Udini wa kutisha wizara ya ardhi

Eddie

JF-Expert Member
Nov 28, 2008
516
127
Wizara ya ardhi inayoongozwa na mseminari John Chiligati na Katibu Mkuu mseminari Salome Sijaona imepokea maelekezo kutoka uongozi wa juu wa makanisa kugawa viwanja kwa wakristo wengi iwezekavyo na makanisa katika miji ya yenye waislamu wengi.

Kwa kuanzia mkakati huu wa makusudi umejikita kwenye mradi wa viwanja 20,000 Dar Es Salaam na ambao takwimu zinaonyesha zaidi ya asilimia 80 wamepewa wakristo.

Meneja wa mradi ( marehemu ) kwa sasa peke yake anamiliki viwanja zaidi ya 100 sambamba na hilo Mama Sijaona nae ana hodhi mamia ya viwanja vya beach huko Kigamboni.

Wakazi wa Kgamboni ambao wengi wao ni waislam wanaondolewa kwa nguvu kwenye maeneo hayo ili kupisha "wamiliki" wapya wa viwanja hivyo.

Habari ndio hiyo
 
ha ha haaaaaaaaa this is new JF. Max na Invisible mnayo kazi kubwa kuirudisha JF ktk mkondo wake. Hali iliyopo sasa inafukuza wanachama makini, pia ni vigumu kupata wanachama wapya makini. Anyway ni kipindi cha mpito.
 
Lol! naona sasa ni mashindano ya post za namna hii. Lakini habari yenyewe imekaa kimshazali kidogo maana inaonekana mleta hoja ameweka chumvi nyingi zaidi kiasi kwamba chakula hakiliki. Sitarajii kuona eti mtu mmoja anamiliki viwanja 100 mwingine mamia. Mhhhhh! Nooway, habari imepikwa hi. Hata hivyo mimi na mke wangu tuliomba kupata kiwanja kwenye hivi vya mradi tukakosa tukaja kuambiwa baadae kuwa Wahindi ndo walipata viwanja vingi zaidi kwa njia ya rushwa.
 
Upuuzi mtupu!
Huu ni upuuzi mtupu kweli. Viwanja vilipimwa na kugawiwa kwa watu kadri walivyoomba. Katika maeneo mengine watu wengi sana walitokea kuomba na hivyo waliopata ni wachache. Haya ni kama vile Mbweni Mpiji, Bunju, Mbweni JKT. Katika maeneo mengine viwanja vilikaa sana mezani vikisubiri yeyote anayetaka. Haya ni maeneo ya Kisota, Tuangoma, Kisota, Buyuni, Mwanagati. Kwa miaka minne mfululizo 2003-2006 viwanja vya maeneo vilivyokuwa havijanunuliwa kwa haraka viliuzwa kwa yeyote aliyefika katika banda la wizara ya Ardhi katika maonyesho ya Sabasaba. Kwa ukweli kama mtu alikosa kiwanja inaweza kuwa ama alikuwa anang'ang'ania maneo yaliyopendwa sana, ama alikuwa hafati utaratibu viwanja vilipokuwa vikitangazwa. Maeneo yaliyokuwa na waislam wengi kuliko maeneo yote ni Tuangoma na Kisota. Katika maeneo hayo watu walilipwa fidia ya kutosha mpaka wakawa wanasema ni 'bingo' - kilikuwa kipindi cha mchezo wa bingo wa ITV. Viwanja katika maeneo hayo viliuzwa polepole na kwa muda mrefu sana. Kwa yeyote aliyetaka. Naiheshimu sana JF na huhudhilia mara nyingi lakini kama hoja kama hizi zitazidi kuna wakati nitaachana nayo.
 
Naungana na Mkandara kuomba mada hii ifutwe na mleta habari za kipuuzi apewe onyo hadharani ama mniruhusu nimfute kabisa maana kama hatapewa onyo hadharani basi mniruhusu nimfute kabisa mnasemaje ?
 
Huu ni "upupu"mkubwa sana;na please MODS akina Invisible idhibitini hali hii!Jana ilikuwa Wizara ya Elimu,leo wizara ya Ardhi,kesho udini wizara ya sheria,zikiisha wizara zote watakuja kwenye taasisi huru ikiwemo hii ya JF na watazusha kuwa usipokuwa dini fulani Invisible na wenzake wanakufutia threads zako bila kukuambia kosa lako!

Wanasema bila ushahidi;please tuondoleeni upupu huu
 
Mods umefikia wakati sasa kutumia rungu lenu kucontrol hizi thread za udini kila mahali.....! Watu wanaacha kujituma, kufanya kazi kwa bidii, wanafikiria udini udini tu every where.....binafsi nimechoka kusikia na kuona hii mithread....! please mods do the needful!
 
Naungana na Mkandara kuomba mada hii ifutwe na mleta habari za kipuuzi apewe onyo hadharani ama mniruhusu nimfute kabisa maana kama hatapewa onyo hadharani basi mniruhusu nimfute kabisa mnasemaje ?

Double standard at work! umeniona mimi tu eeeh? mkuki mtamu kwa nguruwe....
 
Wizara ya ardhi inayoongozwa na mseminari John Chiligati na Katibu Mkuu mseminari Salome Sijaona imepokea maelekezo kutoka uongozi wa juu wa makanisa kugawa viwanja kwa wakristo wengi iwezekavyo na makanisa katika miji ya yenye waislamu wengi.

Kwa kuanzia mkakati huu wa makusudi umejikita kwenye mradi wa viwanja 20,000 Dar Es Salaam na ambao takwimu zinaonyesha zaidi ya asilimia 80 wamepewa wakristo.

Meneja wa mradi ( marehemu ) kwa sasa peke yake anamiliki viwanja zaidi ya 100 sambamba na hilo Mama Sijaona nae ana hodhi mamia ya viwanja vya beach huko Kigamboni.

Wakazi wa Kgamboni ambao wengi wao ni waislam wanaondolewa kwa nguvu kwenye maeneo hayo ili kupisha "wamiliki" wapya wa viwanja hivyo.

Habari ndio hiyo

Madenti shule zikifungwa huwa wanasumbuaga sana. Ila sikujua kama madrassah nako kuna migomo ya Maustaadh. Nyambaaf kabisa!
 
Mods umefikia wakati sasa kutumia rungu lenu kucontrol hizi thread za udini kila mahali.....! Watu wanaacha kujituma, kufanya kazi kwa bidii, wanafikiria udini udini tu every where.....binafsi nimechoka kusikia na kuona hii mithread....! please mods do the needful!

Ukiona dini kila mahali, ujuwe kuwa dini ndio inaongoza hapa na dini ndio ya kila mtu.
 
huu ni upuuzi mtupu kweli. Viwanja vilipimwa na kugawiwa kwa watu kadri walivyoomba. Katika maeneo mengine watu wengi sana walitokea kuomba na hivyo waliopata ni wachache. Haya ni kama vile mbweni mpiji, bunju, mbweni jkt. Katika maeneo mengine viwanja vilikaa sana mezani vikisubiri yeyote anayetaka. Haya ni maeneo ya kisota, tuangoma, kisota, buyuni, mwanagati. Kwa miaka minne mfululizo 2003-2006 viwanja vya maeneo vilivyokuwa havijanunuliwa kwa haraka viliuzwa kwa yeyote aliyefika katika banda la wizara ya ardhi katika maonyesho ya sabasaba. Kwa ukweli kama mtu alikosa kiwanja inaweza kuwa ama alikuwa anang'ang'ania maneo yaliyopendwa sana, ama alikuwa hafati utaratibu viwanja vilipokuwa vikitangazwa. Maeneo yaliyokuwa na waislam wengi kuliko maeneo yote ni tuangoma na kisota. Katika maeneo hayo watu walilipwa fidia ya kutosha mpaka wakawa wanasema ni 'bingo' - kilikuwa kipindi cha mchezo wa bingo wa itv. Viwanja katika maeneo hayo viliuzwa polepole na kwa muda mrefu sana. Kwa yeyote aliyetaka.
Naiheshimu sana jf na huhudhilia mara nyingi lakini kama hoja kama hizi zitazidi kuna wakati nitaachana nayo.

achana nayo kwani wewe nani .watu wanazidi kujiandikisha.umefulia
 
Naungana na Mkandara kuomba mada hii ifutwe na mleta habari za kipuuzi apewe onyo hadharani ama mniruhusu nimfute kabisa maana kama hatapewa onyo hadharani basi mniruhusu nimfute kabisa mnasemaje ?

Ni nani alikulazimisha kusoma hii mada?
 
Waislamu wanatakiwa wasikae nyuma kimaendeleo, inabidi waanze kuchangamka. Kwanini Waislamu Wa Tanzania hawatumii mbinu kama za nchi zengine? za kudai haki zao. Ni kweli Kanisa lina agenda ya asiri. Mimi mwenyewe nishapewa hizo details za kununua viwanja ili tuwaondoe Waislamu Kigamboni. Nikazipinga na niliwahi kuwaambia Wakristo wengi waache mpango huo; kwa sababu si mzuri kwa jamii. Tatizo kubwa la Tanzania ni hawa Wakatoliki wakiongozwa na Pengo, wao wanafikiri bado tupo tu kwenye enzi za vita kati ya Waislamu na Wakristo. Haya mambo ya ubaguzi wa kidini yashapitwa na wakati. Sasa hivi ni umoja duniani kote, binadamu sote tupo sawa.
 
I once worked in Songea-Lukarasi-Mbinga, Heka moja ni Tsh. 3000 that was 2001!Ukitaka kununua sawa tu, so in that case, nikiwa na milioni tatu,. nitapata viwanja vingapi???

Huyu jamaa anajibu hopja ya wizara ya elimu! lakini amekosea nyakati, ndio hapa unaanza kuwaza uwezo wa kufikiri wa huyu mtu!
 
Wizara ya ardhi inayoongozwa na mseminari John Chiligati na Katibu Mkuu mseminari Salome Sijaona imepokea maelekezo kutoka uongozi wa juu wa makanisa kugawa viwanja kwa wakristo wengi iwezekavyo na makanisa katika miji ya yenye waislamu wengi.

Kwa kuanzia mkakati huu wa makusudi umejikita kwenye mradi wa viwanja 20,000 Dar Es Salaam na ambao takwimu zinaonyesha zaidi ya asilimia 80 wamepewa wakristo.

Meneja wa mradi ( marehemu ) kwa sasa peke yake anamiliki viwanja zaidi ya 100 sambamba na hilo Mama Sijaona nae ana hodhi mamia ya viwanja vya beach huko Kigamboni.

Wakazi wa Kgamboni ambao wengi wao ni waislam wanaondolewa kwa nguvu kwenye maeneo hayo ili kupisha "wamiliki" wapya wa viwanja hivyo.

Habari ndio hiyo

Watendaji wengi wa hiyo wizara ni waislamu, kumbe nao wamekula njama ya kuangamiza ndugu zao!. Inaonyesha wafuasi wa Kristo ni vere intelijenti!.
 
Tatizo langu hapo ni kama kweli huyo mama na huyo bosi wanamiliki mamia ya viwanja,kama ni kweli nitaanza kuamini na udini upo kwenye swala la viwanja ingawaje sitaki kuamini!
 
Back
Top Bottom