'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

Uda

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
811
624
'mlichochea' kina mgaya yakapita
'mkachochea' wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
'mkachochea' wamachinga wa mbeya mkayamaliza
'mmechochea' wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa 'kuchochea' waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!

hebu ona sasa haya ya uamsho na shekh Ponda!
 
Umesahau jinsi wanavyochochea Malawi wapigane na Tz!!!!!!!!!!!!! Duh, hawa wapinzani bwana, Sitta, Lowassa na Membe, acheni siasa, rudini C-C-M.
 
Ewe Binti UDA, hicho CHADEMA unachokizungumzia ni hiki ninachokifahamu au nyingine?

Lakini kama jibu lako ni hapana sasa basi watu tufike mahala tuanze kujiuliza ya kwamba hiki KILIO CHA MTU MZIMA kisichokua na kikomo huko CCM kwa CHADEMA kwa kila baya inayowakumba mwisho wake hadi lini?


mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!
Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!
 
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita m4c...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!

hawa chadema wamechochea hadi maisha yakawa magumu.
Kama haitoshi wakchochea chenge akwapue hela ya rada
wakachochea watu wachukue hela za epa
wakachochea "mwenye nyumba" achukue suti 5 ili auza eneo la ngorongoro
waka chochea hadi rada ya jnia haifanyi kazi
waka cyhochea dk ulimboka mabwepande
waka chochea hadi dowans/richmond waje wachukue mabilion
waka chochea mgao feki wa umeme
waka chochea adi twiga waka toroshwa

hawa chadema bana sijui ni vipi<
 
mtoa mada umesahau jk kasema kwamba chadema wamewachochea wamalawi... nahisi hata uamsho zenji ni CHadema???
 
Bado vurugu za mwembe chai.
Wamesababisha ule usemi wa maaisha bora kwa kila mtanzania ,nguvu zidina kasi zaidi kufutika ,kujiuzulu kwa baadhi ya mawaziri,kuweka makundi ndani ya CCM PIA KUCHOMA MAKANISA ZANZIBAR,Kwa mtaji huu basi CDM inangu na kama haina nguvu wanaogopa kuifuta au kuichukulia hatua husika
 
Duh basi hao jamaa watakua na pampu kubwa sana! Kha hata wale walioficha pesa nje ya nchi wamechochewa na CDM
 
UDA dada yangu mpenzi wewe ni mtafiti muhimu sana katika nchi yetu. Zile fedha za utafiti zilizotengwa kwenye bajeti waweza kupata hata nusu yake!
 
Huu ni mtazamo wa wavvu wa kufikiri, na umethbitisha hapa jamvini kuwa ww n mvivu wa kufikiri Mwalimu tangu 2007 walitishia kugoma, madaktar tangu 2001 wanagoma. Je ilikuwa ni chadema au kwa sababu chadema wamevunja ngome za magamba. Au n wafanyakazi kuchoka dhuluma kwa sababu wakubwa wanafaidika wao wanaumia.
 
Back
Top Bottom