Baba Hellen
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 763
- 91
Kwanguvu hiiii walahiiiiiiiiiiiiiiiiiiii watakushawishi ugome kwenda haja zote
'mlichochea' kina mgaya yakapita
'mkachochea' wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
'mkachochea' wamachinga wa mbeya mkayamaliza
'mmechochea' wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa 'kuchochea' waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!
Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!
hebu ona sasa haya ya uamsho na shekh Ponda!
Ha ha ha!isome thread yote mkuu!MPUMBAVU mkubwa, unapoongelea masuala ya siasa usipende kuhusisha migomo ya vyuo vikuu na uchochezi wa wanasiasa Kwani hiyo Chadema ilituletea hela tuandamane?. migomo ya vyuo inasababishwa na ucheleweshwaji wa pesa ambao husababishwa na serikali iliyopo madarakani sasa uhusiano wa pesa kucheleweshwa na serikali na Chadema kusababisha migomo uko wapi? Mara ngapi pesa ikija kwa wakati umeshawaona wanafunzi hawa wakiandamana? Acha kuishi kwa kufikiria ukitumia matako
Cdm hatari sana walimshawishi Magufuli awambie wakazi wakigamboni na wengine wanao tumia kivuko wapige mbizi kama hawawezi kulipa nauli.
Duh! Ulikuwa na lengo zuri la kueleza uchochezi wa chadema lakin kwa bahati mbaya sana huwezi kuunda na kuwasirisha hoja ikaeweka vizur jipange upya kabla ya kuropoka.