simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,409
- 9,183
Uchawi unaanguka kwenye orodha ya matukio ambayo wanasayansi wanayaita paranormal phenomena/activity. Haya ni matukio ambayo hayaelezeki kisayansi au kwa kutumia uzoefu wetu wa kawaida. Mifano ya matukio haya:
-occult(uchawi)
-ghosts(majini)
-fortune telling(unajimu)
-hypnosis(kupumbaza)
-telepathy(kuwasiliana na wafu au mtu aliyopo mbali)
-miracles(miujiza)
-ufo(viumbe hai kutoka sayari nyengine)
Wanasayansi hadi hivi sasa wameorodhesha matukio na wapo njiani kuvumbua mbinu za utafiti utakaowawezesha kufahamu matukio haya ya ajabu. Mfano sayansi ya parapsychology na utafiti wa extra sensory perception.