'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

umeshau umaskin ujinga...wanachochea kuficha mahela uswiz, pia wamechochea adi tanesco wakanunua box la misumari paund elfu 54...mbaya zaidi hawa chadema wamechochea taifa kuingia hasara kila mwaka kwa kupoteza billion 70, kuwalpa wa2mish hewa
 
Teh teh yani hawa CHADEMA wamemchochea RAIS ateue MAJAJI VIHIYO, pia kama haitoshi wanamchochea apende kuzurura nje ya nchi kupiga picha na kina 50 CENT.
 
umeshau umaskin ujinga...wanachochea kuficha mahela uswiz, pia wamechochea adi tanesco wakanunua box la misumari paund elfu 54...mbaya zaidi hawa chadema wamechochea taifa kuingia hasara kila mwaka kwa kupoteza billion 70, kuwalpa wa2mish hewa
sana sana mkuu.
 
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!

Walimu je?
 
KWAHIYO PIA CDM WAMECHOCHEA-
1. akina maige na wenzake kufanya ufisadi
2. kuuzwa kwa sehemu ya mbuga ya Loliondo amabapo ukiingia tu unaambiwa karibu katika falme za kiarabu
3. wamechochea maisha duni kwa kila mtanzania
4. wamechochea wizi wa mali za umma
5. wamechochea ufisadi wote nchini
6. wamechochea babu wa Loliondo kuua watanzania kwa madai kuwa amepata dawa ya kuponya kisukari, tb, ukimwi, kansa n.k
7. wamechochea mabomu ya mbagala na gongo la mboto
8. wamechochea Kamati ya Bunge ya nishati na madini kutajwa kula rushwa hata kuvunjwa
9. wamechochea nguzo za umeme za tanzania kununuliwa na Tanesco kama nguzo za kutoka Afrika kusini au kenya
10.wamechochea ufisadi wa wizara ya afya

mm niwashauri ccm mjue kuwa cc wananchi sio wajinga na wala hatudanganyiki. hizo ni dhambi zenu wenyewe kwa kushindwa kuwajibika kwa wananchi. ccm ufisadi mliouasisi utawatokea puani, uzuri tunajua mambo yenu, kitakaposhinda chama chochote cha upinzani, tutamkamata mmoja mmoja na kuwafilisi mali zote, hatuna muda wa kupoteza kuwapeleka mahakamani mkatupotezee karatasi, wino na kodi nza wananchi.

kama hamuamini jiulizeni nn kiliwatokea Uchaguzi Mkuu wa 2010

Msingechakachua nnn kingetangazwa? mnajuaa saanaaa.................
 
Unafikiri watu kujaa kwenye mikutano ni kukubalika! watanzania katapila ikiwa inafanya kazi wanajaa kuitazama, itakuwa cdm wasioijua? Ni lazima waje wawashangae hao akina mbowe, slaa, sijui Godbless lema ndio kina nani. Wakitoka hapo "business as usual"
 
Kweli CDM mmezidi acheni kuchochea, mkishindwa kuacha punguzeni basi ili hawa jamaa wapate hata kamuda wapumue walau kidogo. Maana wamechanganyikiwa, nilimsikia mkuu wa kaya anasema waliotoa matamko ya vita dhidi ya malawi ni wapinzani na wenye uchu wa madaraka, nikajiuliza kumbe LOWASA NA MEMBE ni wapinzani? jibu sikupata, ila nadhani ni kazi ya M4C mmemchanganya mzee wetu, punguzeni jamani.
 
Ni kweli uchochezi wa CHADEMA umeifikisha nchi pabaya lakini na huyo anayekoka huo moto anyooshewe kidole pia sio anayeuchochea peke yake!
 
Ni kweli uchochezi wa CHADEMA umeifikisha nchi pabaya lakini na huyo anayekoka huo moto anyooshewe kidole pia sio anayeuchochea peke yake!
'
anayeukoka ni JK na anayeuchochea ni serikali yake ikisaidiana na wabunge wa CCM na NAPE.
 
wamechochea mpaka miundo mbinu ya train ikaharibiwa na wafanyabiashara ya magari makubwa na mpk sasa mtoto wa Mbowe anamiliki zaidi ya malori 100 ya mizigo.CDM hamfai kwa uchochezi huu!
 
We na wewe sijui ila kama wote huko ccm mpo ivi ni maombi yanaitajika ya kufunga
 
Back
Top Bottom