UDA: Connetion ya Robert Kisena na msharika wake Ridhiwani Kikwete!

Tanzania itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno!.
Kadri siku zinavyokwenda ndivyo ninavyozidi kumkumbuka Mwalimu Nyerere. Sera yake ya Ujamaa na Kujitegemea ililenga njia zote kuu za uchumi ziwe mikononi mwa umma ili kitakachopatikana, tukigawane kwa wote, Hali sasa ni tofauti, gap kati ya wenye nacho na wasionacho linazidi kukua. Sasa tuna makundi matatu ya nchi, Wenyenchi, Walanchi na Wananchi!.
Naunga mkono hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ridhiwani si mbadhirifu ila watu wasiomtakia mema wamemjengea chuki bila sababu yoyote. Mtoa hoja hear and say is not an evidence. Unapo toa hoja tafadhali toa ushahidi mahiri ili usionekane una chuki binafsi.
Kutoka Msoga hadi Maswa kwenda kumdhamini Kisena kwani huko Maswa hakuna wanaccm wengine ?
 
Tatizo ni kuwa watawala wamejiaminisha kuwa Watanzania ni binadamu tofauti na binadamu wengine kwamba wataendelea kuinama kwa heshima, kuzungumza kwa nidhamu na wataendelea kukubali tu. Tayari Watanzania wameshajionesha mara kadhaa sasa kuwa wako tayari kuipinga serikali yao waziwazi bila kujali gharama. Kwa kadiri serikali inaendelea kuact with utter contempt of the people ndivyo hivyo inazidi kuwasukumiza wananchi kwenye kota ya kukata tamaa.
We
Mwenzenu hofu yangu kubwa ni kwamba Tanzania tumekubali kuwa kama Nigeria. Na naamini tutakuwa kama Nigeria na ngoja tu mafuta yaanze kuja ndio tutakiona cha moto.
Watanzania ni tofauti na binaadamu wengine. Sisi ni watii, wapole, wenye heshima, wanyenyekevu, wastahimilivu, wavumilivu na watulivu tunaokubali kila kitu tunachoambiwa na viongozi wetu.

Hivyo tutaendelea kuinama kwa heshima, nidhamu na unyenyekevu na kukubali kila kitu.

P
 
Watanzania ni tofauti na binaadamu wengine. Sisi ni watii, wapole, wenye heshima, wanyenyekevu, wastahimilivu, wavumilivu na watulivu tunaokubali kila kitu tunachoambiwa na viongozi wetu.

Hivyo tutaendelea kuinama kwa heshima, nidhamu na unyenyekevu na kukubali kila kitu.

P
Paskali sio tu ni upole,tuna ugonjwa wa kuaminini miujiza.
Tunajua kabisa toka mwanzo kuwa Kisena hana sifa za kuongoza au kumiliki kampuni ya umma,bado tukampa ili ATENDE MIUJIZA,MIUJIZA NDIO HII KUFUNGULIWA MASHATAKA YA UFISADI na bia mwenzake yaani serikali.
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom