Uchoyo uwo!

Fafanua mkubwa huo UCHOYO wa type gani !
Hivi unafahamu kuna mavitu/malaji mengine hayana KUKARIBISHANA ?
na malaji hayo Respect yake ya kuyala ni UCHOYO?
KITUMBUA NILACHO mie JUDGEMENT nikukaribisheje wewe ?
Wakati mi mwenyewe HAKINISHIBISHI ndiyo maana nakila kila siku na bado HAKIPUNGUI Volume
Quality
Quantitiy
 
Back
Top Bottom