Udini waingilia Rasmi kampeni Igunga

Uku cc Mwanza 2liyaona toka kampeni za uchaguzi mkuu mwaka jana pamoja na magazeti yote yaliyokuwa yakitoa habari za Babu wa Loliondo walikuwa wakiyatoa copy hayo magazeti kisha chini wakiandika kwa Markpen ''WAISLAM KATAENI HUYO BABU''' kuhusu uchaguzi walisema ''WAISLAM KUWA MAKINI NA MWANAHALISI NA HAO CHADEMA''hayo kwao co mageni.
 
Kuna haja ya kubadili mfumo wa kuwapata viongozi wa BAKWATA. Mfumo huu unatupatia vihizo.
 
WAKATI vijana wa CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wakituhumiwa kumpiga na kumjeruhi vibaya Mwenyekiti wa Wazee wa CUF, jana viongozi kadhaa wa chama hicho walikutana kwa siri na viongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Wilaya ya Igunga ili kuomba wakisaidie katika kampeni.

Bila kujua kwamba walikuwa wanafuatiliwa, viongozi hao wa CCM na BAKWATA walikutana katika Hoteli ya Peak Lodge mjini hapa, wakakubaliana kutumia kete ya hijab ya Mkuu wa Wilaya, Fatuma Kimario, ambayo ilidondoka wakati vijana wa CHADEMA walipomtia nguvuni DC huyo siku chache zilizopita, akiwa katika mkutano wa siri wa kukisaidia CCM.

Mara baada ya mkutano huo, viongozi wa BAKWATA waliita mkutano na waandishi wa habari na kutoa msimamo. Walitoa kauli ya kuwataka Waislamu wote wa Igunga kukinyima kura CHADEMA.

Katibu wa baraza hilo wilayani hapa, Maulid Athumani, alisema Waislamu wamesikitishwa na udhalilishaji aliofanyiwa Fatuma.

Huku akijua kuwa Fatuma si kiongozi wa dini, wala vijana wa CHADEMA hawakumkamatia katika mazingira ya kiibada, Maulid alisema: “CHADEMA imedhihirisha wazi kuwa ina chuki na dharau dhidi ya Uislamu na Waislamu tangu walipoachiwa watuhumiwa kwa dhamana kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Tabora.

“Tunatamka wazi kuwa hatuna imani na chama hicho na tunawaamuru Waislamu wote na wapenda amani wasikipigie kura CHADEMA.”
Hata hivyo, walipohojiwa juu ya tuhuma ya kukutana na viongozi wa CCM na kwamba mkutano huo ni njama za kuingiza udini katika kampeni, viongozi hao walikana, wakidai hawajui lolote.

Wakati mvutano wa hoja ya kutumiwa ikiendelea, mmoja wa viongozi hao wa BAKWATA alibainika kuwa na kalamu yenye maandishi ya CCM ambayo aliificha haraka baada ya kutambua kuwa amegundulika.

Hali hiyo ilizidisha fujo na baadhi ya viongozi hao kupandwa na ghadhabu na kuwashutumu waandishi wa habari kuwa wametumwa na CHADEMA kuuvuruga mkutano huo.

“Nyie waandishi wengine hapa ni CHADEMA ndiyo maana hamtaki kutuelewa tunachokisema, sasa kama mkiendelea kututaka tuzungumze mnachokitaka hatuoni sababu ya kuendelea na mkutano huu,” alisema Sheikh mmoja huku akiinuka, na mkutano huo ukavunjika.

kama kawaida yao wakaruka kimanga

Hata hivyo CCM imekana tuhuma za kuwatumia viongozi wa dini ya Kiislamu kuchochea udini na kuhusika kwake na vurugu dhidi ya wanachama wa CUF. Akizungumza na Tanzania Daima, Katibu Mkuu wa UVCCM, Martine Shigella, alisema hakuna kikao kama hicho kilichoketi na kwamba hizo ni propaganda za kisiasa zenye lengo baya.

Shigella alisema hawana sababu ya kuwatumia viongozi wa dini kwa sababu sera za CCM zinajulikana na kupendwa na Watanzania na kwamba wanaoweza kufanya hivyo ni viongozi wa upinzani hususan CHADEMA.

Akizungumzia kuhusika kwake na kumpiga mfuasi wa CUF, Shigela alikana kuhusika na tukio hilo na kudai kuwa kuna propaganda zinafanywa dhidi ya CCM ili kionekana chama kibaya.

