Udhaifu wa Azimio la Arusha na Mapokeo Potofu kuhusu Utajiri na Vipato

I have noted with appreciation your positive commentary on AR.

Hapa unafanya kosa jingine kubwa; The Wealth of Nations cha Adam Smith siyo sawa na Azimio la Arusha. Hivi viwili haviko katika usawa mmoja. Kimoja ni kitabu chenye kuelezea nadharia mbalimbali za mfumo wa ubepari na Azimio la Arusha ni tangazo la makusudio ya msimamo wa utawala wa watu huru. AR siyo kitabu cha nadharia za kiuchumi.

Na hata hicho the WN leo hii kinaangaliwa kikiwa na masahihisho mengi sana ya kihistoria na nadharia yake ya Invisible hand imeonekana kuwa haina ukweli kwani hakuna kitu kama hicho. Ndio maana utaona kuwa ukiangalia kwa ukaribu mfumo wa Ujamaa uliopendekezwa na Mwalimu una mvuto zaidi wa ukweli wa hulka ya mwanadamu kuliko the Wealth of Nations (Mwalimu alimsoma sana Adam Smith na kuona mapungufu yanadharia zake).

Ni makosa makubwa kuendelea kuamini kuwa Adam Smith alikuwa sahihi wakati nchi zenyewe za Kibepari zikiachana taratibu na ile form ya pure capitalism.

AR mirrors kazi za kifalsafa za Nyerere. Hivyo tofauti kati Adam Smith na Nyerere ni kuwa kazi za Adam Smith ziliishia kwenye Falsafa tu kwa sababu hakupata nafasi ya kuwa mtawala. Lakini na yeye angepata nafasi ya kutawala, basi angetoa perspectives za jinsi ya kujitawala ambazo zingekuwa na uhusiano na falsafa zake.

Watanzania hatujawahi kutanga makusudio ya jinsi ya kujitawala. Azimio la Arusha ni intellectual work ya mtu mmoja na ilihusiana na siasa za chama chake cha siasa. Hivyo kulipandisha Azimio la Arusha kuwa tangazo la azimio la kujitawala is a bit of an exaggeration. Imefika wakati wa kuheshimu mawazo ya wananchi na sio kuwapandikizia vitu ambavyo hawavijuhi.
 
Azimio la Arusha ni zao la watu ambo ni extremist na ambao ni wachoyo na maskini ambao wanaamini kuwa kila tajiri ni mwizi, mnyonyaji na hawezi kwenda peponi...

Wakati huo huo ubepari kwa tafsiri ya wajinga kama wakenya na wengine waliofuata misingi hiyo ni "Man eat the man" wao nao wamefuate a very extreme view ya kwamba huwezi kuwa tajiri mpaka umnyonye mtu mwingine, udhulumu, uibe, na kufanya ufisadi..ambapo nako hakuna hakuna tija?

The way is between ujamaa na upebari...na kujitegemea ni wazo ambalo ni sahihi mpaka siku ya kiama.
 
Zakumi,

Hili hapo nililolikoleza kwa rangi ya Wazembe wa Msimbazi ndilo hasa ninalojaribu kulielezea ambalo Companero na hata Omar Ilyas, wanajaribu kuonyesha kuwa Chenge ahesabiwe kama amejipatia mali kihalali!

Ni jambo hili la watu kuvuna bila kutoka jasho au kuwa na uchungu ndilo lililozaa dhana potofu kuwa tunaweza kujenga jamii imara kiuchumi na Utajiri (Wealth) kwa kudokoa au kujipatia harakaharaka ambako ndiko Azimio kulilisema kuwa si halali na ni dhambi katika kutoa tafsiri ya sisi kuwa Wajamaa.

Wasiotoa jasho au kuwa na uchungu, ni wanyonyaji, wawe wanaishi katika Ubepari, Ujamaa au Ukomnisti!

Je kupigwa vita kwa Utajiri ambako Azimio lilibainisha kuwa ni kuhusu unyonyaji uwe ni wa kibepari au ki-naizesheni na madaraka, kuligeuzwa kuwa ni vita dhidi ya Utajiri bila kuangalia kwa kina ni kitu gani tunakikana au kusema ni kibaya?

