Udahili wa kozi ya magereza kuna kipengele cha udhalilishaji

Unaenda kwenye mtaro unapanua miguu yako au unainama mkuu anapitisha mikono yake kwa Tigo ana angalia uharibifu kama upoo
 
Duh! Mi napita tu jamani,sikuwahi kusikia hizi habari tangu nizaliwe.

msafiri hata mimi nilishangaa kama wewe baada ya kusimuliwa ndio nikaamini ila kwa wadau walivyotoa point ya kufanya hivyo ninakubaliana nao maana unaweza kuwa unajamba jamba kwenye gwaride ukaleta aibu bure
 
Unaenda kwenye mtaro unapanua miguu yako au unainama mkuu anapitisha mikono yake kwa Tigo ana angalia uharibifu kama upoo

no no no no no sio hivyo bana akushike kwa mikono yake?? hapo sio umekosea mkuu
 
mkuu sidhani kama uko sahihi ina maana wanaozinyoa ni *******? nahisi kwa yule aliyesema wanakupima kwa kukohoa nahisi ndio sahihi kipimo tosha swala la nywele nahisi wengi huwa tunanyoa kila wiki tuna vipara kabisa maana ni moja ya uchafu ukikaa nayo muda mrefu.

Aisee mnawezaje kunoa huko nyuma, msaada tafadhali
 
mkuu sidhani kama uko sahihi ina maana wanaozinyoa ni *******? nahisi kwa yule aliyesema wanakupima kwa kukohoa nahisi ndio sahihi kipimo tosha swala la nywele nahisi wengi huwa tunanyoa kila wiki tuna vipara kabisa maana ni moja ya uchafu ukikaa nayo muda mrefu.

So mkuu unapitisha wembe??? acha zako bhana
 
Dah hii thread imenipa vitu vingi sana, pia kuna jamaa yangu nae alifanyiwa kipimo kama hicho pale jitegemee, lakini wakuu hivi askari wa Zenji wanapass vipi? Naomba muongozo wakuu
 
Aisee nilikuwa sijui binam yangu alifanya udahili wa kozi ya kwenda kusomea askari magereza alishapita hatua za mwanzo kabisa ni kuingia na kuanza kusoma ila katika kupimwa afya na mambo mengine kuna lingine limenisikitisha swala la kupimwa kama wewe ni mzima au umeshachakachuliwa sehemu zako za nyuma kama ni mtoto wa kiume aisee hili linahusiana vipi na kufanya kazi za uaskari magereza?? Nahisi ni aibu kubwa sana

wanapimaje ?
 
Wanaipimaje hiyo sifuri?
 
Back
Top Bottom