Uchovu wa mwanaume kipindi mkewe mjamzito

ndisinzowa

Member
Aug 18, 2010
86
14
Wakuu,eti hii ina ukweli?mwanaume anakuwa mchovu naye anapenda kulala lala wakati mkewe mjamzito..eti wanasaidiana uchovu?hebu ambao mna wake ambaowashakuwa wajawazito fungukeni kuhusu hilo..kuna ukweli?
 
kwani hamjui kwamba kuna wanaume huwa wanawabebea wake zao mimba? ni kweli ila inategemeana na emotional attachment kati yenu manake kuna wanaume wengine wao ndo watakula ubuyu na malimao wake zao wakiwa wanamimba wengine hadi maembe machanga. kasheshe ni pe anapoumwa uchungu baba, siku ya mama kujifungua. yaani anaumwa tumbo sana utafikiri anataka kuzaa lakin mkewe ndo anasukuma mtoto..

binafsi sijui kwanini hii hutokea ila nimewah kushuhudia mchungaji jiran yangu akiugua uchungu mkewe akazaa pasi uchungu sielewi ilikuwa ni kawaida ama kuna utundu hapo kwli sina hakika.
 
To some extent ni kweli mi ilinitokea first trimister hadi tumbo linachafuka na kukosa appetite ya kila kitu!!!.
 
Hakuna kitu kama hicho,usisikize maneno ya waswahili, connection ipo wapi hapo, mayb mafua kama alivyosema mdau hapo juu
 
Uchovu upo kwa sababu umeanzia mbali. Pale unazuga tu, si unajua tena mama anakwenda bench na nafasi yake inachukuliwa na ...... Wanaume tunajifanyisha hakuna uchovu ile ni zuga tu ili mama asistukie dili.
 
hapana kujua hii ki2 kwa kweli..........

meisikia tu wakijisemea but sijaprove kwa kweli...

hope ni kweli tena wanatakiwa waumwe na uchungu aiseee............
 
Hakuna kitu kama hicho,usisikize maneno ya waswahili, connection ipo wapi hapo, mayb mafua kama alivyosema mdau hapo juu

Mkuu acha ubishi kama haijawah kukupata then sikiliza kwa wakongwe! Its true na I don't know why!yaan mie hamu ya kumkandamiza ilitoweka kabisa mpaka nkawa najishtukia may b nina tatizo!alivojifungua tu mh hamu debe yaan mpaka ikawa kero mkuu!
 
Ni huruma tu ukamhurumia hamna kitu kama hicho, wanaume wake zao wakiwa wajawazito wengi wanahisi hata kufanya mapenzi nao ni dhambi au wanawaumiza, wakati wanawake wengi huwa hamu zinapanda mara dufu
 
Wakuu,eti hii ina ukweli?mwanaume anakuwa mchovu naye anapenda kulala lala wakati mkewe mjamzito..eti wanasaidiana uchovu?hebu ambao mna wake ambaowashakuwa wajawazito fungukeni kuhusu hilo..kuna ukweli?

Hii ni kweli kabisa huwa inatokea ila inategemea na emotional and Pyschological attachment kati ya mke na mume.
 
Inashangaza watu kuishi au kuamini kwenye 'myth' kwa kusingizia psychological and emotional attachment, za wapi hizoooo??? Maswala mengine tunayazusha na kuyakubali na matokeo yake yanakuwa magonjwa.... hakuna connection yoyote whether physiological, medical, psychological labda ni mile tu social connection na kumuonea huruma mwenza wako lakini si kuumwa eti na tumbo, sijui kichefuchefu... lies, myth!!!
 
kwani hamjui kwamba kuna wanaume huwa wanawabebea wake zao mimba? ni kweli ila inategemeana na emotional attachment kati yenu manake kuna wanaume wengine wao ndo watakula ubuyu na malimao wake zao wakiwa wanamimba wengine hadi maembe machanga. kasheshe ni pe anapoumwa uchungu baba, siku ya mama kujifungua. yaani anaumwa tumbo sana utafikiri anataka kuzaa lakin mkewe ndo anasukuma mtoto..

binafsi sijui kwanini hii hutokea ila nimewah kushuhudia mchungaji jiran yangu akiugua uchungu mkewe akazaa pasi uchungu sielewi ilikuwa ni kawaida ama kuna utundu hapo kwli sina hakika.

Naunga mkono hoja
Mke wangu wakati ni mjamzito miezi mitatu ya kwanza nilitapika sana kichefuchefu sana kula udongo na ndimu kwa sana na nilikuwa wakati mwingine mchovu hata kazini kuna wakati nilikuwa siwezi kwenda wakati yeye wala hajisikii kichefuchefu wala kutapika mpaka alikuwa ananionea huruma ila kuanzia mwezi wanne na kuendelea ile hali sikuwa nayo tena kwakweli niliteseka sana kipindi hicho ijapokuwa sijui kulikuwa na connection gani kwani hospitali nilipoenda hawakuona tatizo lolote lile ila nakumbuka muuguzi mmoja mama mtu mzima aliniuliza mkeo anaujauzito nilipomuambia ndio akanisikitia tu na kuniambia hiyo hali itaacha yenyewe
 
Back
Top Bottom