“Ndugu yangu mimi nina siku nne sijapita kwenye maeneo yanayodaiwa kutokea kwa tukio hilo, binafsi nimesikitishwa na taarifa za kuhusishwa; nawaomba wenzangu tufanye siasa za kistaarabu,” alisema
 
Kwakweli bila kumung'unya maneno (na hii itawauma wengi) kama ningepewa nafasi ya kuondoa kitu katika uso wa dunia na kisirudi tena NINGEUONDOA na kufutilia mbali UISLAM, hakuna nchi ambayo ina vita duniani ikawa ni ya kikristo, ukisikia vita visivyo koma basi kuna uislam, sasa sijui mungu wao huyo ni mungu gani! anayefurahia watu wafe, watoto wateseke na njaa, mungu asiyependa amani. Angalia SOMALIA, SUDANI, IRAK, IRAN, AFGHANSTAN, na kwingine kwingi.

Kuna nchi za kikristo kama PHILIPINES, AGENTINA zina amani kwasababu wa kristo wana mungu wa amani, mungu anayefundisha samehe saba mara sabini, mungu asiyetaka kisasi.

Maneno niliyosema yanaudhi ila ni kioo kwako wewe unayedhani umesimama kumbe umeanguka.
Dunia nzima tafuta gaidi, ama magaidi maarufu, hutakuta mkristo, hamran kijana wa zanzibar hapa, alishiriki kuua ndugu zetu pale ubalozi wa marekani, ni mwisilam angelikuwa ni mkiristo wangeliandamana hata wakavuka bahari kutulaani. kisa ni mwislamu haa kama hawajui.
watoto na damu inamwagika katika nchi nyingi chini ya mwamvuli wa DINI, IPI? UISLAM, nawambieni ombeni isiwepo pepo! na mungu wenu wa machafuko huyo!

WAISLAMU HAWANA TOFAUTI NI MCHUNGAJI YULE MAARUFU AKIMBILIAYE MAHAKAMANI KILA KUKICHA NA HAKUNA ALICHOVUNA ZAIDI YA SHIBE YA TUMBO LAKE TOKA ALIPOANZA HARAKATI.

UKWELI HUMWEKA MTU HURU, SIWEZI KUWA ADUI KWAKUSEMA UKWELI, IKIKUUMA IMEKUINGIA NATUMAI UTAPONA.
 
nazani ni vyema sasa tuakapuuza viongozi wa dini,maana si wote wana uelewa unaokubalika,wengine hawana wajualo na ndio maana wanatumika vibaya
 
Hapa yameletwa ya nchini Ujerumani Pope kwenda kuhutubia Bunge la nchi wakati katiba hairuhusu udini na matokeo yake kuishia kugomewa na wabunge waliotoka ndani ya Bunge na kumuacha jamaa akiongea huku wasikilizaji waliotegewewa wengi wakiwa nje wakiungana na waandamanaji kumpinga. Kubwa, inabidi tuiheshimu Katiba yetu. Kama katiba haitambui udini kwenye siasa, basi naiwe hiyo. Hatutakubali jino kwa jino eti kwamba, CUF kilishawahi kuitwa hivyo; (so what?). Mwanadamu hawezi akajitetea mahakamani eti kwamba, yeye aliiba baada ya kumuona mwenzake kaiba. Ni utetezi wa kizembe juu ya kosa la kinafiki na kizembe pia. Binafsi nakemea mtu yeyote anayeweza simama na kuitisha umma usipige/upige kura eti kwa sababu ya itikadi za udini kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Tamko la Bakwata kua waislam wote Igunga wasichague CHADEMA kufuatia sakata la DC limekaaje?.

Source ITV news
 
hivi huyu mama hapa mbona kifua, shingo yote nje nje!!
maadili yanaruhusu kweli?? kwa mama mwenye hishma anaacha shingo na kifua wazi namna hii??
97.jpg
 
Hawa waislamu bwana wasitubabaishe na hao mashehe wao! Kama wao wameanza kutangaziana kwny misikiti yao sasa inabidi na cc wakristu 2simame thn 2one sasa wao misiktin cc makanisani ful kampeni! Wamezoea hawa jamaa! Hijabu hijabu kama ni dili sana c mkanunue mvalisheni huyo Dc wenu!
 
aise wajemen hali siyo nzur basi kikwete akeme matamko kama hayo ambayo yanaweza kuja kutugawa sisi watanzania kama raisi

Mkuu hawa ndugu zetu ndo wanashabikia sana haya mambo ya udini sasa ifike kipindi liwalo na liwe2 wao wanafanya kampeni hadi misikitini ila wakristu 2po kimya2 sasa tym imefika wakristu 2punguze upole hawa jamaa bado kidogo bakwata itawaambia waanze kulipua makanisa!
 
