UDASA Wagomea JAKAYA Kutunukiwa PHD ya HESHIMA

yes aliwahi!!!


Mwalimu alipewa nyingi, kwa Tanzania alipewa mwaka 1998 kama sikosei na SUA , PhD (Rural Development).

kazi karibu zote alizowahi kuzifanya zilikuwa kwa ajili ya maendeleo vijijini...tena kwa dhati..tuanze Azimio la Arusha, Azimio la Musoma, Madaraka mikoani, opeshesheni vijiji vya ujamaa, kilimo cha kufa na kupona, siasa ya uijamaa na kujitegemea yenyewe....vyama vya ushirika...e.tc. e.t.c.....

ilisomwa speech almost 1 hr ikionyesha maeneo haya aliyoyafanuia kazi kwa dhati.......mzee wa watu alisimama kimya wala hakutetereka......akaipokea kwa unyenyekevu.....

alipewa PhD hii miaka mingi baada ya watu kukiri na kuopna impact ya filosofia zake....

Enyi Mukandara na wenzio, lazima muone aibu....munajustify vipi hii phd mnayotaka kumzawadia huyu mheshimiwa ukizingatia huu ndio mwaka wa sita madarakani??? subirini amalize ngwe yake ndio tufanye impact analysis
 
Labda kama ni PHD ya ahadi Lukuki kwa last election
Yana mwisho aya wakimpa PHD na akapita am sure wataishia kujuta!
 
Hata JK hajiiti. Anaitwa na vyombo vyetu vya habari ITV ikiongoza. Wengine wanaomwita ni wanaojikomba kwake kwa sababu mbalimbali. Hata hivyo, kwani hastahili? Vyuo vikuu vilivyompa heshima havitambuliki? Au hatumpendi tu 24/7?


yule bwana anapenda sana kuitwa DR...anapenda sana huwa anajisikia furaha sana pindi akiitwa....angekuwa hapendi angekataaa......
 
Nadhani mimi kwa baadhi ya michango yangu humu JF tokea 2006 ninastahili zaidi kutunukiwa hiyo shahada ya heshima kuliko yeye.
 
Katika mambo ambayo yataishuhia heshima chuo hicho ni pamoja na hili ............la kumtunukia hiyo degree
 
Katika mambo ambayo yataishuhia heshima chuo hicho ni pamoja na hili ............la kumtunukia hiyo degree
JK ana michango yake nchi hii:
-UDOM
-Sekondari za Kata
-Uhuru mpana wa habari ikiwemo JF
-Uhuru wa kuchaguana. Juzi hakukanyaga kabisa Igunga.
 
Naungana na hoja iliyotolewa kuwa bwana mkubwa sasa apewe U-porofesa maana hizi PhD anazo za kutosha. Ni rais pekee duniani mwenye PhD za namna hii nyingi!!! Kila chuo kikuu Tanzania kimempa PhD...bado hizi University colleges nazo kumpa!!!

Finger crossed!!!
 
..Hawa wafuatao ndio so far wamewahi kutunukiwa Shahada za Heshima za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam





S/N
NAME
DEGREE
DATE/YEAR
Degrees of the University E. A (Dar es salaam)

1
Prof. Karl Worth Bigelow
Doctor of Literature(honoris causa)
1970
2
Hon. Solomon Nkya Eliufoo
Doctor of Laws(honoris causa)
1970
3
Edward Walter Russell
Doctor of Science(honoris causa)
1970

Degrees Awarded by UDSM
4
Hon. Justine Philip Telford
Doctor of Laws(LL.D)
1973
5
Hon. Abdulkarim Yusufali Alibair Karimjee
Doctor of Laws(LL.D)
1973
6
Hon. Aboud Jumbe Mwinyi
Doctor of Laws(LL.D)
1976
7
Hon. Adam Sapi Mkwawa
Doctor of Laws(LL.D)
1980
8
Hon. Amir H Jamal
Doctor of Literature(D. Litt)
1980
9
Dr. W K Chagula
Doctor of Science(honoris causa)
1981
10
Dr. Basil Risbridger Davidson
Doctor of Literature(D. Litt)
1985
11
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Doctor of Literature(D. Litt)
1986
12
Dr. G .L Monekosso
Honorary Doctor Of Science(honoris causa)
1989
13
Prof. Tormod Forland
Honorary Doctor Of Science(honoris causa)
1990
14
Ambassador Amon James Nsekela
Doctor of Literature(D. Litt)
1990
15
Professor Dr. Ir.Godfried D.Vogels
Honorary Doctor Of Science(honoris causa)
1998
16
Ambassador J.V Mwapachu
Doctor of Literature(honoris causa)
2005
17
Hon B.W Mkapa
Doctor of Literature(honoris causa)
2006
18
Prof. Sven Erick Jorgensen
Doctor of Science(honoris causa)
2007

Mbona Ruksa hayumo? Ina maana Jk ni smart zaidi ya Ruksa?
 
Hapa UDASA mnacomplicate bure,mpeni hizo PHD tena zikizidi muiteni Prof.Kikwete acheke chekeeee hadi basi.Huyu rais ni kituko tu.
Tena Maaskofu jiandaeni kumtangaza Baba Mtakatifu!!!Maadhimisho yenyewe si "Miaka Hamsini Ya UHUNI"

OMG....kweli hii ndo JF............MIAKA HAMSINI YA UHUNI.............hahahaaaa, mbavu zangu mie
 
hawa wasomi wa wapi wanaotaka kutoa phd ya namna hiyo? kwa lipi au net?mi nashangaa sijui ni hiki?taaluma imeingiliwa na siasa?wenye moyo safi na nia pigana huu ushenzi usitokee!CHUO SASA CHA 38 BARANI AFRIKA TOKA KUMI BORA MIAKA YA NYUMA, BADO MNATAKA KUGAWA PHD AMBAZO ZITASHUSHA ELIMU TYA TZ, VYUO VYETU VISITHAMINI VIHIYO!
 
Kwa kitendo cha JK kupewa PHD na chuo kikuu nakikana rasmi hiki chuo kwamba sijasoma hapo. Kwanza alipata degree ya kwanza kweli hapo ama alifanya certificate/ diploma maana huu uwezo wake unanitia mashaka.
 
Mwl hakutaka kuitwa dk make alijua mwenyewe na dunia ilijua kuwa ni dk wa ukweli, wale ambao uwezo hawana wanapigana kuitwa, shenzi typ, kasome huko muwe madk!
 
Hivi kwanini wakuu wa vyuo Tanzania wanapenda kujikomba kwa Jk. Mwaka jana tuliona alipewa pale UDOM baadae akaja tena Muhimbili Kina Kisali Palagyo wakajikomba kwake na kumpa nyingine kwa kusingizio amefanya makubwa kwenye sekta ya Afya. Wakati huyu Jk alisema atatoa bajaji ili kina mama wanao jifungua vijijini watumie kwenda hospitali wakati wa kujifungua, hapo hapo akawa ameruhusu wabunge kupewa million 90 kwa ajili ya kujinunulia magari, mi nadhani kwa hili tu Jk hakupaswa kupewa ile Phd ya Muhimbili, ila kwa sababu kina Palangyo wanajikomba kwake waka mpaka, kweli nimeamini wasomi wetu wanaendeshwa na wanasiasa.
 
Hivi marehemu baba wa Taifa JK Nyerere alishawahi kupewa Ph.D ya heshima? mi naona watu vilaza vilaza ndiyo huwa wanang'ang'ania hii kitu!

Mkuu,
Mwalimu alipewa nyingi tu alipewa hizo honoris causa nyingi tu, kutoka

  1. University of Edinburgh (Uingereza),
  2. Duquesne University (Marekani),
  3. University of Cairo (Misri),
  4. University of Nigeria (Nigeria)
  5. University of Ibadan (Nigeria)
  6. University of Liberia (Liberia)
  7. University of Toronto (Kanada)
  8. Howard University (Marekani)
  9. Jawaharlal Nehru University (India)
  10. University of Havana (Cuba)
  11. National University of Lesotho (Lesotho)
  12. University of the Philippines (Ufilipino)
  13. Fort Hare University (South Africa)
  14. University of Dar es salaam (Tanzania, mwaka 1986)
  15. Sokoine University of Agriculture (Tanzania)
  16. Lincoln University (Marekani)
Lakini hata mara moja heshima hiyo hakuitambia wala kuibeba kama utambulisho wake.
Msikasirike sana wakuu, hata kwa Dr.B.W.Mkapa , na Dr.Aboud Jumbe tuliwapa, ops, UDSM iliwatunuku
 
Nadhani mimi kwa baadhi ya michango yangu humu JF tokea 2006 ninastahili zaidi kutunukiwa hiyo shahada ya heshima kuliko yeye.

kuanzia leo na kutunukia PHD ya kujiheshimu kwa anaye kuheshimu
Dr Nyani Ngabu
nenda kwa invisible akubadilishie hiyo ID sawa..
 
Dr of Globe Tourist (Doctor of GT)??? Nafikiri kama watampa hii ana haki 100% na nyie mnaopinga mna wivu wa kike
 
Back
Top Bottom