Udadisi: CCM - Udhalimu, CHADEMA - Haki, tumia busara na hekima!

Paddy

JF-Expert Member
Sep 22, 2010
459
303
Wadau hakuna asiefahamu ukweli wa hayo. Kwa bahati mbaya sina rafiki au jirani ninaemfahamu ambae ni shabiki wa ccm yaani UDHALIMU, kwa ambaye anafahamu sababu ya watu kushabikia ccm atusaidie tuelewe. HAKI NA UDHALIMU, KIPI HUSHINDA??
 
Back
Top Bottom