Uchumi umetushinda, mafisadi hatuwawezi na kuvaa nayo pia!!!

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,167

_DSC1058.JPG

Dk Bilal akiwa mbuga za Serengeti
clinto355.jpg

Bill Clinton akiongea na Pius Msekwa Ngorongoro Crater

Sisi Watanzania hata kuvaa kwendana na mazingira imekuwa shida.Ni lini tutaacha kuvaa suits kwenye mbuga za wanyama.Angalia viongozi wa nchi ngingine wakiwa holidai.

obama-on-beach.jpg

Barack Obama holiday in Hawaii


tony_blair_bali_06.jpg

Tony Blair on holiday Bali


79c5401452db633184b94f38a84f_grande.jpg

Nicolas Sarkozy on holiday in Egypt


Russian-Prime-Minister-Vl-009.jpg

Vladimir Putin on Holiday
 
Shepu za kuvaa casual wazitoe wapi? wengi wao wamenenepeana na suti zinaficha matumbo wasionekane vituko.
Mila za kitz pia haziruhusu kuvaa kaboka na kivest hadharani hasa ukiwa mtu mzima kama huyo Gharib hapo, can u imagine?
 
Huyu baba kwanza afadhali kaanza kupendeza baada ya kupigika kwa muda mrefu...akitafuta urasi..pande za zanzibar..yataka moyo kubadili mnazi huyu....
 
Hawajui time ya official and casual wear, most probably hawana advisor wakuangalia mambo ya wardrobe!
 
Tatizo walilonalo viongozi wetu ni kutaka kuonekana wapo tofauti na wengine kila wanapokwenda
 
Ni mazoea tangu wakiwa wadogo wamerithi/wamekuwa wakiwaona viongozi wengine vivyo hivyo.
Leo hii akivaa pensi looo magazeti yatauza kwelikweli
 
Hirizi kila kona, viwembe vimepita kila sehemu, shanga za kumwaga viunoni na haziruhusiwi kuonekana. Sasa avae kabukta ili iweje???
 
Hirizi kila kona, viwembe vimepita kila sehemu, shanga za kumwaga viunoni na haziruhusiwi kuonekana. Sasa avae kabukta ili iweje???


,,,,,,Na mazoezi hakuna,sasa huo UGOKO si utakua ka FIMBO mzazi,bora wayafunike hivyohivyo na makaunda yao hayo.
 
Sio viongozi tuuu, hata sisi wa kawaida tu bado ule ufahamu wa nini kivaliwe wakati wa kwenda trips kama hizo bado mdogo. Nimekwenda Arusha NP juzi juzi wakati wa ile promo yao, wengi waliokuja kule uatafikiri walikuwa wapo kanisani or something. Matenge ya kinaijeria, kaunda suti, michomekeo ya maana na mkuki moyoni za Kichina (viatu vilivyochongoka kwa mbele hivi)!

Utamaduni wa casuals sisi (sina hakika 'sisi' nia akina nani!) hatuna, full stop.
 

_DSC1058.JPG

Dk Bilal akiwa mbuga za Serengeti
clinto355.jpg

Bill Clinton akiongea na Pius Msekwa Ngorongoro Crater

Sisi Watanzania hata kuvaa kwendana na mazingira imekuwa shida.Ni lini tutaacha kuvaa suits kwenye mbuga za wanyama.Angalia viongozi wa nchi ngingine wakiwa holidai.

Yaani hapa msekwa kachemsha kweli kweli
 
Back
Top Bottom