Udhaifu wa polisi sasa waziwazi..

Rabi wa Leo

Senior Member
Mar 5, 2012
104
25
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif amesema kuwa vurugu zilizotokea kwenye uchaguzi mdogo wa Bububu zilisababishwa na Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya SMZ, hivyo kumtaka Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kuchukua hatua. Source; Mwananchi.
 
Huyu jamaa si ni kiongozi wa serikali!
Asie timuliwa kama kocha wa Yanga maana ukiwa mkweli Tz iyo ndio azabu
 
Jamaa katulia kweli muda huu....kumbe kukuru-kakara zote zile zilkuwa ni kutaka cheo (hata bila madaraka) BASI!

Angalia kauli yake utadhani hata sio Mkuu wa Wilaya.............au ndio mambo ya ceremonial titles?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom