UDASA Wagomea JAKAYA Kutunukiwa PHD ya HESHIMA

Amini nawaambieni "Atatunukiwa tuu!."
Kwani siku zote nabii hakubaliki nyumbani. Kama JK ameshatunukiwa honorary degree na nchi za wenzetu, why not asitunukiwe ya nyumbani.

Anachofanya Prof. Mukandala ndicho kile kile kinachofanywa na Dr. Bana kwenye utafiti wa Redet, ni kujikomba tuu kwa JK.

Jamani lazima tuwe watu wa shukrani. Namuunga mkono Prof. Mukandala kwa asilimia 100% kumtunukia JK hiyo Ph.D ya heshima kama shukrani yake binafsi kwake kwa kumpatia u VC na shukrani kwa taifa kutimiza miaka 50 ya uhuru hivi tulivyo!.
 
JK bwana, yuko so busy kutafuta cheap popularity! na sijui kwa nini watu bado wanajipapatikia kwake waqt wanajua kabisa kuwa hastahili kupewa fadhila yoyote! inasikitisha kwa taasis nyeti na kubwa na ya kisomi kama UDSM ku-contemplate kumpa PhD mtu kama JK. wamwachie alizokuwa nazo zinamtosha. si zimeshamfanya aitwe Dk JK, nyingine ya nini? tuache unafiki, hatujengi chochote

Acheni wivu wa kike nyie ambao ukimuona mwenzako yuko na kishtobe wake ww inakuuma , mwacheni apewe anastahili
 
Amini nawaambieni "Atatunukiwa tuu!."
Kwani siku zote nabii hakubaliki nyumbani. Kama JK ameshatunukiwa honorary degree na nchi za wenzetu, why not asitunukiwe ya nyumbani.

Anachofanya Prof. Mukandala ndicho kile kile kinachofanywa na Dr. Bana kwenye utafiti wa Redet, ni kujikomba tuu kwa JK.

Jamani lazima tuwe watu wa shukrani. Namuunga mkono Prof. Mukandala kwa asilimia 100% kumtunukia JK hiyo Ph.D ya heshima kama shukrani yake binafsi kwake kwa kumpatia u VC na shukrani kwa taifa kutimiza miaka 50 ya uhuru hivi tulivyo!.
You are very smart unaongea kama utani kumbe uko serious hahahaa.
 
Tena wasimpe huyo bwana, katika uongozi wake na katika kipindi chote cha usomaji wangu/uanafunzi wangu huyo bwana hajawahi hata kutia mguu pale. Amekuwa akieneza uvumi mbaya juu ya udsm na amekitenga ktk maendeleo, jitihada zake zipo UDOM kwake Udsm nikama kambi ya upinzani. Kifupi NAWAUNGA MKONO UDASA KWA MSIMAMO WAKE, HIYO PHD HAITAKUWA NA MAANA, NI KAMA VIONGOZI WA UDSM WANAJIPENDEKEZA!
Bora angepewa mtikila ambaye kla cku anaenda mahakaman kudai mgombea binafsi kuliko huyo ******
 
Wakati TZ wanafyatua PHD holders, wengine wanawaandaaa
kazi zao zinaonekana na zimethibitishwa
inawezekana JK anapewa ya kusafiri nje ya nchi maana anaonekana amevunja rekodi
 
Katika Uongozi wake Chuo Kikuu Cha Dar es salaam kimekufa kitaaluma kwa kutengwa kwake kimaendeleo na kwa propaganda, walimu wengi wamehamishiwa Udom. Hastahili kupewa hiyo Phd. Akipewa naikana degree yangu na nipo tayari kuanza 1st year huko Somalia!
 
Hastahili bora wamkatalie kwani atunukiwe kwa lipi rais kwa miaka yake 6 amekuwa nje ya nchi zaidi ya mwaka mmoja hafai
 
Nauliza kama kuna njia yeyote ya kumvua mtu degree aliyepewa PhD ya aina hii kwa sababu najua kabisa hajaandika thesis yeyote na kui defend, naomba kama kuna anayejua process yeyote ili nikamilishe utafiti wangu.
 
Dr. Kitila Mkumbo, mmoja wa members wa UDASA, yupo humu. labda atueleze kinaga ubaga kuhusu hili
 
kama ni kugawa ph.d kwa mchango wa mtu kwa taifa si mara mia apewe bakhressa kuliko huyo.

hii nazi inapenda slope
hivi inadhani ph.d ni kama zile suti!??????
Khaaaaa kweli (wakware) ni sooooooo bora apewe mtu anaetoa mchango kwa taifa hili si anaeliangamiza
 
Naungana na mchangiaji mwenzako hapo juu,wampe na uprofessor itakuwa safi,mkandala ni mnafiki kweli kaleta fitina mpaka Prof Luanga(Member) kaondolewa ndio shida kuwapa mangwini waendeshe chuo;;Hon Dr. Prof Jakaya Mrisho Kikwete,UDASA KAZENI UZI KAMA NI HESHIMA MPENI PIA SABODO,BAKHRESSA,ZAKARIA,MENGI,MO,wakimpa JK Phd pia wampe na rostam
 
sitaki kuamini kama wote ha2na akili kiasi hicho. apewe ya uchakachuaji ndiyo inamfaa. 'NENO BAYA' asante watanzania wachache kwa kutufanya wote mazuzu
 
sitaki kuamini kama wote ha2na akili kiasi hicho. apewe ya uchakachuaji ndiyo inamfaa. 'NENO BAYA' asante watanzania wachache kwa kutufanya wote mazuzu
 
Back
Top Bottom