Ni hawa akina Manji wenye kununua viwanja vya bakwata na kuviuza? Mbona kwa sasa ndiyo wana ukwasi zaidi lakini hatuoni wakiwekeza kwenye shughuli za maendeleo ya waislam? ah nimesahau...mfumo kristo unawazuia...
Kanisa lilikuwa linahofu kuwa mali walizokuwanazo Waasia Waislam zikitiwa katika harakati za Waislam ambao walikuwa na nguvu kubwa katika uwanja wa siasa zitaathiri maslahi ya Ukristo katika Afrika ya Mashariki. Kwa ajili hii Kanisa likatanganza kuwa Uislam ni adui wake na likaanza mikakati ya hujma dhidi ya Uislam ili kuudhoofisha.