Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.
hii topic sio siasa tena ila ni udini tuu,nilijua topic kama hizi zinainvolve emotions za watu kwa hiyo hapo dini mbele then siasa baadaye...dini is so powerfull,bora hamishia hii kule kwenye imani na dini ili mkakutane na kina mtindio wa ubongo muone alivyochanganyikiwa

Koba,

Nikiwa mmoja wa watu wanaopinga matumizi ya dini kupata viongozi wa Tanzania, bado lakini ninaona kuwa hii issue inabidi iwe hapa kwenye siasa. Kuna mtu amesema kuwa sisiemu walitumia mbinu chafu kwa kuwaita cuf kuwa ni chama cha waislam kwa vile viongozi wake wengi walikuwa waislam. Kwa standard hiyo inabidi sisiemu wanywe walichokoroga wenyewe.

Kabla ya standard mpya zilizowekwa hapa kuwa kila kinachohusiana na wanasiasa ni siasa, ningekuwa wa kwanza kudai kuwa hii ni mada ya dini hivyo ihamishwe. Kwa standard mpya, hii naona ikae hapa hapa maana itakufa natural death ya JF.... kukosa wachangiaji na ndipo Mgaya atakoma kuleta topic kama hizi next time!
 
Gamba,

I will repeat in a different mannaer. I do not care if 75% of CCM leadersship is made up of people of Islamic faith. Same thing if it was 100% Islam or Christian.

May be you jumped into conclusion that I am vindicative due to my REV. title.

Bottom line I do not care about your religion, what i care is if you have passion to lead and delibver and not otherwise. In the past, there have been outcries that Waislamu have no enough representation in Bunge, Serikali or Mawaziri. I say let them take over 100% because at the end what matter it not about your faith but if you can be faithful to Jamhuri and deliver results.

I despise anyone who thinks having religious upper hand makes them better deliveres of quality leadership or that they will resolve critical issues that affect our nation.

May be you do not know my stand on issues and you come in here assuming that just because I am a Rev. then I am short sighted.

Matatizo ya Watanzania si ya Waislamu pekee, ni ya Wapangani na Wakristo. ndio maan animesema, sijali ni dini gani uliyonayo, wajibu wako ni kuhakikisha kama kongozi unaongoza kupiga vita Ujinga, Umasikini na Maradhi. la nyingeza ni kuwa Utatumia uongozi wako na madaraka kwa hekima kuhakikisha kuwa Haki na Usawa unatumika na sii Imani yako ya kibaguzi ya kidini.

Finally, as Christian I have no fear if 110% of leadership is made up by Moslems!

My own progression as human being and development to get away from poverty does not come from going to church and preach that Islam is bad religion. My success will come due to hard working, being ethical and just.

Yes I am christian by faith and I care about my faith and religion, however if I am strong on my faith and spirituality, why should I be worried about Moslems being leaders? how does that interfere with my progression? Yes i will be vocal if they will try to impose their faith as the only way of living in my country, if they will decide that I as Christioan has no place in Tanzania where I can enjoy my Freedom, than I can have Kiti Moto without fear of kutupiwa moto or Fatwa!

Tanzania as country and its constitution and laws have no rligion. Its people though are from different faiths. So what leads and governs Tanzania is its Constitution and Laws, not a Bible, Quran or Mbuyu!
__________________
Amani Iwe Nanyi,

Revolutionary Right Reverend Kishoka


"Any existence deprived of freedom is a kind of death." Gen. Michel Aoun

Rev-Kishoka.
Sasa hapa nimekupata vizuri Kabisa, ahsante kwa clarification mkuu.

Tuendelee kukata ishu mkuu, tuendelee kuupiga vita ubaguzi/udini/ na ufisadi wote kwa ari mpya na kasi mpya.
 
Duh! sikujua kuwa lishetani lina limkia jekundu na mapembe halafu linaishi motoni.Damn!! That's scary
 
Hehehehehe....wale vinara wa udini naona wameuchuna leo...

Mhh FNN,

udini ni issue kubwa na wengi waliodhani vivyo sivyo wameanza kuiogopa. Kuukataa udini ni sababu nyingine inayonifanya nimpe heshima Nyerere (RIP) zaidi na zaidi!
 
Rev Kishoka.
according to you The one who signed the buzwagi contract is From Masjid leadership, and according to you has no skills, he cant deliver,and so on!

according to your statement, the one who did illegal bussines and authorized heavy-burden Radar deal while in the state house is From Masjid leadership and according to you he has no skills, he cant deliver and so on!
.

You surely have put words into my mouth! Did ai state anywhere what you have posted abouve? Did I allude to anything similar to what you claim I have said?

Just as you were advised by someone here, you need to read and you need to know Wasifu wa mtoa hoja and not jump on emotions!

I guess then using your analogy, Mkapa, Mramba, Chenge, Lowassa, Mgonja, Balali, Mkono and Sumaye are also Moslems because of high corruption we have in Tanzania that lead to inefficiency!

