Uchsawi bonge la dili

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,683
8,829
Kweli raha ya mchawi nikushinda, hata
kama ushindi huo haukutokana na uchawi
wake lakini atasema `mnaona' nyie
nichezeeni tu'
Lakini hata mimi nikajiuliza kama mchawi
anaweza kujigeuza paka, kama mchawi
anawez kusafiri kwa ungo , kama mchawi
anaweza kutembea mbele za watu
tusimuuone, hatuoni hilo ni zinga la dili,
kwanini tusiliboreshe tukaweza
kuwaangamiza mafisadi wakati wapo
kwenye kikao chao tunanafika tunasikiliza
mwisho wa siku, mahakamani tuna
ushahidi dhahiri.
Au vitani wote twajigeuza mipaka, nani
uataua paka wasio na hatia, mmmmh,
halafu mwaafiri na ungo, hatuhitaji
ndege, fikiria Dar hii ingejaa ungo
zinatembea hewani, Mumarekani
angetuonea gele....jamani nyie wachawi
mnapoteza nguvu zenu kuwangia watu
bila faida, itafuteni faida ya
kitaalamu...hili ni zinga la dili kwenu
 
ndio ujiulkize, kama kweli uchawi upo, mbona hauja tumiwa kwa njia hizo?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom