Elections 2010 Udiwani = manzese,tandale,kijitonyama kisiwani,mwanayamala

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,697
8,843
Manzese = Chadema - CCM Chali

Tandale = CUF - Retained

Kijitonyama Kisiwani = Chadema - Retained

Mwananyamala = CUF - CCM Chali.

Nimeongea na wakala wa Chadema Kijitonyama Kisiwani amenipa hiyo taharifa yupo njiani saa hizi kwenye saannne amenihaidi kunipa matokeo in figures.
 
Asante kwa update, usingizi umekauka automatically, we are tuned, when you have the figures put them here.
 
Back
Top Bottom