Udom boom latema...Hooray!!

Omari Issa

Senior Member
Jul 26, 2012
168
45
Boom latema, juzi humanities na social science,jana education,informatics,na natural&earth sciences leo wote tunafurahi
 
Boom latema, juzi humanities na social science,jana education,informatics,na natural&earth sciences leo wote tunafurahi
NAKUTAKIA MATUMIZI YENYE NIDHAMU KWENYE HILI BOOM LAKO ULIzOPEWA ,BIDII YA MASOMO ONGEZA HIZO PESA ZISIKUPE KIWEWE CHA KUKUFANYA USHINDWE KUSOMA
 
Boom latema, juzi humanities na social science,jana education,informatics,na natural&earth sciences leo wote tunafurahi

Issa taarifa hizo umetoa wapi??
ni kweli boom limeingia lakini sio kama ulivyo elezea humanity wamepata toka Juma nne, social Juma tano, Informatics sifahamu kama wamepewa, education wamepewa alhamisi ijumaa sizani kama kunawatu walipewa pesa, na kuhusu Earth science bado hatujapewa mpaka sasa labda wiki ijayo,
 
Boom latema, juzi humanities na social science,jana education,informatics,na natural&earth sciences leo wote tunafurahi

Nikipiga picha ya pale 84, Kilimani kote naona kama hapatoshi na hivi waheshimiwa wetu wameshaanza kutinga huko basi watajazia tu kwenye kibaba pale palipopungua kwa dada zetu. Kunywa, kula, kunya ila usifanye fujo.
 
Jamani lipoooo, mimi nina siku ya 5 toka nichukue, tena nime2mia sana kwny Str8 Music. Sa hv nipo mweupeeeee.........
 
Jamani lipoooo, mimi nina siku ya 5 toka nichukue, tena nime2mia sana kwny Str8 Music. Sa hv nipo mweupeeeee.........

hongera mkuu, me naomba niwe wa mwisho ili nilifaidi bila bugdha maana saivi naona watu wanaparangana kwenye hiace
 
info hakuna vp huko,na mbn hata wa xocial,edu wanaxema bado.

humanity wamepewa toka j3 last week, social wamepewa j5, na education wamepewa alhamis wengine sifahamu wamepewa au la ila CoES bado kabisa, but nmeongea na waziri wa Mikopo CoES kasema leo asubuhi wamepeleka pay banks so kilicho baki ni kuseed pay kene accounts, Waziri wenu anasemaje kwani?
 
madent bana yaani mkipata boom mnakuja kutupa taarifa humu
wenzenu mizinga haitafunction,maana taarifa tunayo tayari lol!
 
Back
Top Bottom