UDOM chuo kinachozoa zoa

mpiga era

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
2,079
2,255
Miongoni mwa vyuo vya zoa zoa ni Dodoma hiki chuo kinamambo ya ajabu sana
Yaani kweli divisheni four mtu anasoma university
Au ndo maana wanakiita cha kata
 
Itakuwa limezolewa Hilo Taahira kwanza kwa mwandiko wake tu inaonesha linuka JASHO halinahoja Shida sana hii jaman
 
mbona wengi tuu si udom pekee yake rejea vitabu vya tcu walivo dahili mwaka 2014,2015 mbona principal ni D na wengi wapo vyuoni.......
 
Kama wapo wenye four wakachaguliwa kweli degree pia inawahusu hao hao TCU/NACTE, we hutakiwi kuboreka kiasi iko
Sijaboreka ila kama msomi Nina haki ya kulijadili
Kwani vyuo vingine mbona vinachukua cream

Why udom??
 
Atakama kila MTU anauhuru was kutoa mtazamo wake juu ya jambo flank we wako umezidi ni pumba tupuu
UDOM kama huipendi kaa kmya

#NI mtazamo tuu
 
Tanzania na baadhi ya nchi za Africa ndio tuna complicate elimu kea wenzetu kuingia university ni just principal pass kwenye relevant subjects tu.
 
Miongoni mwa vyuo vya ZOA ZOA ni Dodoma hiki chuo kinamambo ya ajabu sana
Yaani kweli div four MTU anasoma university
Pumbafu kabisa ndo maana wanakiita cha kata

Dogo unaujua mchakato unaofuatwa mpaka mwanafunzi kuchaguliwa chuo fulani chini ya TCU na NACTE?

Kama unaujua basi jitathmini upya uone anayempa sifa mtu wa division 4 kuingia chuo kikuu ni nani kati ya chuo husika na TCU
 
Kwani zamani mbona ulikua hivyo hivyo TCU walipokuwa wanapewa cutoff za chuo cha Dodoma kwa ajili ya kudahili wanafunzi
 
Miongoni mwa vyuo vya ZOA ZOA ni Dodoma hiki chuo kinamambo ya ajabu sana
Yaani kweli div four MTU anasoma university
Au ndo maana wanakiita cha kata
Hivi na wewe unajihesabu umesoma kwa mwandiko huo....jichunguze wewe kwanza kabla ya kumuangalia mwenzako...hicho chuo ulicho somea wewe(kama kweli umesoma) kinatakiwa kuchunguzwa
 
Miongoni mwa vyuo vya ZOA ZOA ni Dodoma hiki chuo kinamambo ya ajabu sana
Yaani kweli div four MTU anasoma university
Au kabisa ndo maana wanakiita cha kata

Nimependa uzi wako kwani unaonyesha jinsi tunavyo angalia mambo kwa dhana tofauti. Udahili Tanzania unakuwa regulated na TCU na wao ndio wanaoweka ufaulu wa chini unaokubalika sio UDOM inayofanya hicho wala si chuo kingine chochote. Kama una point 4 kwenye masomo mawili na nafasi ipo kwa nini UDOM wasikuchukue? Pia wanapochikua hawaangalii kama una division gani wanaangalia kama una point ngapi na kutokana na program umefaulu masomo gani.

Unashindwa kuelewa mtanzania anaetaka au anaefurahia vijana wenye sifa wasidahiliwe vyuo vikuu halafu kila siku tuna lalamika nchi jirani zina udahili mkubwa. Division 4 kusoma university kuna tatizo gani-inategemea anachukua nini (kuna course fupi, kuna certificates)-issue sio kusoma university bali anasomea nini na level gani.
 
Hoja dhaifu
 
Back
Top Bottom