Udhaliliswaji wa wanawake mpaka lini?tamwa wako wapi na dada zetu wanaojiuza?

massai

JF-Expert Member
May 2, 2011
653
137
Ni udhalilishaji mkubwa wa wanawake na mama zetu kwa ujumla.nimesimama pembezoni mwa barabara masubiri daladala mara naona linapita landrover la polisi linawapeleka dada zetu mahakamani,kisa wanafanya biashara ya ukahaba.sasa ninachohoji ni inakuaje au sheria inasemaje kwanini hakuna wanaume wanaoshikwa au wanaotuhumiwa kwa biashara ya ukahaba kama ilivyo kwa wadada zetu? Inakuaje wao tu ndio wanaotuhumiwa pasipo mtuhumiwa wa upande wa pili? Nakereka sana ninapoona hakuna wakulikemea hili.madawa ya kulevya ukishikwa nayo unauza au unatumia mojakwamoja unachukuliwa hatua,baki pia muuzaji na mvutaji pia hivyohivyo,sasa kwenye hili la ukahaba kwanini liwe la upande mmoja??
 
prostitution is illegal. Sehemu kama marekani hua wanakamata wote wanaume na wanawake, hapa wanakamata wanawake zaidi kwa sababu wanaamini hawa wasipokaa barabarani basi wanaume hawataona....
 
Wote wanatakiwa kukamatwa ila tatizo wanaume utawakamataje? Hao wanawake wanaokamatwa wanakua wamejikusanya sehemu moja. Huwezi ukawakuta wanaume wamejikusanya wakisubiri machangudoa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom