Udom chumvi zamwagwa milangoni na kwenye corridor jengo kuu la utawala..........

bushman

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,411
743
Jengo kuu la utawala udom wafanyakazi wake wamekutwa na sintofahamu,baada ya chumvi ya kuweka kwenye mboga kumwagwa milangoni na kwenye makorridor huku kukiwekwa alama ya msalaba,haijulikani ni ushirikina au watu kujiimarisha kimadaraka.nina maswali mengi sana nimejiuliza kama ifuatavyo,,,,,,,,,

1.chumvi ya kuweka kwenye mboga inamwagwa ofisini ili iwe nini?
2.je udom ni tasisi ya elimu ya juu ambayo inaongozwa na proffessionalism au ushirikina?
3.nini hatma ya taasisi hii ya umma kwa siku zijazo?

Tujadili
 
MMM hiyo ni mikwala ya wanafunzi tu..Hasa kipindi hiki cha mitihani na matokeo uwakuna vitu vingi sana wanafunzi wanabuni kuwatisha maprof na MaDr.
 
Watu wantetea vti vyao wamestaafu lkn hatujaona wakenda lkizo lakustafu wanpeta tu na vais chance na wengne wanatisha wa2 waogope labda kwa mengi wayatendayo daile kwa wafanyakzi na wanafnzi. CHEO BWANA hawakmbuki ipo siku tu itafka na watashangaa maisha yao
 
inatia kinyaa sana tasisi ya elimu ya juu,kufanya mambo ya kishirikina kwani muda wa kustaafu kisheria hawaujui?Na jammaa wamekaa kutisha wafanyakazi chuo kinaendeshwa kama cha mtu fulani vile! nini hatma ya elimu yetu TANZANIA!
 
MBONA WACHANGIAJI WENZANGU MBONA MNASHAMBULIA WATU/MTU KULIKO KUJADILI TUKIO!? NJOONI TUIJADILI HOJA/TUKIO NA SI KUSHAMBULIA M/WATU ( ad hominem).
 
Na bado acha wakome hao wanao waonea wenzao. Hadi kieleweke hapo iwe kwa ndumba au chochote, ili mradi punda aufikishe mzigo
 
Jengo kuu la utawala udom wafanyakazi wake wamekutwa na sintofahamu,baada ya chumvi ya kuweka kwenye mboga kumwagwa milangoni na kwenye makorridor huku kukiwekwa alama ya msalaba,haijulikani ni ushirikina au watu kujiimarisha kimadaraka.nina maswali mengi sana nimejiuliza kama ifuatavyo,,,,,,,,,

1.chumvi ya kuweka kwenye mboga inamwagwa ofisini ili iwe nini?
2.je udom ni tasisi ya elimu ya juu ambayo inaongozwa na proffessionalism au ushirikina?
3.nini hatma ya taasisi hii ya umma kwa siku zijazo?

Tujadili

Miafrika Ndivyo Ilivyo - Nyani Ngabu
 
Una uhakika gani kama chumvi imemwaga? Je kama ilimwagika? Na kwanini uhusishe chumvi na ushirikina kama wewe c Mshirikna?

Hapa hakuna cha kujadili.
 
Mambo hayo!! Ukiona vya elea ujue vimeundwa! Yawezekana ndo maana watawala wa pale kiburi na dharau vimewazidi!
 
sio chunvi ni poronium 210
fanyeni mzaha muone maajabu yake kama kunyonyoa nywele na kumgeuza mtu kuwa kikaragosi..au kinyago cha mpapule..shauli yenu.
 
Back
Top Bottom