Hawa waislamu bwana wasitubabaishe na hao mashehe wao! Kama wao wameanza kutangaziana kwny misikiti yao sasa inabidi na cc wakristu 2simame thn 2one sasa wao misiktin cc makanisani ful kampeni! Wamezoea hawa jamaa! Hijabu hijabu kama ni dili sana c mkanunue mvalisheni huyo Dc wenu!
taratibu bana!!
sisi tusio na misikiti na makanisa tutakutania wapi?
 
kwa mujibu wa press conference iliyofanywa na Bakwata inayopatikana kwenye youtube na CTV alikuwa bwana mmoja akiwa amezungukwa na wenzake akiwa amekaa chini kwenye benchi alisoma taarifa kwenye makaratasi ya kusema kuwa kulingana na tukio tunawataka waislamu wasipigie kura Chadema. utata mkubwa ulikuja walipoanza kuulizwa maswali na waandishi kuhusu hasa tofauti ya hijabu na mtandio na mama mmoja wa kiislamu kwenye mkutano alizungumza kwa mfano wa kujitolea yeye mwenyewe na kuonekana kwamba alichokuwa amekiva DC haikuwa hijabu bali ni mtandio kwa sababu sehemu yake ya kifua ilikuwa ikonekana ambapo ni kinyume na vazi la hijabu kwani inabidi ujisitiri mwili mzima isipokuwa uso tu peke yake.

baada ya utata huo mkubwa kujitokeza akanyanyuka shehe mwingine akasema wao " tatizo lao kubwa siyo kupigwa kwa DC bali ni
kitendo cha mmoja wahusika wa chadema alisikika akisema kuwa wewe unajifanya hajati hajati ni kitu gani unafikiri huko msikitini hapa na kumnyanganya MTANDIO hilo hasa ndio tatizo letu."
baada ya waandishi kuendelea kuoji nia yao yao wahusika walikataa kuojiwa tena nakudai wanataka kuswali na kinachotakiwa ni kwa wao waandishi kuripoti swala hilo na mkutano ukaishia.
shehe mkuu wa msikiti huo alitajwa kama ni shehe ali rage alionekana kuwa kama vile anajitenga tenga hivi na haonekani kama
yuko comfortable na yale yaliyokuwa yakitokea vijana wake ndio ambao walionekana kushambuliana na waandishi mwishoni.

my take.
sometimes ni vigumu sana kujua motive ya mtu lakini wahusika waliokuwa wakitoa matamko haya ukiwaangalia usoni vizuri unapata
wakati mgumu kuelewa kuwa wanazungumza vitu kutoka moyoni mwao au wanatumiwa. ushauri wa prof. safari ulikuwa mzuri sana wa
kusubiri mahakama iamue kwa sababu huwezi kuchukua upande mmoja wa maneno ya DC ukasemakuwa hicho ndicho kilichotokea.
 
Mama Wille km umeskia hayo toka mskitini kiongoz km Sheikh anashabikia co powah!
Jaman!Mbona ht waislam wengine wanakemea,leo nacheck ITV NEWZ wanaongelea hyo cjui HIJABU aliyovuliwa ht maana amna wanaoongea wako very smart na HIJABU kwel imezba ol part except uso na huyo DC kwenye picha hakuwa kw hawa waliokuwa wanaongea na mpk ukatokea kutokuelewana na mareporter haijawaingia akilin Plz!Kuen waangalifu na mnachosema msianze ubaguz wa din badae wengine mjekujua na ze way mko gud kula2mika
M OUT!

Usiwe mvivu wa kutype, andika maneno sahihi kwa sababu vifupisho vyenu vya kuchat kwenye simu sio kila mtu anavielewa hapa.Hii sio facebook au kijiwe cha macheki bob kijana wangu.
 
Kwakweli bila kumung'unya maneno (na hii itawauma wengi) kama ningepewa nafasi ya kuondoa kitu katika uso wa dunia na kisirudi tena NINGEUONDOA na kufutilia mbali UISLAM, hakuna nchi ambayo ina vita duniani ikawa ni ya kikristo, ukisikia vita visivyo koma basi kuna uislam, sasa sijui mungu wao huyo ni mungu gani! anayefurahia watu wafe, watoto wateseke na njaa, mungu asiyependa amani. Angalia SOMALIA, SUDANI, IRAK, IRAN, AFGHANSTAN, na kwingine kwingi.

