'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

wamechochea mpaka miundo mbinu ya train ikaharibiwa na wafanyabiashara ya magari makubwa na mpk sasa mtoto wa mbowe anamiliki zaidi ya malori 100 ya mizigo.cdm hamfai kwa uchochezi huu!

we fanya kazi mtoto wa mbowe kafanya kazi ajaiba
 
Kuna watu wamechoka na amani ya nchi hii, nadhani ccm inatupekela pabaya. Hizi propaganda baada ya kupewa vijicent zinaweza kukurudia pale utakapoona damu inamwagika kwa sababu ya maneno yako unakaa chini mwenyewe na kuyaandika. Muwe waangalifu jamani, kama mumeshaona kuwa hamkubaliki tena kutawala, achieni ngazi taratibu sio kuandika mambo yasiyo na mbele wala nyuma ili tu kuhadaa ulimwengu.
 
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!
huu ni upuuzi kabisa.
Ujinga kama huu ndio unaosababisha vyama vingine kikiwemo ccm kuzidi kuporomoka.
hoja hamziwezi mlichobakia nacho ni kutafuta maneno ya chokochoko,
na wananchi wameshawaelewa wala hawawsikilizi tena.
 
great thinkers fungukeni!mbona mwaniangusha?
Wafunguke kwa hoja gani ya maana uliyoleta? Pamoja na OP ulizoongea kwenye hoja yako bado unajaribu kutudanganya hapa hata Malawi wanachochea M4C!
Hivi hata wewe mrembo umefikia hatua hiyo au wewe ni mdau wa gamba mojawapo linaloshindwa kulala vizuri kwa sababu ya M4C nini? Poleeee...
 
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!

Mimi nimeishapigia kelele sana haya mambo, serikali imelala na kuwaachia sana hawa.
 
great thinkers fungukeni!mbona mwaniangusha?

CDM kweli hawafai, pamoja na migomo yote, wakamteka Dr. Ulimboka wakamtesa, wakasababisha mafuriko Dar, wakasababisha ajali za meli za Spice Islander na Mv Stagit. Wamefanya maisha ya wa-TZ kuwa magumu tangu uhuru. Wanafuga na kulinda mafisadi wakubwa nchini. CCM tuwagoe madarakani hawa watu.:israel:
 
Yaani Uda umenichochea mpaka nikasoma thread yako na comment zote
U made my day hongera sana Uda
 
Last edited by a moderator:
wamemchochea jk akapige picha na 50cent, then akasahau negative, ni juzi juzi alisafiri tena kwenda kuchukua negative! Uda M4C hawafai wallah!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom