Uchumi supermarket quality center

sakapal

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,804
1,424
Jamani naombeni msaada nimeboeka hadi basi na hasira juu hv hawa wenyehii supermarket wanataka watu waende pale kuuza sura tuu? Kwasababu mimi sijawaelewa kabisa maana yao ya kutangaza kwenye redio kwamba wana vunja bei hasa sukari kwa shilingi 1,700 halafu kufika pale sukari ya kilombero kilo shilingi 2,700 na nyingine imewekwa kwenye mfuko wa kilo 5 ambazo huna mzani wa kuhakiki kama zimetimia kg 5 wanauza shilingi 12,500 sasa wanautani au kibonde anavotangaza kwenye redio ndo anadanganya? Kweli nimeboeka ukizingatia sukari inatumika sana na nikipata kilo 5 kwa bei ya 1;700 inakuwa imenisevu kwa mwezi mzima je wanajamii mmegundua hili? Naombeni msaada ktk hili pls
 
ungechukua sukari mpaka kaunta halafu unapatania bei. wao kuweka bei ya sh 2700 ni bei anzio tu. sema watz hatuna tabia ya kupatania bei ya v2 supermarket. hiyo bei wazungu wanaita offer price
 
Kweli na mie narudi kwa mangi mambo ya kuaibika na kurudisha toroli baada ya kukuta bei siyo lol japo nimesikia kabisa redio clouds wakisema uchumi supermarket wanavunja bei au nyie hamjasikia?
 
Back
Top Bottom