Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udhibiti wa fedha za kigeni

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MIGNON, Apr 24, 2010.

 1. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2010
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 1,881
  Likes Received: 506
  Trophy Points: 280
  Nilwahi kuuliza hapa iweje nchi kama Thailand wadhibiti matumizi ya dollar lakini hapa mambo ni holela,jana nimepata jibu toka kwa bw Zito kuwa kutodhibiti fedha za kigeni kunachangia kuporomosha uchumi.
  Hivi watu wa wizara ya fedha na BOT hawalijui hilo?
  Watu wa uchumi tusaidieni kutuelemisha katika hili.
   
 2. F

  Froida JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 6,999
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  Watadhibiti fedha vipi fedha za kigeni wakati wao ndio wanahodhi maduka mengi ya kubadilisha fedha na ndio wanaonunua fedha za kigeni kwa wingi na kuzipeleka nje hakuna mahala popote utakapoweza kuenda dukani na ukajichukulia fedha kiasi unachotaka ,siku moja nilikuenda africa kusini na nilikuwa na nataka kubadilisha dola ili nipate randi nilizunguka MALL nzima mara waniambie subiri mala ngoja mara hatuna badala ya kukasirika niliona wale watu walikuwa na nidhamu sana kuhusu kulinda fedha yao hapa kila kitu ovyo,shamba la bibi hawatadhibiti hao ndio mwanya wao wakuzichota
   
 3. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #3
  Apr 24, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  kuna ambaye amesoma uchumi halijui hilo? kuna tofauti kati ya kujua kitu na kutekeleza unachokijua. nina uhakika kabisa wanalijua hilo, tatizo ni kwamba wanashindwa kutekeleza labda sababu ya external forces
   
 4. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #4
  Apr 29, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,605
  Likes Received: 3,509
  Trophy Points: 280
  Fedha za kigeni zinaathiri Uchumi kwani zinachangia sarafu yetu kushuka.pia sarafu yetu ikishuka na kwa kuwa uchumi wetu ni import oriented Economy basi gharama za kuagiza bidhaa nje ni kubwa ambazo mwananchi ndiye anabeba mzigo.Pia huathiri urari wa biashara

  Bidhaa zinazozalishwa kutokana na malighafi ya nje huongezeka bei,huku pato la mwananchi likiwa lile lile.Maisha yanazidi kuwa magumu kwa mtanzania hasa ukizingatia zaidi serikali yetu imeweka loose Tarriff Policy
   
Loading...