Murukulazo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 574
- 219
Naona umetoka kunywa kahawa na kashata halafu ndio ukaandika ulichoandika hapo.Wewe pia ni mmoja wa wahanga wa utumwa.
Unalalama halafu ukienda chooni unachambi makaratasi
Naona umetoka kunywa kahawa na kashata halafu ndio ukaandika ulichoandika hapo.Wewe pia ni mmoja wa wahanga wa utumwa.
Unalalama halafu ukienda chooni unachambi makaratasi
Na wewe umekunywa damu ya bwana wakati unasoma haya maandiko.Naona umetoka kunywa kahawa na kashata halafu ndio ukaandika ulichoandika hapo.
Mungu ndo ana hukumu sio mwana adamHapa hatuihesabu hiyo kama ni ndoa ni uzinifu tu.
Hivi Biblia hukumu yake ipi kwa wazinifu?
Mungu ndo ana hukumu sio mwana adam
Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu wali-teswa, -hasiwa, -bakwa, na kuuawa kinyama!
Hukumu ya uzinifu kwa mujibu wa biblia ni Kifo tena cha kupigwa mawe mpk kufa.Jibu swali, wacha porojo:
Hivi Biblia hukumu yake ipi kwa wazinifu?
Porojo ipi ww ajuza! Nimeshakuambia mungu ndio anaye hukumuJibu swali, wacha porojo:
Hivi Biblia hukumu yake ipi kwa wazinifu?
Lkn agano jipya hamna kitu kama hicho ambayo wakristo ndo imani yetu kama wafuasi Wa yesuHukumu ya uzinifu kwa mujibu wa biblia ni Kifo tena cha kupigwa mawe mpk kufa.
Na atakae anza kurusha jiwe ni BABA MZAZI WA MTOTO HUYO MZINIFU.
Tatizo wagalatia mistari km hii huwa hawasomewi kwenye zile misa zao za weekend.
Wanachosomewa ni ile mistari ya Kuambiwa watoe sadaka tu na kuimba kwaya.
Khalas.
Asante kwa darasa, ila watakuja kina FaizaFoxy Baraghash na wengineo kupinga hili, ni ukweli usiofichika wakazi asili wa Unguja na Pemba (ambao ni wabara), kupitia mateso kama haya, hakuna huruma kwao wala kuwafungulia mashtaka waarabu wa Oman na Dubai kwa maovu waliotenda, bado kile kizazi cha machotara wataendelea kudai hakuna uovu kama huo, bado machotara watadai Asili yao na kwao ni Oman na Dubai, tukiwauliza wanaitaka Pemba na Unguja za nini wakati wana kwao, tena kuzuri na kumesheheni kila kitu? Hatupati jibu la kueleweka..
Hebu yazingatie Mahubiri ya Yesu aliyotoa juu ya Mlima wa Zaituni:Lkn agano jipya hamna kitu kama hicho ambayo wakristo ndo imani yetu kama wafuasi Wa yesu
Sikupingi kama ulivyo tanguliza, hasa kwa vile kasumba uliojazwa ni kubwa lakini nitakufahamaisha kama mwanafunzi wa UPEAsante kwa darasa, ila watakuja kina FaizaFoxy Baraghash na wengineo kupinga hili, ni ukweli usiofichika wakazi asili wa Unguja na Pemba (ambao ni wabara), kupitia mateso kama haya, hakuna huruma kwao wala kuwafungulia mashtaka waarabu wa Oman na Dubai kwa maovu waliotenda, bado kile kizazi cha machotara wataendelea kudai hakuna uovu kama huo, bado machotara watadai Asili yao na kwao ni Oman na Dubai, tukiwauliza wanaitaka Pemba na Unguja za nini wakati wana kwao, tena kuzuri na kumesheheni kila kitu? Hatupati jibu la kueleweka..
Wayaudi walitaka kumpiga mawe mwanamke mzinzi,yesu aliwaambia aliye msafi ampige huyo mzinz hamna MTU aliyeweza.kama mmezoea kumpiga wanzinz ni nyie sio wafuas Wa yesu,ndo maana mnachoma wezi badala ya kuwapeleka kwenye mkondo Wa sheriaHebu yazingatie Mahubiri ya Yesu aliyotoa juu ya Mlima wa Zaituni:
Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie. Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni. Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
free yourself from mental slavery (upuuzi wa hizo dini kwangu umepita mbali)Na wewe umekunywa damu ya bwana wakati unasoma haya maandiko.
Sasa sijui nani mkuda.
Teh teh teh.
Una akili sana mkuu....free yourself from mental slavery (upuuzi wa hizo dini kwangu umepita mbali)
Kwa hiyo wakristo hamuliamini agano la kale ambalo hudhaniwa ni bora kuliko agano jipya?Lkn agano jipya hamna kitu kama hicho ambayo wakristo ndo imani yetu kama wafuasi Wa yesu
Agano jipya ndio Bora kuliko la kwanzaKwa hiyo wakristo hamuliamini agano la kale ambalo hudhaniwa ni bora kuliko agano jipya?
Asante sana mkuu,naamini ipo siku wataamka tu na kujua na kuukubali ukweli!Una akili sana mkuu....
Wewe ni moja ya wale waarabu.Hauna hoja yoyote ni ubaguzi tu,mbona watanzania wingi wanauwa,wanafungwa na kufanyiwa madhira mengi ya kutisha chini ya utawala wa CCM? Na bado mnachukua nchi,udharimu hauna rangi wala dini wala kabila,udharimu ni udharimu tuu,kwani aliyeua wazanzibar 2000 ni Sultan???acha unafki
Mimi ni mnyakyusa wa Lugombo,Mwakaleli,Mbeya,Tanzania na ni mweusi tii,uliza lingineWewe ni moja ya wale waarabu.