Bachelor of Commerce in Finance - B.Com (FN)• Bachelor of Commerce in Human Resources Management - B.Com (HRM)• Bachelor of Commerce in Marketing - B.Com (MK)• Bachelor of Commerce in Small Business Entrepreneurship - B.Com (SBE) Bachelor of Arts in Kiswahili – BA (Kiswahili)]• Bachelor of Arts in History – BA (History)• Bachelor of Arts in Kiswahili Linguistics – BA (Kisw. Ling.)• Bachelor of Arts in Kiswahili Literature - BA (Kisw. Lit.)• Bachelor of Arts in English – BA (English)• Bachelor of Arts in French – BA (French)• Bachelor of Arts in Arabic – BA (Arabic)• Bachelor of Arts in Oriental Languages (Chinese) – BA. (Chinese)• Bachelor of Arts in Oriental Languages (Japanese) - BA. (Japanese)• Bachelor of Arts in Oriental Languages (Korean) - BA. (Korean)• Bachelor of Arts in Literature – BA (Lit.)• Bachelor of Arts in Tourism and Cultural Heritage – BA(TH).

AMBAZO ZIMENYIMWA FIELD PRACTICAL TRAINING:• Bachelor of Arts in Economics - BA (EC)• Bachelor o Arts in Economics and Sociology – BA (ES)• Bachelor of Arts in Public Administration - BA (PA)• Bachelor of Arts in Political Science and Public Administration - BA (PSPA)• Bachelor of Arts in Geography and Environmental Studies - BA (GE)• Bachelor of Arts in Sociology - BA (SO)• Bachelor of Arts in Environmental Economics and Policy - BA (EEP)• Bachelor of Arts in Project Planning, Management and Community Development - BA (PPM & CD)• Bachelor of Arts in Environmental Disaster Management - BA (EDM)• Bachelor of Arts in Development Studies - BA (DS
 
we wawapi umesahau degree programme yenye mvuto kuliko zote udom ambayo wanafunzi wake ndo tunatikisa chuo kizima b.a. Intenational relations au unawivu?
 
we wawapi umesahau degree programme yenye mvuto kuliko zote udom ambayo wanafunzi wake ndo tunatikisa chuo kizima b.a. Intenational relations au unawivu?
Jina tu ndio zuri,ila unajua ukimaliza chuo utafanya nini?
 
we wawapi umesahau degree programme yenye mvuto kuliko zote udom ambayo wanafunzi wake ndo tunatikisa chuo kizima b.a. Intenational relations au unawivu?
wewe ndio kilaaaza kweli,mnatikisa nini sasa makali*????ngoja uje ulimwenguni ndio utaelewa kua sometym ulichosomea hakisound,ndio mnavyojidanganya wanachuo?
 
nyie wawapi mnazani mimi mwenzenu poleni sanaa unazani nimekuja kusoma soma tu enhe? Ngoja nimalize ndo mtaona
 
Bachelor of Arts in Arabic – BA (Arabic)• Bachelor of Arts in Oriental Languages (Chinese) – BA. (Chinese)• Bachelor of Arts in Oriental Languages (Japanese) - BA. (Japanese)• Bachelor of Arts in Oriental Languages (Korean) - BA. (Korean)•

Duh.. mambo ya kuiga haya. Hizi lugha za kiajabuajabu kwa gharama zetu? nani atawaajiri hawa..?
 
...hivi hizi Degree eg. Bachelor - Chinese language huwa zinabuniwa na watu timamu kweli???? Nina mashaka na IQ ya wanaobuni na wanaosoma!!!!

....hivi kabla ya kujiunga, huwa mnajiuliza nini kinafuata baada ya kumaliza chuo??? Nina mashaka sana....
 
...hivi hizi Degree eg. Bachelor - Chinese language huwa zinabuniwa na watu timamu kweli???? Nina mashaka na IQ ya wanaobuni na wanaosoma!!!!....hivi kabla ya kujiunga, huwa mnajiuliza nini kinafuata baada ya kumaliza chuo??? Nina mashaka sana....
c ndo kusoma kwa mkumbo huko mkuu,alafu unamkuta m2 kama huyo anamdharau mwenzie anaesoma education,we ngoja wamalze waingie kitaa ndo watapenda wenyewe.
 
Natural science pia hawaendi field na muda huu wako barabarani na mabango yao. Ilikuaje dean of faculty awape barua za kutafuta taasisi za kwenda kufanyia halafu waje wawageuke? Huu ni uzezeta! Hapo hadi kieleweke, kazeni buti wadogo zangu, haki ni yenu.
 
...hivi hizi Degree eg. Bachelor - Chinese language huwa zinabuniwa na watu timamu kweli???? Nina mashaka na IQ ya wanaobuni na wanaosoma!!!!