Je Viongozi wetu ambao leo hii tunawaandama kwa kukosa maadili na hata wao kuja na Azimio la Zanzibar, walifanya makusudi kueneza mahubiri potofu kuhusu vipato na utajiri ili wao waendelee kuneemeka kwa marupurupu ya kuwa viongozi na unyonge wa wananchi na hivyo kukomazaa umasikini na utegemezi badala ya kupanda mbegu ya kimapinduzi ya kujitutumua katika kuwa na ubunifu, juhudi, maarifa na kujitegemea katika kujijengea Utajiri kwa tafsiri yetu ya Utajiri na Mazingira yetu?

Je ni kwa kiwango gani Chenge amehusika kifikra na kivitendo kumhujumu Mapunda katika safari yake ya kuwa mtu huru anayejitegemea na mwenye kujitosheleza?

Rev. Kishoka:

Kwanza kuna kijipatia kipato kwa kutoa jasho na pili kwa kutumia njia za halali. Inawezakana Chenge alitoa jasho lakini alijipatia pesa kwa njia isiyo ya kihalali. Huo ni wizi na rushwa.

Hapa Marekani wamemfunga Congress wa zamani wa New Orleans kwa kupokea rushwa ya kutaka kuwawezesha wafanyabiashara wa Marekani kupata biashara Afrika.

Kuna watanzania wanaojipatia kipato kwa njia ya halali na kwa kutoa jasho lao wenyewe. Lakini Nyerere alikuwa influenced na mambo mengi pale alipotunga Azimio la Arusha. Kwa mfano agano jipya linasema ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuuona ufalme wa mbinguni.

Hivyo kuna elements za ujamaa zinazoonyesha kuwa utajiri ni dhambi. Kwa sababu vitabu hata vya falsafa za zamani vilionyesha kuwa njia moja ya kupata utajiri ni kumnyonya another human being.

Lakini kwa maisha ya sasa mtu anaweza kuwa tajiri kwa kutunga vitabu, ku-develop software, kutunga music. Hivyo uwezekano wa kupata utajiri bila exploitation hupo.
 
Zakumi, Tatizo mi nadhani hapa argument za hawa so called Wana Azimio ni kwamba awaangali uongozi uliokuwepo on both arguments. Ujamaa uli-fail wakati tuko na uongozi bora na imara, where by capitalism is struggling wakati tuna uongozi wa ajabu. Na kiongozi ambae aliekua ana tuuzia hii idea alikubali kwa kuachia madaraka. Hivyo unaweza sema tatizo la capitalism na africa ni kwamba it has not been given a fair chance. However as africans we have to learn from other corners of the world why socialism failed despite the efforts exerted. No country with a strong economy today practise socialims. This is a reason enough to abandon the idea altogether.
 
Ghana walitutangulia kupata uhuru na waasisi wake walikuwa wa mrengo sawa au unaokaribiana na wetu... where did they go wrong, or indeed, where did they do a right turn, iwapo pamoja na mabadiliko mengi yaliyopo hivi sasa huko kiuchumi (yaliyojitokeza ndani ya miaka 3 hadi 5 iliyopita, bado hali yao kwa mapana na marefu ni sambamba tu na ile tuliyo nayo sisi - Je, kuna nchi nyingine iliyopata uhuru miaka ya 60 iliyokuwa na azimio kama hili letu? Wako wapi sasa hivi?!!

Steve D:

Katika uongozi, kuna combination ya vitu vitatu muhimu ambavyo vinahitajika. Education or Knowledge, Excellency and Experience. Viongozi wa mwanzo wa Afrika walikuwa Education or Knowledge. Excellency and experience bado viko kwenye short supply.
 
Je, kuwa na education au knowledge bila kuwa na excellency wala experience katika uongozi ina apply kwa Africa pekee, au kuna nchi nyingine zenye kufanana na viongozi wetu katika sovereignty path yao?!
 
Zakumi, Tatizo mi nadhani hapa argument za hawa so called Wana Azimio ni kwamba awaangali uongozi uliokuwepo on both arguments. Ujamaa uli-fail wakati tuko na uongozi bora na imara, where by capitalism is struggling wakati tuna uongozi wa ajabu. Na kiongozi ambae aliekua ana tuuzia hii idea alikubali kwa kuachia madaraka. Hivyo unaweza sema tatizo la capitalism na africa ni kwamba it has not been given a fair chance. However as africans we have to learn from other corners of the world why socialism failed despite the efforts exerted. No country with a strong economy today practise socialims. This is a reason enough to abandon the idea altogether.

JC:

Nadhani kwenye posti moja kwenye hii thread nimeweka hilo wazi. Ubepari hauna practitioners Tanzania. Hivyo failures zake nchini Tanzania hautokani na ubaya wa ubepari.

