Udini waingilia Rasmi kampeni Igunga

Tunaomba ccm ife kivyake isife na Tanzania yetu.Kwani vyama vitapita lkn Tanzania itabaki.Hivi itakuwaje kama viongozi wa kikristo nao wakitoa muongozo wa kupiga kura kwa waumini wao? Kila mpenda umoja na amani anatakiwa aiche ccm ife kibudu mwisho wake umewadia!
 
Tunaomba ccm ife kivyake isife na Tanzania yetu.Kwani vyama vitapita lkn Tanzania itabaki.Hivi itakuwaje kama viongozi wa kikristo nao wakitoa muongozo wa kupiga kura kwa waumini wao? Kila mpenda umoja na amani anatakiwa aiche ccm ife kibudu mwisho wake umewadia!
 
aise wajemen hali siyo nzur basi kikwete akeme matamko kama hayo ambayo yanaweza kuja kutugawa sisi watanzania kama raisi

Poti mbona unataka kuchekesha watu waliofiwa. Umesahau kwamba kikwete ndiye muasisi wa hoja ya udini? Sasa atapata wapi nguvu za kukemea?
 
Mkimaliza kuwatetea ccm jiandaeni kwa maandamano ya mahakama ya kadhi. Kuchumia tumbo taabu jamani, unaweza ambiwa 'mtukane mama yako' ukamtukana.
 
Walichokifanya Bakwata au
sijui shuura wa maimamu siyo
kosa tatizo lao kubwa ni
kwamba hawako consistenly
hilo ndio tatizo
lao kwamba wanachagua matukio. kwa maoni yangu
binafsi bakwata au basuta au
hata maimamu wanatakiwa
kukemea kila unyama
mbaya wowote anaofanyiwa
binadamu yeyote yule regardless ya dini/rangi/
kabila/jinsia ya mhusika.
bakwata inabidi wasione haya
kujifunza kutoka kwa
watanzania wa kawaida
ambapo akimuona mtu amepigwa na majambazi au
amefanyiwa unyama wa aina
yeyote humuulizi dini yake
kwanza utamsaidia kadri ya
uwezo wako regardless
mhusika ni dini gani.then mambo mengine sensitive kama ugoni,then hawatoi kauli,duu hii kali jaman!
 
..ni wapi kwny vitabu vitakatifu vya imani zetu panasema Mungu atahukumu taasisi au kundi la watu..?nisaidieni jamani, kwa nini waislamu wanahukumu taasisi ilhali kitendo kimefanywa na mtu au watu! ningewasifu km wangefanya juhudi za kuwapata waliomkamata DC na kumvua hijab ili wawasaidie kujua umuhimu wa vazi hilo na si kushutumu chama!

VIVA SALMAN RUSHDIE!!!!!!

nimekikosa kitufe cha like, ningekibofya, sentesi yako ya mwisho akitokea muislam mwanazuoni akaielewa anawajibika kupitia umma wa waislam, kuyathibitisha au kuyakanusha maneno/maandiko ya salman rushdie, wanaonekana kuwa tayari kumtumikia shetani zaidi kuliko mungu. baadhi ya masheikhe ni dhalili.
 
Limekaa kisiasa zaidi,ila cdm wajaribu kutoa elimu kwa wabunge wao ambao hawajui sheria vizuri waache kukurupuka nakujifanya wako juu yasheria nakuchukua sheria mkononi kama walivofanya kwa dc wa igunga,nakwambia hii inshu yakumburuza dc inawakosti mno cdm,mpk sasa wameshapoteza asilimia40 yakura ambazo zilikua zinaisapoti cdm,tena kura za madhehebu yote,

umekosea, ungesema ccm na cuf watagawana kura za waislam na cdm watazoa kura za wakrito na wanaoamini mizimu. majawabu utatoa mwenyewe, hakuna cha 40% wala us.hu..zi wa %
 
Mkimaliza kuwatetea ccm jiandaeni kwa maandamano ya mahakama ya kadhi. Kuchumia tumbo taabu jamani, unaweza ambiwa 'mtukane mama yako' ukamtukana.

umesahau tambwe hiza alivyomtukana mama yake kuhusu ccm?
 
Chadema tangazeni rasmi kwamba bakwata wilaya ni kitengo cha propaganda cha ccm.Msalijili wa vyama uko wapi? Tume ya uchaguzi mko wapi?
 
Vazi la hijabu jana lilivunja Mkutano wa Bakwata na waandishi wa habari baada ya baadhi ya viongozi wa Baraza hilo Kuu la Waislamu, kushindwa kueleza maana yake. Mkutano huo uliitishwa na Katibu wa Bakwata Wilaya Igunga, Maulid Athman Mussa ambaye alitoa tamko la kukilalamikia Chadema kwamba kiliudhalilisha uislamu katika sakata baina ya cahama hicho na Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Fatma Kimario.

Kuvunjika kwa mkutano huo kulitokana na maswali yaliyoulizwa kwamba vazi la hijabu linalodaiwa kudhalilisha dini hiyo inabidi liweje, hivyo viongozi hao kupandwa na jazba.

Maswali hayo yalionekana kuwachanganya na kuwapandisha jazba viongozi hao, lakini wakijitahidi kutoa ufafanuzi ingawa wao wenyewe walionekana kupishana kauli.

