Udhaifu wa ccm au udikteta wa baba wa taifa kumtenga jumbe ccm?

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264

PROFILE

Sheikh Mwinyi Aboud Jumbe (born 1920) was a politician in Zanzibar. He held several positions, including the second president of Zanzibar, chairman of the Revolutionary Council, Vice-President of the Union, and the vice-chairman of the Chama Cha Mapinduzi (CCM) party

Jumbe served as president of Zanzibar from 11 April 1972 until 30 January 1984. He succeeded Abeid Karume as president, following Karume's assassination on April 7, 1972. He was initially elected by the Revolutionary Council as a part of the Afro-Shirazi Party (ASP). While he was in office, in 1977, the two ruling parties of Tanzania merged. In particular, the ASP and the Tanganyika African National Union (TANU), merged to create Tanzania's ruling party, the CCM.
In 1979, Jumbe introduced the first post-revolution constitution of Zanzibar. This separated the powers of the Revolutionary Council and the House of Representatives. Furthermore, the new constitution established elections by universal suffrage, instead of being elected by the Revolutionary Council.

LAKIN HUYU SIMSIKII KATIKA MAMBO MAKUU YA CCM KAMA UCHAGUZI WA MGOMBEA WA CCM ZNZ NA HATA BARA.
VIKAO VYA CCM NA KUWA MJUMBE WA CCM KAMA WALIVYO MARAIS WASTAAFU.
JEEE NI UDHAIFU WA CCM AU UDIKTETA WA BABA WA TAIFA KUKITAKA CHAMA KISIMHUSISHE KATKA MASWALA YA KITAIFA? WAKTI WA MGOGORO NYERERE ALIKUWA NDIO MWENYEKITI WA CCM
 
Hizi politic we acha tu, anapoishi hapo kigamboni ukiona hiyo nyumba ilivyochoka. Ni kama alikuwa dereva wa ikulu na si mtu mwenye profile kubwa like that politic politic politic
 
Back
Top Bottom