Udini waingilia Rasmi kampeni Igunga

Huyo Sheikh ubongo wake ni wa makamasi? Anadai waislamu wasiichague cdm, kwa maana hiyo wangeichagua cuf au ccm! Kisha anadai kuwa Wakristo ni makafiri, akasahau kuwa Wagombea wa cuf na ccm ni Wakristo! Kwa maana hiyo Waislamu wachague UPDP kwa kuwa mgombea ni mwislamu! Shame on Shekh!
 
CCM wameshajuanyakati hizi si zao tena! CCM wanatoka ktk misingi waliyoiamini na kuitetea: kupinga Ubaguzi wa kidini na kikabila!

Ajabu; si Tume ya Uchaguzi wala Msajili wa Vyama wamekemea hali hii, wote kimya! Jamani, TZ ni yetu sote, kushindwa au kushinda Uchaguzi ndo demokrasia yenyewe, ondoeni upuuzi wenu.

Tendwa unashindwa kuzungumzia hili kwa kuwa umezoea kuwatetea CCM, ktk ili unalo la kujibu, mimi nimeanza choKa na upuuzi huu wa CCM na uchochezi wa kidini, ukimya wa Msajili na Tume. NIMECHOKA!
 
Nt yet!Kumbe mbunge wa CHADEMA na CCM nahic ht CUF wote ni wakristo afu dis 3 party ndo hot afu ki2 cha SHEIKH pale kat msiwapigie wakristo so wat next
C chadema ndo inawakristo ht Ccm na cuf wapo au umesahau Mbowe na Zitto niwaislam
Msi2fanyie hvyo bwana 2naangalia sera au co wam
a Igunga na co din
M out 4gud
Au maralia sugu unanyongeza coz we ni gamba tahila

andika vizuri, tuondolee vifupisho vyako, vinapoteza maana, unakuwa hueleweki, mpaka unakera.
 
Hawa waislam ni makuadi wa CCM,Wamekalia kutumika tu,ndiyo mana wamenyimwa kadhi.
 
Ngoma ii ni ya ccm kwenye uchaguzi wa 2010,na waislam bila kujua madhara na ii ktu wanajiingza mzobe mzobe,je endapo chadema watashnda aibu wataweka wap?
 
Kuja na hoja nzito ni pale unapokuwa against gvt?.Ati waislam hawaji na hoja nzito.Hii ni dhihaka kwa waislam na kuendeleza udini.Waislam wamedhalauliwa sana na sasa wamechoka wameamua kuchukua hatua kwa wote wanaowadharau wanaanza na CDM kukifuta ktk ramani ya siasa za tz.ati waislam hawajasoma huu nao ni udini mbona tunao maprofa kibao na madokta?. CDM wasipochukua hatua za kuomba radhi waislam au kwenda kwa viongoz wa kiislam wakayamaliza kistaarabu kijue kinajenga picha mbaya kwa watz kuwa hakina uwezo wa kuongoza na kuunganisha watu ktk jamii.
 
mlianza tunamaliza. Kama cuf mlikkita cha kiislam. Na sisi tunasema chadema ni chenu
wewe si ulianzisha forum yako ya kiislamu? Huku umerudi kufanya nini tena? Anyway, tumeshakuzoea, kama hata hili unaliona ni jema, basi huna nia njema na nchi hii.
 
Sikilizeni wadau, inshu hapa ni propaganda za CCM, enzi zile suala lilikuwa ni kuizoofisha CUF kwa sababu ya zanzibar, tuhuma zile hazikuwa na ukweli wowote, na mpaka leo CUF waliachwa na majeruhi makubwa kiasi kwamba tunao elewa kwa sasa uhalisia wa mambo ni wachache, hata prof Lipumba si wa kulaumu "kwa nini amegobea mara zote na kushindwa lakini bado anaendelea kugombea", inshu nadhani alifanya makusudi ili kulinda hadhi ya chama na kusubiri ukweli ujulikane kama ilivyo sasa. Naamini propaganda za CCM na kitengo chake sasa walishafika mwisho na endapo tu vyama vya upinzani vyenye nguvu (CDM+CUF) wakiungana basi CCM ni kifo 2015,
 
Hiyo ndo picha halisi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.Hapa namaanisha kuwa kura zitapigwa kidini zaidi kuliko kuangalia ubora wa kiongozi.Waislamu hapa wametafuta kisingizio cha kijinga ili kuhalalisha udini wao.Wanasema cdm ni chama cha kikristo hivyo waislamu wasikichague.Hapa wanamaanisha kuwa CCM na CUF ni vyama vya kiislamu.Hapa nitamshangaa mkristo yeyote atakayechagua chama cha kiislamu kwani tayari wameshaonyesha kuwa hawahitaji kura za makafir.

