Habari za shughuli wana jf.Kuna kijana mmoja mkazi wa Kigoma amenitumia sms alitaka kujua je admission letters kwa undergraduate 2011/2012 udom zimeshatoka, na kama tayari je utaratibu wa kuzipata atatumiwa au inabidi atoke kigoma kuzifuata kwa mwenye taarifa tunaomba amjuze, nimecheki kwenye website yao hakuna taarifa zozote.kila la kheri.