Udbs hamtendi haki na hizo internship zenu.

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Huu umasikin wetu mmeamua kuutumia vizuri...kuna internship za UDBS(advans bank, ttcl na kwingineko) watu wanalipwa 150,000/months, ambayo 5,000/day-hela ambayo tuliigomea tukiwa chuo...kibaya ni kwamba mwanzo walihaidi watalipa 250,000 lakini ghafla wamebadilika na kuanza kulipa 150,000. Pia inasemekana kuwa pesa hizo ni za DANIDA, wenye mradi hapo UDBS kuweni na huruma hata kidogo.
 
Mwanzoni mlipoambiwa mtalipwa 250000 mlisaini mkataba au mliambiwa kwa mdomo. Kama kuna mkataba nanyi mkakubali kubadilishiwa kiwango kwa maneno real elimu itakuwa haijawakomboa pamoja na business law ya 1&2 yr. Kazi ni ngumu sana ila tusikubalu kunyanyasika.
 
unapiga kelele laki na nusu watu wanafanya internship na hawalipwi hata dala
 
Mwanzoni mlipoambiwa mtalipwa 250000 mlisaini mkataba au mliambiwa kwa mdomo. Kama kuna mkataba nanyi mkakubali kubadilishiwa kiwango kwa maneno real elimu itakuwa haijawakomboa pamoja na business law ya 1&2 yr. Kazi ni ngumu sana ila tusikubalu kunyanyasika.

mkuu mi sipo kwenye hiyo program, kwa taharifa nilizonazo, wananadai mkataba ulikuwa written na umekuwa applicable kwa mwezi mmoja wa kwanza pale Advans, mwezi uliofuatia wakaambiwa watawapa 150,000....bado sijajua terms & conditions za mkataba wao zilikuwaje.
 
Hii program ilivyokuwa ni nzuri sana ila tayari watu washaingiza mikono yao na hawa waliopo kwenye intenship wasipokuwa makini hata hiyo miezi sita hawatafika, mi nawashari wawe wakali sana bila hivyo UDBS imekaa kibiashara wataliwa wakizubaa.
 
Mwanzoni mlipoambiwa mtalipwa 250000 mlisaini mkataba au mliambiwa kwa mdomo. Kama kuna mkataba nanyi mkakubali kubadilishiwa kiwango kwa maneno real elimu itakuwa haijawakomboa pamoja na business law ya 1&2 yr. Kazi ni ngumu sana ila tusikubalu kunyanyasika.

kaka umekumbuka mambo ya OFFER and ACCEPTANCE, INVITATION TREATS. Wale jamaa wa law nomaa nawakumbuka vizuri.
NARUDIKWENYE MAADA,
Minadhani kama mliwekeana sahihi kuhusu mailipo ya s.150000, hapo mmejifunga.
 
aaah aah walikudaka nini, maana aisifuye mvua....
 
mkuu mi sipo kwenye hiyo program, kwa taharifa nilizonazo, wananadai mkataba ulikuwa written na umekuwa applicable kwa mwezi mmoja wa kwanza pale Advans, mwezi uliofuatia wakaambiwa watawapa 150,000....bado sijajua terms & conditions za mkataba wao zilikuwaje.

jua kwanza terms za mkataba zen ucomplain what if huo mkataba ulikuwa first mont 250000 the rest of days 150000 hapo utacomplain nin?
 
hata kama mkataba unasema hivyo, still hawatendi..gharama za maisha zinapanda wao wanapunguza pesa?
 
jamani kukosekana kwa ajira kusitufanye tukanyanyasika we must open up our mind.... Kama vip solidarity can b applied hapo.
 
hata kama mkataba unasema hivyo, still hawatendi..gharama za maisha zinapanda wao wanapunguza pesa?

UDSM tulipogoma mwaka 2011 wakaongeza boom sa hv ni 6500 per dy, leo wanaandaa program wanakulipa 5000 per day.. Mean maisha ya mtaani na chuo yap ni gharama?
 
si wanalipwa 75,000 au? Sikutegemea mtu kama kessy awe na mawazo ya kinyonyaji namna, acha wamalizie nyumba zao.
 
Huu umasikin wetu mmeamua kuutumia vizuri...kuna internship za UDBS(advans bank, ttcl na kwingineko) watu wanalipwa 150,000/months, ambayo 5,000/day-hela ambayo tuliigomea tukiwa chuo...kibaya ni kwamba mwanzo walihaidi watalipa 250,000 lakini ghafla wamebadilika na kuanza kulipa 150,000. Pia inasemekana kuwa pesa hizo ni za DANIDA, wenye mradi hapo UDBS kuweni na huruma hata kidogo.

Kwanza naomba unipe mchakato wa kupata hiyo internship.
Pili kuna watu graduate wa Tumaini walikuwa wanafanya internship wizara flani,wao walikuwa hawalipwi ila wamekaa kuvizia nafasi za kazi na kupata experience....by the way UDBS wafanye mambo kulingana na vision na mission za school yao!
 
ndo zile internship za kupeana mbona mimi mwana udbs lakini nasikia tu kuna watu wanafanya crdb. nyie si mmezoea kuchakachua chakachuen basi na hayo malipo. mnapeana eeeeeeeeeeehhhhhh mlidhani hizo ni posho za bungeni. ushauri; gomeni kunji la ukweli
 
Back
Top Bottom