Udhaifu wa kigwangala.....

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Haya ni maneno ya kigwangala kupitia profile yake ya facebook....

"...........Msemakweli siku zote huchukiwa na marafiki zake. Nikipatwa na ajali kama hiyo.....hebu malizia hii nukuu ya Babu yangu Shaaban Robert, kutoka Kusadikika! Haya ndiyo yaliyonikuta majuzi, juzi, jana na sitegemei kama yataisha...leo niliitwa na one very senior politician nchini akaniambia amesikitishwa sana jinsi misimamo yangu kwenye mgomo wa madaktari, kwenye kudai haki za wachimbaji wadogo wadogo, kwenye kudai ushuru wa huduma na miradi ya maendeleo, fidia za wananchi waliodhulumiwa ardhi na mali zao kuharibiwa kupisha mgodi wa Resolute, migogoro niliyonayo na Katibu na Mwenyekiti wa CCM wilayani kwangu, ilivyotumika kunichafua na kunikosesha kura! Akaniambia ninyamaze na zaidi nisikate tamaa, huu ni upepo na utapita tu! Nikamuuliza lakini kwani kuweka wazi msimamo wangu kuna kosa gani? Kwamba kwani ukiwa Mbunge wa CCM huruhusiwi kuwa na msimamo wako?

Nikamuuliza kwani CCM huwa haifanyi harakati? Akakosa majibu ya maswali yangu! Akaniambia 'wewe una kipaji na una haiba nzuri, na zaidi una uadilifu, ukitulia utafika mbali kwenye siasa...vumilia na chukua hili kama somo kwako....' Basi nimemsikiliza na ninasonga mbele. Tuufunge mjadala wa uchaguzi wa PAP tufanye mengine sasa!"

My take:
Hapo kwenye red inaonekana anakubaliana na ujinga wa CCM kuwaziba midomo wabunge wake, na yeye kukubali kuzibwa mdomo, je hii ni sawa?
 
nadhani kwa hili amepotoka, ni mtu anayejisikiliza yeye akiongea kuliko kusikiliza wengine

bahati mbaya kutokana na mfumo dhaifu, aliweza kukwea ladder hadi kuwa mbunge, kitu ambacho kimempa grounds za kuamini yeye ni almighty
 
Mimi natafsiri kuwa amempotezea tu na si kwamba amemkubalia vinginevyo asingeandika yote hayo ikiwemo misimamo yake. Mapambano dhidi ya mafisadi na wasiowajibika ni ndani ya kila chama cha siasa hata ndani ya CHADEMA wapo wenye misimamo ya ajabu ajabu kaka huyo senior Politician!
 
Dah!..ni upepo tu utapita!!! Magamba bana na usanii wao!!!!!
 
Kwani kasahau kwenye kura za maoni 2010 hakushinda na alibebwa na hao waliomuita kumshauri au sasa amegundua nini kipya huko CCM?
 
1. He's too local.
2.He's too "Predictable"
3. Opportunist(ic),.... above all.
AAche kulialia!
 
Back
Top Bottom