Soma kuhusu assets na uwezo wa UDA humo ndani kulinganisha na makampuni binafsi! Kumbe hata leo hii UDA ina mabasi mengi kuliko wamiliki wengine wote wa daladala Dar!
Mzee Mwkjj, sasa naanza kuamini kuwa wewe una mtazamoa wa mlengo wa kushoto (nachelea kuutaja Ujamaa, watu watanishangaa). Kumbuka mfumo huu tulioukumbatia unaitwa Ubepari unafanya kazi kama KOKORO ambalo husomba kila takataka.