'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

mnyika ndio huyu huyu alimtumia sms mbunge wetu wa iramba.yaan chadema!

mbaya zaidi hivi karibuni alifanya mkutano wa kwenye mitandano na amepanga kuwashawi watanzania wagome kuajiliwa maana pesa yao inainufaisha ccm hata pensheni zao si umesikia chadema imeshawi serikali isiwalipe wafanyakazi wanao achishwa kazi mpaka wafikishe miaka 60..
 
UDA nimekukubali kwa kutumia lugha ya kisanii kufikisha ujumbe. Ingawaje kuna wengine umewaacha nyuma kwa hatua kadhaa!!!!

Tiba
 
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!

We Uda umesahau CDM pia wamechochea mashekh wamepinga uteuzi wa Kadhi! Tehe tehe tehe!
 
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!

hahahahaha
 
Mleta mada nime kukubali! Umecheza vizuri na hii lugha!
 
Ajali za majini wanasababisha wao. Wanawahonga manahodha. Na ile iliyotaka kutokea kigoma ya ndege ni wao pia.
 
lazima tupime kiwango cha u-great thinker jamvini otherwise tuendelee na mada.hebu chadema jiteteeni kwa tuhuma hizi za uchochezi.

Mkuu UDA

unahitaji kupongezwa na sintakusahau kamwe.

Nijukumu la watanzania hususan wataalam wa malumbano hum jf kufaham kwamba

1. Kwa m4c na chadema kuna neno, no long at easy. Vikwazo vipo hatunabudi kupambana na kuvishinda.

2. Kwa wapinzan wa chadema, wote wamepata wasaa mzuri wa kuprove debate zao. Kwamba mengi ya mambo yasemwayo si ya kweli na ni uzushi tu.

Kwa ujumla ni quiz nzuri na kila alie great thinker atafakali zaid kama is it possible cdm has a hand in all these problems, the answer is No.
Why .... Kila mmoja atakuwa na majibu yake sahih.

BIG UP UDA.
 
uchochezi=kutafuta umaarufu.
CCM tuachane na visingizio bali tusolve matatizo ya wananchi.
Hongera mleta thread.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Kweli nami nime amini maneno ya mtoa mada inawezekana cdm walimchochea Ndugulile hili aka washawishi wananchi wa kigamboni wagomee mradi wa mji mpya sasa nime amini!

Na cdm ndio walishawishi lowasa akatangaze kwenye vyombo vya habari kuwa tuko tayari kwa vita wakati wowote!
 
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!

Hakyanani kama ni GREAT THINKERS, UDA nimekupa MIA. avatar mpaka thoughts zako zime-match ile mbaya. natamani kukuona PHYSICALLY. girl you are a GENIUS. nasikia CHADEMA wana phd za ushawishi. wana mpango wa kum-shawishi mheshimiwa dhaifu atoke ikulu kabla ya 2015 kwa hiari yake. halafu walivyo na utaalamu nasikia mwenyewe atatoka huku anaji-chekelesha, si unajua anavyopenda kukenua brothermen!!!??? ha ha haaaa!!!! UDA bhana, thank u so much, you have real made my day.
 
Uchochezi wa mwisho wa M4C:
- Walimchochea Pinda aseme kuwa Wakuu wa Wilaya na Mikoa ni wajibu wao kuhakikisha CCM inashinda - Liwalo na liwe!
-
Walimchochea Makinda awakataze wabunge wote kuzungumzia rushwa majimboni kwao
- Kama haitoshi, M4C walimchochea Mkuu wa Kaya ateue majaji kinyume na katiba, na pia wanawachochea majaji hao kutokuwa waadilifu.

M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah! - Uda
 
sasa hivi kinachofuatia cdm wahamasisheni wanaume wawanyime huduma wanawake wanaopigia ccm kura..
nimekusoma uda
 
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!

Mabilioni yaliwekwa Uswiss pia yamechochewa na CDM
 
Chadema wakasema liwalo na liwe, wakasema hawataki kura za wafanyakazi, wakasema wanafunzi wanapewa mimba kwa kiherehere chao, wakasema hawajui kwanini tz ni masikini, na hawakuishia hapo wakasema wafanyakazi wakigoma au kuandamana watashuhulikiwa na ikibidi wagawane majengo ya serikali yani moi muimbili na kwa kova central au segerea Chadema Wana chafua Hali ya ccm hawana Hata huruma Dah
 
Umesahau walichoche hadi mwezi haukuonekana wakati muafaka.
wamechochea mvua za masikia zikawa nyingi kuliko kawaida yake hadi baadhi ya mahindi yakaharibika
Tena chadema hao hao wemechochea hadi meli za Wairani zikabeba bendera za Tanzania na kuleta kizaa zaa duniani
Ona hata sasa wanachochea hadi wabunge wanaanza kukacha vikao vya bunge ..
Hawa chadema sasa ni mwiba
 
Cdm hatari sana walimshawishi Magufuli awambie wakazi wakigamboni na wengine wanao tumia kivuko wapige mbizi kama hawawezi kulipa nauli.
 
Back
Top Bottom