Kwa upande mwingine ujamaa ulikuwa na architects, institutions na practitioners. Hivyo failures za ujamaa are squarely man-made.
 
Je, kuwa na education au knowledge bila kuwa na excellency wala experience katika uongozi ina apply kwa Africa pekee, au kuna nchi nyingine zenye kufanana na viongozi wetu katika sovereignty path yao?!

Nchi nyingi zilianza hivyo lakini kuna nchi zinaonyesha kuwa zimeanza kuwajibika kwa watu wao na natural resources zao.
 
Kwa upande mwingine ujamaa ulikuwa na architects, institutions na practitioners. Hivyo failures za ujamaa are squarely man-made.

the first part is a half truth the conclusion though I believe is a 100 percent truthful assessment of what really caused the failure of building an African socialist economy.
 
JC:

Nadhani kwenye posti moja kwenye hii thread nimeweka hilo wazi. Ubepari hauna practitioners Tanzania. Hivyo failures zake nchini Tanzania hautokani na ubaya wa ubepari.

Kwa upande mwingine ujamaa ulikuwa na architects, institutions na practitioners. Hivyo failures za ujamaa are squarely man-made.
Za10, kama ntakua mkweli nimeanza kuifuatilia from page six, hila ur 100 when you say a man is to blame. And also the idea behind ujamaa is based on unrealistic utopia, it fails to apply social individual needs. Its purely based on the whole assumption when people have different needs and attitudes towards life. Particularly when needs vary and personlity varies to name a few of these examples, realistically socialism was bound to fail with many reasons. As other have figured already after trying it with enthusiasm.
 
Inawezekana kuna watu wengine wameashaliandika hili huko nyuma ila kwa vile thread hii ina post nyingi sana, naomba samahani kama nitakuwa narudia jambo ambalo wengine walishapost.

Binafsi ninadhani kuwa udhaifu mkubwa wa Azimio uko kwenye contradiction ya azimio lenyewe. Linaamini kuwa maendeleo ya nchi yanategemea (1) watu, (2)Ardhi (3) Siasa safi (4) Uongozi bora. Lakini linasema ni lazima njia kuu za uchumi ziondolewe mikononi mwa watu (namba 1) bali ziwekwe mikononi mwa uongozi (namba 4), , hiyo ni contradiction kubwa sana ya azimio la Arusha ambayo Mwinyi alijaribu kurekebisha lakini akafanya hivyo wa makosa zaidi. Azimio lile liliondoa njia kuu za uchumi kutoka mikononi mwa watu biunafsi wa kawaida kuziweka mikononi mwa viongozi indirectly kupitia nafasi zao katika vyama vya ushirika, mashirika ya umma na kadhalika. Wananchi (The people) walikuwa hawana nafasi ya kufanya maaumizi yoyote kuhsu njia hizo za uchumi. Watu waliokuwapo wakati wa National Milling, RTC, DDC (za wakati huo) wanajua ninasema nini. Inawezekana nia ilikuwa njema ya kuchukua njia hizo kuzitoa mikononi mwa wanyonyaji wa nje na kuziweka mikononi mwa wazalendo, lakini huo ndio udhaifu wa kutukuona madhara ya kufanya hivyo. Bila kufanya kosa hilo, aya nyingine zote za azimio hilo ni clean kabisa.
 
Inawezekana kuna watu wengine wameashaliandika hili huko nyuma ila kwa vile thread hii ina post nyingi sana, naomba samahani kama nitakuwa narudia jambo ambalo wengine walishapost.

Binafsi ninadhani kuwa udhaifu mkubwa wa Azimio uko contradiction ya azimio lenyewe. Linaamini kuwa maendeleo ya nchi yanategemea (1) watu, (2)Ardhi (3) Siasa safi (4) Uongozi bora. Lakini linasema ni lazima njia kuu za uchumi ziondolewe mikononi mwa watu (namba 1) bali ziwekwe mikononi mwa uongozi (namba 4), , hiyo ni contradiction kubwa sana ya azimio la Arusha ambayo Mwinyi alijaribu kurekebisha lakini akafanya hivyo wa makosa zaidi. Azimio lile liliondoa njia kuu za uchumi kutoka mikononi mwa watu biunafsi wa kawaida kuziweka mikononi mwa viongozi indirectly kupitia nafasi zao katika vyama vya ushirika, mashirika ya umma na kadhalika. Wananchi (The people) walikuwa hawana nafasi ya kufanya maaumizi yoyote kuhsu njia hizo za uchumi. Watu waliokuwapo wakati wa National Milling, RTC, DDC (za wakati huo) wanajua ninasema nini. Inawezekana nia ilikuwa njema ya kuchukua njia hizo kuzitoa mikononi mwa wanyonyaji wa nje na kuziweka mikononi mwa wazalendo, lakini huo ndio udhaifu wa kutukuona madhara ya kufanya hivyo. Bila kufanya kosa hilo, aya nyingine zote za azimio hilo ni clean kabisa.

Kichuguu:

Wakati mwingine tunabebeshana mizigo tu kwa sababu hiyo ndio njia iliyowekwa na waliopanga. Kwa mfano ni kawaida kwa mwanafunzi wa Tanzania ambaye hajui kiingereza au ambaye maisha yake yote amefundishwa na mtu asiyejua kiingereza kuwepa nafasi ya kujiunga na sekondari kujifunza masomo yote kwa kiingereza ukiondoa kiswahili.

Jitihada kama hizi hazisaidii na zinatuumiza na kutupotezea wakati na resources.

Inawezakana kabisa, hili mafanikio yapatikane, Azimio la Arusha au Ujamaa una prerequisites zake. Na kuna uwezekano kuwa makosa makubwa ya architects yalikuwa ni kuto-identify prerequisites za mfumo wa nchi kuufuata.

Kwa mfano Bolsheviks walianza kujenga ujamaa wa kirusi kwa kushawishi kiakili. Lakini baadaye waligundua kuwa ushawishi wa kiakili autapeleka popote na baadaye walianza kutumia mabavu.
 
Mwalimu Kichuguu,

Nashukuru kwa kuja na kuchangia na kutupa macho mapya (different perspective) kuhusiana na suala zima tunaliongelea hapa.

Ukweli ni kuwa nafikiri mjadala huu na hasa hapa tulipo tunapoongelea suala la Utajiri, Vipato na mapokeo potofu, ndipo mahali pekee patakapoweza kutuamsha upya kama Taifa na kwenza kuendelea mbele na safari ya kulijenga Taifa.

Ndio tunatofautiana kimtazamo wengi wetu kwa kuwa tunapima na kuliangalia Azimio Zima na ndio maana kuna Zakumi anayesimama kidete kusema Azimio halikuleta manufaa, na Mwanakijiji anasema tumepiga hatua kubwa sana za kimaendeleo kama nchi, pamoja na hali halisi.

Ukondoa Zakumi ambaye anapingana na Azimio la Arusha kwa sababu za msingi za kifalsafa na kiuchumi, kuna wengi ambao hata hizi juhudi zetu za kulirudia Azimo la Arusha au kubainisha ni wapi tulikosea hawafurahii kazi yetu.

Kuna wengi waliokuja katika mada kadhaa kuhusu Azimio la Arusha zilizopita ambao walitoa kauli za kubeza Azimio na hata wanaolitetea Azimio na kudai bila vielelezo au kufafanua kuwa Azimio ndio chanzo cha umasikini wetu kama Taifa.

Lakini kiini cha mjadala wakati huu ni kuhusiana na mapokeo potofu na madhara yake ambayo yametufanya tuamini kuwa Utajiri na kipato cha kiwango kilicho bora (I was reminded today taht salary cap was placed and existed at such lower lever due to Nyerere's insistance that his salary should not be more than Shilingi Elfu tano and everyone was scared to have a salary greater than the president!) cha mshahara ni sumu katika kujenga jami ya haki na kijamaa.

Ukiangalia sana, sasa mduara umefika hatua ingine ambapo walewale waliokuwa ma DDD sasa ni makada wa Chama, wajumbe wa NEC, CC, Wabunge, Mawaziri na kadhalika, na kama ilivyokuwa miaka 40 iliyopita, wameendelea kuwa lile tabaka linaloneemeka kwa marupurupu na upendeleo maalumu, huku wakiwahubiria Wananchi umuhimu wa kuwa Wajamaa Kamili na kuwa kwa mwananchi kuongezewa kipato chake ni kitu kigumu kutokana na hali ngumu ya uchumi.

Lakini cha ajabu ni kuwa katika hali hii hii ngumu ya uchumi ambayo tumehubiriwa na kuhamasishwa tufunge mikanda, wao walio wateule wameendelea kunenepa na kunawiri!
 
