Uchunguzi wa kina

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,432
3,006
Inasemakana kuwa katika africa mashariki watu ambao wana matumbo makubwa na havi weight katika vikosi vya police na jeshi la wananchi basi tanzania na zanzibar ni ya wa kwanza,hii ni kweli kabisa,ukiangalia nchi za ughaibuni huko na america huwezi kuona mkuu wa jeshi au wa chini kabisa anatumbo kama tank ya maji,wote wana six paki,kwa nini hapa kwetu wana jeshi wetu wana matumbo makubwa ? Au ndio sera ya kuwa mwana jeshi lazima uwe na tumbo kubwa na police ? Au tuseme hawapatiwi vifaa ya kufanya mazoezi ili waweze kupunguza matumbo na havy weight ?
 
hakuna kazi zaidi ni kwenda kusaini na kusubiri mkwanja kati na mwisho wa mwezi..
 
Polisi wetu kazi yao kubwa ni kupokea rushwa tu hakuna jingine!! yaani mtu anakuwa na Ndambi kuubwa mpaka anakuwa wa mviringo!! sijui hata km kazi za usiku wanaziweza
 
Back
Top Bottom