Udhaifu wa jk:je migomo ya madaktari na waalimu inazidi kuthibitisha kauli ya mnyika??

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Kitendo cha Rais Jakaya Kikwete kushindwa kutatua mgogoro wa madaktari baada
ya yeye mwenyewe kuingilia kati kinathibitisha wazi kauli ya Mnyika kuwa Rais huyu ni
dhaifu. ameshindwa ku offer leadership kwenye swala zima la madaktari na kitendo cha
tatizo hili kujirudia kinaonyesha wazi udhaifu wa kiongozi huyu.
 
Labda anajua kuwa huo ni upepo tu utapita! Ni wazi atajiandaa tena kuongea na wazee wa Dar es salaam na madaktari watapewa ahadi hewa! Watatulia na kisha watarudi kazini!
 
kitendo cha kushindwa kulikabili tatizo linapoibuka na kukimbilia kuongea na wazee wachovu wa dar es salaam ni aina
nyingine udhaifu wa uongozi wa jk kwani rais umechaguliwa ku solve problems na siyo kukimbia ofisi na kwenda kupiga
soga(laying blame) na wazee wa dsm ambao hawakusaidii lolote(intems of ideas) katika kukabiliana na tatizo hilo.
 
Back
Top Bottom