Shehe wa wilaya, Ally Rage alisema, hijabu inanatakiwa isitiri mwili wote wa mwanamke wa kiislamu na kuacha tu sehemu ya uso wake ndio ionekane. Ufafanuzi huo ulionekana kushahibiana na wa mwanamke mmoja wa Kiislamu aliyekuwepo ndani ya mkutano huo, Amina Billal aliyekuwa amevaa Hijabu aliyesema ni lazima lifunike miguu na mikono.

“Hijabu ni vazi la mwanamke wa Kiislamu linalositiri mwili ambalo akivaa nguo yenye mikono mirefu ni lazima liwe refu hadi chini,”alisema Amina na kuwaonyesha wanahabari vazi lake lilikuwa limefunika mikono na miguu. Kutokana na maelezo hayo, waandishi wa habari waliwataka viongozi hao watazame picha za tukio la Chadema na Kimario katika gazeti moja walilokuwa nalo meza kuu (sio Mwananchi) na waeleze kama DC alivaa hijabu au mtandio.

Hata hivyo, katika kujibu maswali hayo, kiongozi mmoja alitumia aya za kitabu kitakatifu cha Quaran akisema Hijabu lazima lifunike nywele kwa vile ni haramu mwanamke wa Kiislamu kuonekana nywele zake. Majibu hayo bado yalionekana kujichanga zaidi na kushindwa kufafanua kama mkuu huyo wa wilaya alikuwa amevaa jijabu au mtandio hali iliyomsukuma Imamu wa msikiti huo, Swalehe Hamisi kufafanua zaidi. Imamu alisema vazi la hijabu liko katika aina tatu moja likiwa ni lile lililokuwa likivaliwa na wake za mtume Mohamed ambalo lilikuwa likifunika maeneo yote ya mwili bila kuacha sehemu moja ya mwili inayoonekana.

“Vazi la pili la mwanamke wa Kiislamu ni lile lilokuwa likivaliwa na wafanyakazi kwa maana ya wakulima ambalo lilikuwa likimsitiri mwanamke mwili wote isipokuwa sehemu ya usoni tu,”alisema. Alifafanua hijabu ya tatu, Imamu huyo alisema ni vazi ambalo linamfanya mwanamke asiwe amejisetiri mwili wote na kwamba vazi hilo linamruhusu mwanamke huyo kusogelewa tu na ndugu wa damu na si mtu mwingine.

“Hawa Chadema wao walienda kumwondolea hijabu mwanamke wa Kiislamu ambaye hawajazaliwa naye tumbo moja na sio ndugu zake kabisa…hawakupaswa kumsogelea kabisa DC,”alisema Imamu huyo. Pamoja na ufafanuzi huo, waandishi wa habari waliendelea kuwabana viongozi hao watoe ufafanuzi wakiegemea katika kitabu cha Quoran kwamba kinaeleza nini kuhusu hijab jambo ambalo liliwaudhi.
 
Waislam wana matatizo badala ya kuhangaika na ya kwao wanajipendekeza kwa ccm,muslim dont be like Toilet paper!
 
Akemee raisi......! Nani atamsikiliza kwani mangapi ameyasea na akakubalika?Naona siyo tabu sana tatizo si limejurika basi ni bahati sana then mbinu mbadara itafutwe yakuwapoza hawa au kuwapotezea(ignore) maana mtu akiongea jambo ambalo alina maana na mkalifatilia basi mnampa nafasi na umaharufu na kujiona kuwa ana maana.Just ignore those with crippled mind.
 
taarifa ya habari ya itv saa mbili imeonyesha tamko rasmi la bakwata kuwataka waislam wa igunga wasimpigie kura mgombea wa chadema.nimepata mshtuko mkubwa na kuona taifa letu sasa linaangamia.hivi ni halali kwa mujibu wa sheria za uchaguzi dini kutangaza rasmi chama fulani kisipigiwe kura? Watu wote wapenda haki demokrasia na amani walaani tamko hili haramu.

waislamu walio wa ccm, ndio watako kubaliana na tamko la bakwata kwa kuwa bakwata siku zote hufanya kazi ya chama cha kijani the ccm
 
Chokochoko zote hizi bila shaka ni kwa sababu ya yule DC. Mimi nauliza, hivi yule DC alivaa mtandio au Hijab, maana nikimuangalia naona kama ile ilikuwa ni mtandio?
Nimetiza picha ya DC mtandao auliouvaa kuuhita hijjab ni kutukana uislaam ni hijjab gani inayowacha kifua wazi.
http://www.youtube.com/user/chadematv
 

Attachments

  • IMG_0278.JPG
    IMG_0278.JPG
    457.4 KB · Views: 37
waislam wana matatizo badala ya kuhangaika na ya kwao wanajipendekeza kwa ccm,muslim dont be like toilet paper!

inakuwaje kwa waislamu wa mwanza waliochoma makanisa mawili kwa madai ya muumini wao kuokoka na kuridhia kuchoma nyaraka zake zenye maandishi ya kiarabu sio?
Bakwata wametoa tamko hapa
 
Waislam wana matatizo badala ya kuhangaika na ya kwao wanajipendekeza kwa ccm,muslim dont be like Toilet paper!

Kila siku ndugu yangu tazidi nakuambia JF kwa ni sehemu ya mapambano dhidi ya Uislam. Hivi hayo maneno yako unayosema waislam ambao wapo CDM hivi watajisikiaje?

Nyie ndio mnamualibia Dr Slaa pamoja CDM kwa kauli zenu za kashfa na kejeli dhidi ya dini nyingine, wewe ukiwa against na muislam mmoja unatukana waislam wote, Mkuu Mkandara kaishawaeleza sana kuhusu hizo tabia
 
Back
Top Bottom