Uchaguzi mkuu ujao inabidi kampeni zianze sasa hivi na watu wote waambiwe kuwa kila mtu achague mgombea wa dini yake.
 
Huyu sheikh anawakilisha waislamu wengi wasio na elimu ambao wako tayari kwa fatwah ya kilichotokea
 
Ushauri wangu kwa uongozi wa CDM,msimpige magoti mtu/kundi lolote linaloendekeza udini. Heri mkose hizo kura. Kama CCM kupitia kwa huyo DC wao wanapanda mbegu ya udini,waache waichukue igunga kwa kura za udini,lakini siku sinyingi watajutia makosa yao.
Umesema vyema...! Tena ingekuwa vizuri waendelee na kampeni zao tu kama kawaida bila kugusia hii issue!! Aisee....kweli elimu ni ufunguo wa maisha....usipokuwa nayo____!
 
ms usilinganishe cuf na cdm! Ajenda ya cuf ni ya kidini na maeneo mengi wanayotegemea ni ya waislam so tofauti sana cdm. Kingine waislamu wataiua ccm sababu wanaona ndo chama chao, mimi upande wangu nashauri waislamu wote wachague ccm na cuf na wakristo tuchague cdm tuone kama mtaweza tumesha wachoka.

ivi wewe unaakili au? Jaribu kufikiri kabla hujapost comment zako
 
Unachekesha we2
Ht km wakisema OK!CHADEMA ni ya wakristo zen CCM/CUF ni Waislam bac kila mmoja achague tokana na din zao
MA DOG mtakwishne nyie ht robo hamtosh Bongo hii
Bt wenye akil timamu a2fikirii coz sote ni ndugu a2mind udin,WAKRISTO a2jazoea zogo

ushawai kufatilia hata sensa moja kujua dini ipi ni wengi Tz??? fanya utafiti kabla ya kupost
 
hata balozi wa marekani alisema msichague cuf ni wadini. Sasa na chadema ndio hao hao
..ni wapi kwny vitabu vitakatifu vya imani zetu panasema Mungu atahukumu taasisi au kundi la watu..?nisaidieni jamani, kwa nini waislamu wanahukumu taasisi ilhali kitendo kimefanywa na mtu au watu! ningewasifu km wangefanya juhudi za kuwapata waliomkamata DC na kumvua hijab ili wawasaidie kujua umuhimu wa vazi hilo na si kushutumu chama!

VIVA SALMAN RUSHDIE!!!!!!
 
Kuja na hoja nzito ni pale unapokuwa against gvt?.Ati waislam hawaji na hoja nzito.Hii ni dhihaka kwa waislam na kuendeleza udini.Waislam wamedhalauliwa sana na sasa wamechoka wameamua kuchukua hatua kwa wote wanaowadharau wanaanza na CDM kukifuta ktk ramani ya siasa za tz.ati waislam hawajasoma huu nao ni udini mbona tunao maprofa kibao na madokta?. CDM wasipochukua hatua za kuomba radhi waislam au kwenda kwa viongoz wa kiislam wakayamaliza kistaarabu kijue kinajenga picha mbaya kwa watz kuwa hakina uwezo wa kuongoza na kuunganisha watu ktk jamii.

Mnajiamini sana sasa ngoja na makafir waanze kampeni rasmi dhidi ya vyama vya kiislamu nadhani hapo ndo tutajua nani zaidi
 
Mama Wille km umeskia hayo toka mskitini kiongoz km Sheikh anashabikia co powah!
Jaman!Mbona ht waislam wengine wanakemea,leo nacheck ITV NEWZ wanaongelea hyo cjui HIJABU aliyovuliwa ht maana amna wanaoongea wako very smart na HIJABU kwel imezba ol part except uso na huyo DC kwenye picha hakuwa kw hawa waliokuwa wanaongea na mpk ukatokea kutokuelewana na mareporter haijawaingia akilin Plz!Kuen waangalifu na mnachosema msianze ubaguz wa din badae wengine mjekujua na ze way mko gud kula2mika
M OUT!

hujaelewdka mkuu..
 
ushawai kufatilia hata sensa moja kujua dini ipi ni wengi Tz??? fanya utafiti kabla ya kupost


wewe hamnazo nini? wewe ndiye sufuri, nani kakudanganya kuwa haijulikani ya wingi wa waumini katika dini? ingawa kwenye sensa iliondolewa, au shule hujakwenda mimi tu nimeisoma nilipokuwa kidato cha tatu kwenye Civics, usikurupuke jipange take this facts from wikipedia

The study of the United States Bureau of Democracy, Human Rights, and Labor for 2009 suggests that 62% of the population of Tanzania is Christian, 35% is Muslim, and 3% are members of other religious groups
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom