Luteni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 2,274
- 301
- Thread starter
- #21
Mimi nafikiri kuna mambo mengine kama elimu nk yanahitaji jitihada za mtu binafsi zaidi, kusubiri kufaidika kwa kutegemea fulani yuko madarakani hakuna nafasi kabisa huo ndio mwanzo wa udini tunaoukataa, mafanikio yoyote yanahitaji jitihada binafsi.Hembu tuangalie kwa sasa elimu,afya,ajira ni kundi lipi lipi lipo katika hali bora ukilinganisha na jingine?ni wazi kuwa waislam wapo nyuma katika mambo yote yaliyotajwa,mpaka mkapa kuwaonea huruma kuwa chuo walau kimoja morogoro.Hivyo udini kanisa unaolalamikia ni kejeli,kebehi,kuwasanifu waislam wajione wanafaidi na matunda ya uhuru walioupigania toka kwa muingereza na kumkaribisha nyerere kuongoza na baadae kuachwa solemba kwa kuundiwa chombo kisicho na tija kwao bakwata.