Frankly ninalipenda sana azimio lile, na kama leo nikipewa madaraka ya nchi nitalirudisha ila kabla ya kufanya hivyo nitalikarabati kwa kuondoa vipengele vyote vinavyohusu umilikaji wa njia za uchumi na kuweka kipengele nitakachoita RUKSA kutokana na filosofi ya Rais Mwinyi. Sera ya utaifishaji nitaitekeleza tena kwa nguvu sana ila nitaipaka mkorogo kidogo kuondoa ukoko ulioachwa na ujamaa. Utaifishaji wangu utakuwa na maana ya kuwa asilimia kubwa ya ownership iwe ni ya watanzania.

Tatizo kubwa liko kwenye preparedness ya watanzania wangu hao. Wengi wao bado ni vilaza sana kiasi kuwa hawawezi hata kumwajibisha mtu waliyemwajili wenyewe kama vile mbunge; sijui kama kweli wanaweza kusimamia hizo njia za uchumi baada ya kucheleweshwa kwa kiasi kikubwa vile.
 
Mh, with all the respect. Hila haya ndio mambo ya un'gan'ganizi na kisha kulalama na umaskini wetu. Kwanza thanxs for simplyifing future problems kutokana na fikra za watanzania. Hapa embu tuulize swali moja iwapo unajua hawa watu hawapo tayari kujiendesha uoni ni bora tu ya waendeshwe na walio tayari kuendesha. Mfano what happended na vitu vilivyotaifishwa na Azimio la Arusha let me refresh ur mind vilikufa miradi yote viwanda, maduka na mashamba vyote vilikufa. Leo hii unasema ungekua wewe utarudia tena kutaifisha na papo hapo unasema watanzania hawapo tayari. Kwa mtaji huo unampango wakurudisha umaskini upya kwani sababu ni zile zile. You embark on a course because you know its gonna work and not because we think it might work. Hivyo crying for ujamaa in tanzania is crying for poverty tu under the current social thinking even if we use the one aspect of social thinking ambayo umeileta, zipo na zingine nyingi tu za kusema utafail huo ujamaa.
 
Hapana, umenielewa vibaya !! Dah, hebu soma tena post yangu.

Azimio la Arusha lilikuwa na hasi na chanya zake. Nililosemna ni kuwa chanya zilikuwa nyingi kuliko hasi kwa hiyo nitalirudia kwa kuondoa hasi zake.

Huna haja ya kurefresh my mind kwa sababu ninajua kila kitu kuhusu hasi za Azimio lile. Tatizo la watanzania wengi wanadhani maisha duniani hapa yanatakiwa yawe kama ahera ambapo kila kitu kinakuja automatically, na nadhani kuwa ndiyo maana mafisadi wanatutumia kirahisi. Wana-identify hasi chache katika jamii halafu wanazitumia kujinufaisha, na kwa bahati mbaya huwa wanapata wafuasi wengi kama wewe ndugu yangu Juma Contena.

Mapungufu ya watanzania katika kujiendesha ndilo jambo linalotakiwa kushughulikiwa na viongozi wetu badala ya wao kutumia mapungufu hayo kuuza nchi kwa kamisheni ndogondogo.

Mambo mengine uliyoandika hayana maana yoyote ya kimantiki kwa hiyo sintayaongelea isipokuwa hayo ya red na blue hapo juu.
 
Mwalimu Kichuguu,

Nashukuru kwa kuja na kuchangia na kutupa macho mapya (different perspective) kuhusiana na suala zima tunaliongelea hapa.

Ukweli ni kuwa nafikiri mjadala huu na hasa hapa tulipo tunapoongelea suala la Utajiri, Vipato na mapokeo potofu, ndipo mahali pekee patakapoweza kutuamsha upya kama Taifa na kwenza kuendelea mbele na safari ya kulijenga Taifa.

Ndio tunatofautiana kimtazamo wengi wetu kwa kuwa tunapima na kuliangalia Azimio Zima na ndio maana kuna Zakumi anayesimama kidete kusema Azimio halikuleta manufaa, na Mwanakijiji anasema tumepiga hatua kubwa sana za kimaendeleo kama nchi, pamoja na hali halisi.

Ukondoa Zakumi ambaye anapingana na Azimio la Arusha kwa sababu za msingi za kifalsafa na kiuchumi, kuna wengi ambao hata hizi juhudi zetu za kulirudia Azimo la Arusha au kubainisha ni wapi tulikosea hawafurahii kazi yetu.