Kuna nchi za kikristo kama PHILIPINES, AGENTINA zina amani kwasababu wa kristo wana mungu wa amani, mungu anayefundisha samehe saba mara sabini, mungu asiyetaka kisasi.

Maneno niliyosema yanaudhi ila ni kioo kwako wewe unayedhani umesimama kumbe umeanguka.
Dunia nzima tafuta gaidi, ama magaidi maarufu, hutakuta mkristo, hamran kijana wa zanzibar hapa, alishiriki kuua ndugu zetu pale ubalozi wa marekani, ni mwisilam angelikuwa ni mkiristo wangeliandamana hata wakavuka bahari kutulaani. kisa ni mwislamu haa kama hawajui.
watoto na damu inamwagika katika nchi nyingi chini ya mwamvuli wa DINI, IPI? UISLAM, nawambieni ombeni isiwepo pepo! na mungu wenu wa machafuko huyo!

WAISLAMU HAWANA TOFAUTI NI MCHUNGAJI YULE MAARUFU AKIMBILIAYE MAHAKAMANI KILA KUKICHA NA HAKUNA ALICHOVUNA ZAIDI YA SHIBE YA TUMBO LAKE TOKA ALIPOANZA HARAKATI.

UKWELI HUMWEKA MTU HURU, SIWEZI KUWA ADUI KWAKUSEMA UKWELI, IKIKUUMA IMEKUINGIA NATUMAI UTAPONA.
Waislam wanatumiwa na serikali kama toilet paper. Jamani wanazuoni hamuoni hili? au mmeamua kuwa watetezi wa waovu kwa kutumiwa kwa hisia za kidini??
 
hivi huyu mama hapa mbona kifua, shingo yote nje nje!!
maadili yanaruhusu kweli?? kwa mama mwenye hishma anaacha shingo na kifua wazi namna hii??
97.jpg
[/QUOTE]
Usishangae mbona mama huyu nina habari zake kipindi yupo chuo cha ualimu alivyokua chuoni kuna jamaa alikua anahusiana nae kimapenzi na JK kampa shavu mtu huyo kati ya wizira zake na hajui kama ni mme mwenza?? mama sio mchoyo kwakweli.
 
hakuna haja ya kufanya hivyo kwani wahusika waliotoa matamko haya siyo waislamu ni mashee sheena aliyekuwa anasoma karatasi ambalo linaweza kuwa limeandikwa na CCM anaonekana wazi anavyobabaika namna ya kusoma karatasi ile inaonekana wazi kuwa wameandikiwa tu wao waje wasome na aliokuwa anasoma haonekani kama ni mtu hasa wa pale na yule mtu wa kulia kabisa mwenye kaunda suti nyeusi anaonekana wazi kuwa ni kama mtu wa usalama wa taifa. hawa siyo waislamu kwa sababu waisalamu hawawezi kukubali dini yao kutumiwa kama political football na chama cha kisiasa kwa ajili ya manufaa ya kisiasa.
 
Mfa maji hutapatapa! Ccm waliisha anza kula matapishi yao ili waendelee kuishi lkn watambue muda wa mabadiliko ukifika hata dini haitawasaidia.Sasa dhahiri shairi kimekuwa chama cha kidini aibuuuuu! Hatari!
 
Limekaa kisiasa zaidi,ila cdm wajaribu kutoa elimu kwa wabunge wao ambao hawajui sheria vizuri waache kukurupuka nakujifanya wako juu yasheria nakuchukua sheria mkononi kama walivofanya kwa dc wa igunga,nakwambia hii inshu yakumburuza dc inawakosti mno cdm,mpk sasa wameshapoteza asilimia40 yakura ambazo zilikua zinaisapoti cdm,tena kura za madhehebu yote,
 
Imedhihirika bila ya shaka yoyote kuwa kwa sasa BAKWATA ni kitengo rasmi cha propaganda za CCM . Bakwata iliundwa na serikali ili kuwadhibiti waislamu. Ni wakati sasa Waislamu wakatae kutumiwa na CCM kupitia viongozi wao wanaojali matumbo yao badala ya maslahi ya waislamu wote
 
Back
Top Bottom