Uchapakazi wa lowasa ni upi??

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Nimekuwa nikishangaa kila mtu anayemkubali mr mamvi anasema jamaa ni mchapakazi na kafanya mambo makubwa!ni yapi hayo jamani mambo makubwa, city water na shule za kata?naomba kujuzwa!
 
kubwa sana alilolifanya ni kujiuzulu kwa ajili ya kukinusuru chama chake na serikali ya swahiba.
 
Nimekuwa nikishangaa kila mtu anayemkubali mr mamvi anasema jamaa ni mchapakazi na kafanya mambo makubwa!ni yapi hayo jamani mambo makubwa, city water na shule za kata?naomba kujuzwa!
Yaulize masaburi yako yakujibu kwa kuwa aliye na macho haambiwi tazama! na pia wewe ni narrow minded sana kwa hiyo huwezi ukaona mazuri ya Lowassa. Bull shiiiiiiiit:A S embarassed:
 
Nyie watoto
ukristo wa lowassa unamtosha kabisa kuonyesha uchapakazi wake ulivyo imara nini zaidi mnataka
 
Nimekuwa nikishangaa kila mtu anayemkubali mr mamvi anasema jamaa ni mchapakazi na kafanya mambo makubwa!ni yapi hayo jamani mambo makubwa, city water na shule za kata?naomba kujuzwa!

nani wa kukujuza wakati uwezo wako wa kupokea mdogo?kama humkubali to hell.waache wanaomkubali waendelee.huwezi kuwa unajua ukweli halafu unataka kuujua.unachotaka kukijua kaulize kwa MS(jini mahaba)
 
Uchapakazi wake upo kwenye kuwaibia watanzania na kuwadanganya! Hana lolote huyo ni mwizi mkubwa wa Taifa hili.
 
nani wa kukujuza wakati uwezo wako wa kupokea mdogo?kama humkubali to hell.waache wanaomkubali waendelee.huwezi kuwa unajua ukweli halafu unataka kuujua.unachotaka kukijua kaulize kwa MS(jini mahaba)
Wewe ni jini Subiani, maana halipatani na jini Mahaba !
 
Back
Top Bottom