Kuna wengi waliokuja katika mada kadhaa kuhusu Azimio la Arusha zilizopita ambao walitoa kauli za kubeza Azimio na hata wanaolitetea Azimio na kudai bila vielelezo au kufafanua kuwa Azimio ndio chanzo cha umasikini wetu kama Taifa.

Lakini kiini cha mjadala wakati huu ni kuhusiana na mapokeo potofu na madhara yake ambayo yametufanya tuamini kuwa Utajiri na kipato cha kiwango kilicho bora (I was reminded today taht salary cap was placed and existed at such lower lever due to Nyerere's insistance that his salary should not be more than Shilingi Elfu tano and everyone was scared to have a salary greater than the president!) cha mshahara ni sumu katika kujenga jami ya haki na kijamaa.

Ukiangalia sana, sasa mduara umefika hatua ingine ambapo walewale waliokuwa ma DDD sasa ni makada wa Chama, wajumbe wa NEC, CC, Wabunge, Mawaziri na kadhalika, na kama ilivyokuwa miaka 40 iliyopita, wameendelea kuwa lile tabaka linaloneemeka kwa marupurupu na upendeleo maalumu, huku wakiwahubiria Wananchi umuhimu wa kuwa Wajamaa Kamili na kuwa kwa mwananchi kuongezewa kipato chake ni kitu kigumu kutokana na hali ngumu ya uchumi.

Lakini cha ajabu ni kuwa katika hali hii hii ngumu ya uchumi ambayo tumehubiriwa na kuhamasishwa tufunge mikanda, wao walio wateule wameendelea kunenepa na kunawiri!

Unfortuntely, watu wote wameumbwa kutamani utajiri, ndiyo maana lugha zote duniani zina neno linalofanana na "kutuma". Hakuna kosa kwa mtu kuwa tajiri ila ni kosa kwa mtu huyo kuwa tajiri kwa kutumia njia haramu kama vile kwa kuua mtu mwingine kusudi aondoe moyo wake na kuuza kwa bei kubwa.

Kwa maoni yangu, nadhani kuwa Azimio la Arusha lilikuwa linajitahidi kuzuia watu wasijipatie utajiri kwa njia haramu lakini kwa kufanya vile likawa linawabana waengine wasijipatie utajiri huo kwa njia halali. Kuna matajiri wengi sana duniani waliojipatia utajiri wao kihalali bila kuwanyonya wengine kinyume na inavyokuwa stipulated kwenye Azimio. Ndiyo maana nilisema hapo juu kuwa nitaweka kifungu cha RUKSA.
 
Hapana, umenielewa vibaya !! Dah, hebu soma tena post yangu.

Azimio la Arusha lilikuwa na hasi na chanya zake. Nililosemna ni kuwa chanya zilikuwa nyingi kuliko hasi kwa hiyo nitalirudia kwa kuondoa hasi zake.

Huna haja ya kurefresh my mind kwa sababu ninajua kila kitu kuhusu hasi za Azimio lile. Tatizo la watanzania wengi wanadhani maisha duniani hapa yanatakiwa yawe kama ahera ambapo kila kitu kinakuja automatically, na nadhani kuwa ndiyo maana mafisadi wanatutumia kirahisi. Wana-identify hasi chache katika jamii halafu wanazitumia kujinufaisha, na kwa bahati mbaya huwa wanapata wafuasi wengi kama wewe ndugu yangu Juma Contena.

Mapungufu ya watanzania katika kujiendesha ndilo jambo linalotakiwa kushughulikiwa na viongozi wetu badala ya wao kutumia mapungufu hayo kuuza nchi kwa kamisheni ndogondogo.

Mambo mengine uliyoandika hayana maana yoyote ya kimantiki kwa hiyo sintayaongelea isipokuwa hayo ya red na blue hapo juu.
Mkuu first thing first haya mambo ya kusema watapata wafuasi kamwe sio mimi I have firm principles. Pili lazima uelewe ideas za maendeleo zinatolewa na viongozi na ufuatwa na jamii. Ndio hapo siasa bora inapoingia, kuzingatia na sheria zetu za shagla baghala i dont know how you intend to implement Ujamaa realistically. vile vile lazima uongelee self will in participation, tumeona jinsi ujamaa ulivyotupotezea scholars wengi kwa kutokua valued na paid accordingly with their market value. Maendeleo hayaji na politicians KAMWE, unahitaji talent zenye ubunifu dunia ya leo. Hivyo basi sababu zote zinalenga kwenye ujamaa kuto-encourage ubunifu. Si ajabu tanzania always inakubwa na repepetive problems.
 
Back
Top Bottom