....hivi kabla ya kujiunga, huwa mnajiuliza nini kinafuata baada ya kumaliza chuo??? Nina mashaka sana....

tatizo lenu wabongo ndio hili .. mnataka kusikia majors ambazo mmezoea kusikia ... kitu kipya ndio kupiga hatua mbele , kuna umuhimu mkubwa sana wa kujua hizo lugha katika ulimwengu wa sasa... siku za nyuma ilikuwa ni english pekee sababu ndio mataifa yaliyokuwa yameendelea... mchina anakuja juu kiamaendeleo na ni muhimu kujua lugha ili tuje tupate ile mutual benefit .

kubali mabadiliko mkuu! ...
 
nyie wawapi mnazani mimi mwenzenu poleni sanaa unazani nimekuja kusoma soma tu enhe? Ngoja nimalize ndo mtaona
walikuwepo wengi tu waqkati tunasoma nasio udom saizi wanamwaka wa tano hakijaeleweka,hatushangai mpowengi tu vyuoni utakapoingia kwenye panel ukakuta imeshiba ndio utajua maana ya kukomaa umesoma unamtisha nani kama unauhakika na unachokifanya wapo wengi tu vyuoni mara ooh nimeambiwa nipeleke cheti tu hakuna llte wako mtaani mpaka leo omba mungu usije nikakuinterview utajiona fake,ukikaa na vijana wa sekondari ndio uwatishie lakini sio humu jf,umesoma bado unahitaji kubebwa ili upate kazi?kazi pata kwa vigezo na maamuzi yako yataheshimika ktk ofisi,sio mambo ya kuongea humu,ngoja karibu kwenye labour markt uone shughuri
 
we wawapi umesahau degree programme yenye mvuto kuliko zote udom ambayo wanafunzi wake ndo tunatikisa chuo kizima b.a. Intenational relations au unawivu?

Huyu hajui anasoma nini na kwa ajili ya nini katika soko la Tanzania. Ukweli ataujua baada ya kuingia rasmi katika soko, nadhani kauli yake ataiona ni chungu. Wengi huingia katika mkumbo wa kusoma kozi kwa kufuata utamu na mvuto wa jina. Kwa taarifa tuu, UDOM ina degree programmes nyingi ambazo hazipo market related. Acha utoto
 
[QUOTE=bushman;2094604]walikuwepo wengi tu waqkati tunasoma nasio udom saizi wanamwaka wa tano hakijaeleweka,hatushangai mpowengi tu vyuoni utakapoingia kwenye panel ukakuta imeshiba ndio utajua maana ya kukomaa umesoma unamtisha nani kama unauhakika na unachokifanya wapo wengi tu vyuoni mara ooh nimeambiwa nipeleke cheti tu hakuna llte wako mtaani mpaka leo omba mungu usije nikakuinterview utajiona fake,ukikaa na vijana wa sekondari ndio uwatishie lakini sio humu jf,umesoma bado unahitaji kubebwa ili upate kazi?kazi pata kwa vigezo na maamuzi yako yataheshimika ktk ofisi,sio mambo ya kuongea humu,ngoja karibu kwenye labour markt uone shughuri[/QUOTE]

Bushman:
Huyu kijana hajakomaa kimawazo. Kuna mtu kamdanganya naye kadanyika kweli. Any way akipita kwenye anga za usakanyoka wa kutafuta ajira ndipo atakapo lia na kusaga meno. Lakin pia inafaa watu kama hao wawepo ili wengine wapate machungu ya kupiga msuli wa nguvu. Anadhani kubebwa ni dili bila kujua that is life long enslavement. Msaidieni huyo kijana kwa kuwa anahitaji kubadili mtazamo wake.
 
we wawapi umesahau degree programme yenye mvuto kuliko zote udom ambayo wanafunzi wake ndo tunatikisa chuo kizima b.a. Intenational relations au unawivu?
Dah! thread ya kwanza kuisoma asbh hii halaf nakutana na 'wazo mgando', halaf dogo inaonekana ndo wale sijui mjomba 'angu yuko ikulu, baba balozi n.k...kua kielimu bana!
 
Wote chai tupo, mlikosa vyuo vya kusoma hadi mkaamua kwenda chuo cha KATA, haya sasa rudini makwenu mkajipange upya . . .
 
Nashauri wanafunzi waende filed kutokana na ukweli kuwa watakapo hitajika kwa interviews huwa tunapenda kuona wana uzoefu gani
 
Daaah hii post ni ya siku mingi saana mwaka 2011 nlikuwa kidato cha kwanza nilikuwa sielewi maana yake ila now nipo chuo mwaka wa kwanza nilishauriwa sana nisiichague hii international relations
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom