Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 7,979
- 13,630
...utasikia huyu jamaa mchoyo! Au huyu jamaa bahili...je m2 anaweza kuwa mchoyo na asiwe bahili? Au awe bahili na asiwe mchoyo? "Bahili anasifa zipi? Na mchoyo je? Wanajamvi, naombeni mnipe tofauti kati ya wawili hawa, BAHILI vs MCHOYO! Nawasilisha