Ni kwasababu tunawashangaa sana kulalama kumchafua mfu na wala msijipiganie kwa alie hai Kikwete awasaidie kutatua matatizo kaka.
Kupapambana na mfu ni chuki na hasira zisizo na mantiki wa faida ni ujinga wa wajinga kulilia makaburi yawasaidie, werevu hupambana na waliohai wawasaidie kutatua matatizo kwa fada ya uhai wa wanaoishi na vizazi vyao.
Jipime upo kupambana na makaburi na unaakili timamu? au nimwerevu kupambana na kiwete, Bilala, said mwemama, kinana, mohamedi shein nk iliwakukwamueni huko mlikozama? .........................
Kwani Kiwete ndiye Nyerere? Bado hujajuwa mada ni kitu gani?