UDOM Bado sana wakuu!!!! Hebu soma hii discussion facebook.

NOT FOUND

Senior Member
Mar 14, 2011
158
59
wana UDOM chuo chetu kinavituko haswaaaaa cheti changu picha ya mwingine..... kweli waungwana tutafika

  • 431723_331978276843940_100000953127978_879742_394277672_n.jpg


    Friday at 12:28pm
      • xxx ha ha ha changu kiliandikwa lower secnd na ni upper second ila jna lngu na gpa iasoma soo nukabeba ha ha ha haFriday at 12:32pm · Like
      • xxx kama ni wizi ulitaka kufanyika jaribu kitoa ONYO !! coz hii ni aibuFriday at 12:32pm · Like
      • xxx nimewaachia walekebishe ila inaboa sanaFriday at 12:34pm · Like
      • xxx mwajuma msangi chake kiliandikwa jina la mwanaumeFriday at 12:36pm · Like
      • xxx bola jina utasema typing error bt picture iyo sooo wanataka kunichakachuaFriday at 12:38pm · Like
      • xxx changu kiliandikwa male badala ya female. hawako seriousFriday at 12:44pm via mobile · Like
      • xxx ahhhh so ukafanyaje?Friday at 12:46pm · Like
      • xxx nimekiacha walidai watarekebisha na sijui lini!Friday at 12:47pm via mobile · Like
      • xxx DAH, MMENISTUA NGOJA NA MI NIFATILIE CHANGU WAWEZA KUTA KIMEANDIKWA " NOT RECOGNIZED"Friday at 12:48pm · Like
      • xxx haha haha kila mtu na bahati yake kaka usiogopeFriday at 12:49pm · Like
      • xxx DU.. NSHA OGOPA ASEE.. MARCH HUYOO UDOMFriday at 12:50pm · Like
      • xxx unaweza kuta ukapewa cha masterz au postFriday at 12:52pm · Unlike ·
        drP8vlvSl_8.gif
        2
      • xxx Mi chet changu matokeo ya mtu wa EduFriday at 12:55pm via mobile · Like
      • xxx ahhhh hiyo kali kakaFriday at 12:56pm · Like
      • xxx wakinipa cha masterz sitawaka.. ntaondoka taratiibu back homFriday at 1:03pm · Like
      • xxx sawa na ukikuta certficate utasepaFriday at 1:04pm · Like
      • xxx we we weee.. certificate ntawaka kuliko hata wangekosea jina!Friday at 1:14pm · Like
      • xxx HAYA BABA TUSUBIRI TUONEFriday at 1:20pm · Like
      • xxx Watu wa info nasikia wengine wamewekewa wamesoma international relations kama moja ya course, kweli kale kajina wanakotumia haters kanakistahili hiki chuo hahaaa.Friday at 1:30pm · Like
      • xxx cha kata mi nimethibitisha hilo anaebisha kazoea ubishiFriday at 1:47pm · Unlike ·
        drP8vlvSl_8.gif
        1
      • xxx Jamani mbona mnanitisha je sisi si ndo itakuwa balaa.Friday at 2:51pm via mobile · Like
      • xxx usiogopeFriday at 2:56pm · Like
      • xxx Chakwangu nimechanganyiwa na course za PSPA wakati mi SOCIOLOGY halafu makarai.Friday at 6:48pm via mobile · Like
      • xxx kuweni wavumilivuYesterday at 12:29am · Like
      • xxx MIMI MWENYEWE WALINIWEKEA KOZI AMBAYO SIKUWAHI KUISOMA.PALEU UDOM NI POLITIKI TUYesterday at 10:16am · Like
      • xxx Kama ulipopikwa kitaaluma ni politics tuuu wewee zao lao c ndio politcs zaid had balaaaaaaaaaaa.................................Yesterday at 11:55am · Like
      • xxx chuo cha kisiasa kileYesterday at 1:58pm · Like
      • xxx Nami changu kiliwekwa picha ya mtu wa Education, ila infos zote ni zangu. Nilijaribu kufuatilia chanzo cha makosa hayo, & taarifa za kutoka kwa baadhi ya Adm staff, ni kuwa chanzo cha hayo yote ni yule mama wa Admision "mama mwaipyana" mana...See More
        KAAAZI KWERIO KWERI

N.B: Hizo xxx ni majina ya wachangiaji
 
chuo cha kata. Mwl mmoja toka UDOM huku kazini anaambiwa happy b'day na dent akajibu, same to you!
 
chuo cha kata. Mwl mmoja toka udom huku kazini anaambiwa happy b'day na dent akajibu, same to you!

kwa hapo unatudanganya bwana mdogo.
Kwa mujibu wa dada mmoja humu j.f maarufu kama r.s inasemekana mkuu wa kaya ndo alijibu hivyo.
 
Tunaelekea wapi jamani! Si ndiyo mambo ya kukatwa mguu badala ya kidole?
 
si uzembe kwa chuo tu-hata hao wanafunzi wenyewe vichwani wamechanganywa hivyo hivyo,hawajielewi tu
 
safari bado ni ndefu

Haya ndio yanayonitia mashaka kule Zanzibar. Inapolazimu Ilani ya chama A itekelezwe kwa mtindo wa chama B ndio matokeo yake. Wazo la kujenga kile chuo lilikuwa la CDM lkn CCM wakakurupuka nalo na matokeo yake ndio hayo. Chuo Kikuu chenye standard ya shule ya kata.

Na walivyo hawana aibu, wanaandaa mchakato wa kudhibiti kiwango cha elimu ktk vyuo binafsi vya elimu ya juu huku cha kwao wenyewe (serikali) kina watumishi ambao hawajui hata Mwajuma hawezi kuwa mwanaume, zis iz wandaful
 
Be serious bana, mbona hiyo ni trnscript na kwa kawaida popote pale hata UD transcript unapewa ukague kama kuna makosa ili irekebishwe upewe iliyo complete!!!. Cheti (certificate) hutolewa baada ya transcript kuwa imetengenezwa kwa usahihi na kinatengenezwa kutokana na transcript details. Ni errors za kawaida, don't discredit your University that much.
 
Watafika tu.... Hizo ni baby steps.... wanaanza kwanza kwa kutambaa....
 
Watawala wakiacha siasa zao ndani ya udom na taaluma kuchukua nafasi yake,Hope udom itafanya vema kuliko hivi sasa na changamoto kama hizo zilizotolewa zitafika kikomo wakijizatiti kwa kuajiri wataalam zaidi,coz hata vyuo vingine matatizo kama hayo hujitokeza lkn si kwa kiwango kikubwa kiasi hicho.
 
Chuo cha udom kweli kna chalenges bt sioni 7bu ya kukidiscredit kias hicho, hata udsm kilianza hvo!wachangiaj pia ni polticians ktk hli!mi npo udom,bt naona changamoto zpo kla mahali na wa2 wactegmee udom iwe ka harvad kwa mda mfupi!2subir afta 10-20 yrs!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom