UDASA Wagomea JAKAYA Kutunukiwa PHD ya HESHIMA

CHUO KIKUU cha Dar es Salaam ndiyo chuo kikongwe hapa nchini na kinaheshimika duniani kote, kisigeuzwe kuwa CHOO KIKUU ambamo mende na nzi ndiyo makazi yake.

Mambo ya watu kujipendekeza kwa ajili ya personal interest zao nasema, kwa jina la aliyeumba mbingu na ardhi washindwe na walegee.
 
Hivi marehemu baba wa Taifa JK Nyerere alishawahi kupewa Ph.D ya heshima? mi naona watu vilaza vilaza ndiyo huwa wanang'ang'ania hii kitu!
 
sitaki kuamini kama wote ha2na akili kiasi hicho. apewe ya uchakachuaji ndiyo inamfaa. 'NENO BAYA' asante watanzania wachache kwa kutufanya wote mazuzu
 
Katika kuadhimisha miaka 50 Ya Uhuru wa Tanganyika , utawala na uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam umepanga kumtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete, mzaliwa wa Msoga Mkoa wa Pwani Shahada ya Uzamivu/PHD ya Heshima.

Sasa katika hali isiyotabilrika wasomi wa chuo hicho kupitia UDASA wamekua wakigomea kutunukiwa kwa huyu bwana kwa madai kuwa hastahili kupewa Heshima hiyo kwakua hakuna la maana alilolifanya kustahili Tuzo na hakika wametoa wito kwa Utawala wa chuo kujitenga na propaganda za ajabu ili tu kuupumbaza Umma kuwa anakubalika na kuheshimika sana miongoni mwa wasomi katika Tanzania hii.

(.Note..................................habari hii nimeipata pale ofisi za UDASA kwa Mkufunzi aliegoma kunitajia jina.)
...Safi kabisa. Hivi wao wanadhani hizo PhD ni za kugawa tu. Hata kama mnaamua kutoa sadaka sio kwa Kikwete jamani eh! akitaka aende shule akatoke jasho sio kila siku yuko barabarani anasafiri then eti anatunukiwa PhD.
 
Mungu wangu eeeeeeeeeeeeee............hana hata supplementary.............ngoja nikamalizie sup yangu mie nisije shindwa graduate nikapoteza miaka yangu minne
AANDIKE THESIS YA MAMBO YOTE ALIYOYAFANYA AMABAYO YANAMFANYA APEWE HIYO PHD YA DHARAU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
UDASA wako sahihi! Nothing outstanding has so far been done or seemingly in a pipeline to be accomplished by this goon and goofy President.
 
Haiwezekani utawala wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wajifanye hawaoni madhaifu ya kiongozi wetu huyu, hasa yanapokuja masuala ya kiuchumi. Taifa linakumbwa na janga la kuporomoka kwa viashiria vya uchumi (mfumuko wa bei, kukosekana kwa nishati, uzalishaji viwandani kudorola, ajira kuwa tatizo kubwa). Pamoja na yote hayo, tumeona na kusikia kauli za chama tawala kwamba, uchumi wa nchi unakua kauli ambayo inafanana na zile za kusema chama kinaongeza umaarufu huku kinaporomoka kwa kiwango kikubwa tu.

Sasa kama wataalumu wa taasisi ya elimu ya juu wakianza kufanya upuuzi wa namna hiyo, wananchi tufanyaje? Hata kwenye masuala ya kijamii Rais huyo huyo alisikika akisema eti wasichana wanaopata mimba na hata ukimwi ni vihelehele/viherehere (sina unahakika neno lipi ni sahihi hapo). Halafu leo kupitia vyuo fulani vilivyoamua kuacha wajibu wa kutoa huduma za kitaaluma na kuingiza propaganda za siasa jamaa anaitwa Daktari yaani PhD holder kwa lugha ya Kiingereza. Hii ni kupunguza tija na hamasa kwa wengine wenye bidii ya kutaka kuzipata PhD kupitia jasho na umakini wa hali ya juu.
 
Katika kuadhimisha miaka 50 Ya Uhuru wa Tanganyika , utawala na uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam umepanga kumtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete, mzaliwa wa Msoga Mkoa wa Pwani Shahada ya Uzamivu/PHD ya Heshima.
Sasa katika hali isiyotabilrika wasomi wa chuo hicho kupitia UDASA wamekua wakigomea kutunukiwa kwa huyu bwana kwa madai kuwa hastahili kupewa Heshima hiyo kwakua hakuna la maana alilolifanya kustahili Tuzo na hakika wametoa wito kwa Utawala wa chuo kujitenga na propaganda za ajabu ili tu kuupumbaza Umma kuwa anakubalika na kuheshimika sana miongoni mwa wasomi katika Tanzania hii.

(.Note..................................habari hii nimeipata pale ofisi za UDASA kwa Mkufunzi aliegoma kunitajia jina.)

Looooo natumaini akitunukiwa huko chuo.Basi tunamkailibisha Roman kumtunuku ukadinali.
 
SOMA HII HAPA

UDASA Wagomea JAKAYA Kutunukiwa PHD ya HESHIMA
Katika kuadhimisha miaka 50 Ya Uhuru wa Tanganyika , utawala na uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam umepanga kumtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete, mzaliwa wa Msoga Mkoa wa Pwani Shahada ya Uzamivu/PHD ya Heshima.

Sasa katika hali isiyotabilrika wasomi wa chuo hicho kupitia UDASA wamekua wakigomea kutunukiwa kwa huyu bwana kwa madai kuwa hastahili kupewa Heshima hiyo kwakua hakuna la maana alilolifanya kustahili Tuzo na hakika wametoa wito kwa Utawala wa chuo kujitenga na propaganda za ajabu ili tu kuupumbaza Umma kuwa anakubalika na kuheshimika sana miongoni mwa wasomi katika Tanzania hii.

(.Note..................................habari hii nimeipata pale ofisi za UDASA kwa Mkufunzi aliegoma kunitajia jina.)

Eti kwa mfumo huu kwa nini tusiwape vijana wanaorisiti kila kukicha vyeti vya heshima vya kurisiti ili nao wajione kwamba wamefanya kitu fulani..........
 
uwii mambo mengine yanatia hasira, uwiii, hii thread inanikwaza naogopa ban mie, uwiiii jamani hebu nisiendelee kuandika uwiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mie naona apewe Sabodo kuliko JK .Why JK ? Kafanya nini wapi na lini ?
 
Tanzania inapoteza mwelekeo, Heshima hailazimishwagi, inakuja yenyewe kulingana na matendo yako!
 
Sasa kama Agostino Lyatonga Mrema ni PhD holder wacha wampe JK aliyesoma pale digrii ya kwanza na akaipata wakati ule UDSM ni UDSM kweli chini ya ukansela wa Mwalimu.
 
Udsm inajishushia hadhi sasa,

walitakiwa wamuite aitetee bachelor yake ya "economics" na ameifanyia nini kabla ya kumpa hiyo phd.

Wamuhoji hiyo ya kwanza na kama ameporomoka kiwangu waichukue hiyo bachelor yake inayoitwa ya economics ,

"serikali haina uwezo wa kufanya mvua inyeshe"
 
NAKEMEA KITENDO HICHO CHA JEI K KUPEWA PHD from UDSM
Hastahili kabisa kabisa.
Wanadhalilisha hadhi ya PHD jamani. Hizo ni fadhila za Mkandara
 
Back
Top Bottom