Udini wa kutisha wizara ya ardhi

Bora tugawane nchi; Wakristo wachukue chao na Waislamu wachukue chao. Wakristo wameshaanza kuiharibu Dar yetu kwa ubaguzi wao, bora warudi kwao Mikoa ya Bara, watuachie Dar yetu.
 
ha ha haaaaaaaaa this is new JF. Max na Invisible mnayo kazi kubwa kuirudisha JF ktk mkondo wake. Hali iliyopo sasa inafukuza wanachama makini, pia ni vigumu kupata wanachama wapya makini. Anyway ni kipindi cha mpito.

Kiongozi,

Unaweza ukadhani JF inavamiwa na watu wasio na makusudio mema tu, lakini mimi nadhani hata dawati ya ufundi nalo limeingiliwa.

Jaribu kutazama utaona tofauti na siku za nyuma.
 
ha ha haaaaaaaaa this is new JF. Max na Invisible mnayo kazi kubwa kuirudisha JF ktk mkondo wake. Hali iliyopo sasa inafukuza wanachama makini, pia ni vigumu kupata wanachama wapya makini. Anyway ni kipindi cha mpito.

Ndiyo freedom of speech, this is a new TZ. Ubaguzi wa kidini ndani ya TZ lazima uzungumziwe ili WTZ wajue kinachoendelea.
 
Bora tugawane nchi; Wakristo wachukue chao na Waislamu wachukue chao. Wakristo wameshaanza kuiharibu Dar yetu kwa ubaguzi wao, bora warudi kwao Mikoa ya Bara, watuachie Dar yetu.

Heri wewe umesema.

Yaani ukienda Tabata, wewe anzia Tabata Bima pale mbele ya Swiss Pub. Yaani jamaaa wamefanya Kufru wamechukua maeneo makubwa kupita kiasi mpaka unakaribia Segerea tena yako very Prime area.. barabarani kabisaa. Ssasa kama huu haukuwa mpango wa muda mrefu maana yake ni nini?.

Tena walivyokuwa na nongwa Pale maeneo ya Mangumi karibu na Kituo cha Sanene Tabata..jamaa zangu Waisalamu wana msikiti ambao umejengwa na AMA. Na wana kaeneo kadogo pembeni ya msikiti..basi jamaa imewauma sana wakawa wanafanya fitna huko ARDHI ili wannyang'anywe. Tutafika kweli?.
 
Huo ni mkakati wa kimafia unaoratibiwa na kanisa katoliki Tanzania chini ya uangalizi makini na maelekezo toka Vatican.

Hakika wakatoliki ni watu hatari sana. Tuwaogope kama ukoma.

lazima tulikazie hilo na kulikemea kwa nguvu zotee
 
Back
Top Bottom