Then Lets blame Waislamu for Ufisadi using your criterias!
 
sumu ya ubaguzi huwa haikomi.. ikishaingia kwenye kundi fulani basi kundi hilo huanza wa kubagua. Likimaliza kubagua linatafuta kipimo kingine cha kutumia kubagua. Ukishabagua makabila na kuamua kabila fulani ni duni halistahili, basi unaenda kwenye kipimo kingine; dini. Ukishawabagua watu kwa dini, ukimaliza utajiuliza "hivi wengi ni dhehebu gani?" hivyo utaanza kuwatenganisha Sunni na Shia, Wakatoliki na Waprotestanti n.k mwisho unaweza kujikuta unaanza kubagua watu kwa kuwaanangalia (nani anafanana na Mtutsi)..

La maana ni lazima tuukatae ubaguzi mapema unapojitokeza. Ratio ya CC inasema wajumbe saba kutoka pande zote mbili za Muungano (which is absurdy in itself) hiyo kutoka Zanzibar you'll probably get all seven wakiwa ni Waislamu. Halafu ukija bara wale saba hata wakristu wakiwa wanne bado kwenye general membership utakuta waislamu 10.. Sasa ukija na nafasi za viongozi wanaoingia kwa nyadhifa zao Kikwete, Shein, Karume, Makamba bado namba ya Waislamu inaongezeka. So, hilo ni jambo la mantiki, utaweza kuepuka vipi isipokuwa useme "Zanzibar ichague wakristu, au Bara ilete wagombea wakristu tu" .. na ukishafanya hivyo.. ile sumu itakuwa imekuingia!!
 
sumu ya ubaguzi huwa haikomi.. ikishaingia kwenye kundi fulani basi kundi hilo huanza wa kubagua. Likimaliza kubagua linatafuta kipimo kingine cha kutumia kubagua. Ukishabagua makabila na kuamua kabila fulani ni duni halistahili, basi unaenda kwenye kipimo kingine; dini. Ukishawabagua watu kwa dini, ukimaliza utajiuliza "hivi wengi ni dhehebu gani?" hivyo utaanza kuwatenganisha Sunni na Shia, Wakatoliki na Waprotestanti n.k mwisho unaweza kujikuta unaanza kubagua watu kwa kuwaanangalia (nani anafanana na Mtutsi)..

La maana ni lazima tuukatae ubaguzi mapema unapojitokeza. Ratio ya CC inasema wajumbe saba kutoka pande zote mbili za Muungano (which is absurdy in itself) hiyo kutoka Zanzibar you'll probably get all seven wakiwa ni Waislamu. Halafu ukija bara wale saba hata wakristu wakiwa wanne bado kwenye general membership utakuta waislamu 10.. Sasa ukija na nafasi za viongozi wanaoingia kwa nyadhifa zao Kikwete, Shein, Karume, Makamba bado namba ya Waislamu inaongezeka. So, hilo ni jambo la mantiki, utaweza kuepuka vipi isipokuwa useme "Zanzibar ichague wakristu, au Bara ilete wagombea wakristu tu" .. na ukishafanya hivyo.. ile sumu itakuwa imekuingia!!

Uko sahihi mkuu, sikutarajia kama kungekuwa na mkristu yoyote toka visiwani katika CC. Na hii inatokana na uwingi wa waislamu huko Visiwani, sasa tukisema tuwahukumu kwa kigezo hiki tutakuwa hatutendi haki kabisa.
Hata kama wangekuwa wote 100% ni Waislamu mi naona hakuna shida, ili mradi tu wanatekeleza kile tulichowatuma pale CC.
 
Udini haufai kabisaaaaa,
Ila siasa ni mchezo mchafu sana na inawezekana sisiemu walivyokuwa wakidai cuf ni chama cha kidini hawakuliona hili kwenye chama chao wenyewe.
 
Sasa hilo ni jingine na la maana sana. CCM haiwezi kudai chama kingine cha kisiasa ni cha kifamilia, haiwezi kwani watu watakinyoshea chenyewe vidole.. na hawawezi kudai kuwa chama fulani ni cha kidini kwa kuangalia composition yake tu. Next time CCM wakitoa tuhuma za namna hiyo kwa hakika wanastahili kuzomewa.

Hata hivyo hilo halikatazi watu kuchunguza vyama vyenye kujiendesha kwa misingi ya kidini, kikabila n.k kwani kudhani kuwa vyama vyote havitaongozwa na mambo hayo ni kujidanganya pia kwani binadamu wana uwezo mkubwa sana wa kufanya upotofu. La msingi ni always be alert friends na tuukemee ubaguzi mahali na wakati wowote unapojitokeza hasa kwa kutanguliza pembe zake zilizopinda kama mkwaju!
 
Kuna mtu aliwahi kusema hapa kuwa kuna makubaliano ndani ya ccm kuwa na uwakilishi sawa wa dini kubwa nchini za uislam na ukristo. Matokeo ya uchaguzi dodoma yanaonyesha kuwa waislam sasa wana-nafasi asilimia 75 ya uongozi wa ccm.

Kuna inside source iliwahi nidokeza mwaka jana kwamba tutaona mengi tu kuhusu suala hili. source inasema tatizo halitatokana na JK bali washauri wake wa karibu ambao wata take advantage.

people to watch ni rostam na zhakia meghji.Rostam amesharudisha hela zake alizotumia kwenye kampeni akishirikiana na zakia meghji pale hazina. mama meghji atabaki tu ku-spin hela za kusaidia ccm, rostam keshatengeneza faida yake.

safari bado ni ndefu.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom