uchapaji kazi na utunzaji wa mali...................

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,274
20,673
Wana MMU wenzangu hebu leo tujaribu kuangalia hili katika mahusiano hasa wale ambao wako ndoani ama ambao wanamahusiano yanayowapeleka kuishi pamoja. Hivi karama ya uchapaji kazi na utunzaji wa mali alizobarikiwa mwenzio unazichukuliaje?
- je ni kama njia ya kuongeza kipato cha familia kwa ustawi a familia?
-je ni kama njia ya kuonyesha kuwa hajui mapenzi kwako
-je ni kama njia ya kuonyesha kutokukujali wewe
-je ni kama kitega uchumi ambacho wewe wategemea upatepo hela ukahonge
- je ni kama kitu cha kukufanya wewe urelax ukijua kuwa atafanya on your behalf.
ama ni kama nini?
 
Duh! yaelekea humu jf wengi ni wavivu ani mmenisusia kabisa?
 
#1 and 5. psychologically, ni vizuri ukijua kwamba ukishindwa kufanya kazi e.g. ajali/kupunguzwa nk, nyumba haitasimama na watoto wataendelea na shule. of coz hii haimaanishi uwe mvivu na kumuachia mkeo/mmeo jukumu la kuwa provider wa familia :D
 
Wana MMU wenzangu hebu leo tujaribu kuangalia hili katika mahusiano hasa wale ambao wako ndoani ama ambao wanamahusiano yanayowapeleka kuishi pamoja. Hivi karama ya uchapaji kazi na utunzaji wa mali alizobarikiwa mwenzio unazichukuliaje?

-je ni kama njia ya kuonyesha kuwa hajui mapenzi kwako
?
yaani hapa ulitaka kusema kua anatumia muda mwingi kutafuta mali na wewe hakujali au nini
 
possibly kama vile tunavyosikiaga watu wakilala mika labda mume yuko too much busy na kazi kiasi kwamba hakumbuki familia
 
#1 and 5. psychologically, ni vizuri ukijua kwamba ukishindwa kufanya kazi e.g. ajali/kupunguzwa nk, nyumba haitasimama na watoto wataendelea na shule. of coz hii haimaanishi uwe mvivu na kumuachia mkeo/mmeo jukumu la kuwa provider wa familia :D

sasa ma bro kabla hata ya kufikiria ugonjwa kuna wengine ni chapa kazi tu wewe akiwa huyu ni mkeo karama yake hii utaichukuliaje?
 
sasa ma bro kabla hata ya kufikiria ugonjwa kuna wengne ni chapa kazi tu wewe akiwa huyu ni mkeo katrama yake hii utaichukuliaje?
ingawa sijaelewa hilo neno, ninavyofahamu uchapa kazi ni sifa nzuri na inaleta ustawi kwenye familia. Hata watoto wakiona wazazi wanabidii watajituma zaidi kwenye masomo na maisha baadae. nisahihishe kama nimekosea na naomba tafsiri ya hilo neno :D
 
nilimanisha karama ngoja nirudi nikasahihishe. ila umepatia ila je hujanijibu swali wewe utamchukuliaje mpenzi wako akiwa mchapa kazi
 
asante. ntafurahi kama ni mchapa kazi, sababu #1 inahusika kwangu maana nimelelewa maisha ya mazuri kiuchumi na ningependa wanangu wakulie kwenye mazingira yanayofanana na hayo
 
je umewah kuwasikia wale wababa wanao abuse wake zao kisa ni wachapa kaazi? je wewe unawachukuliaje na nini ndio sababu?
 
Mara chache chache. kuna wanaume wanapenda wake zao wawategemee kwa kila kitu, hii ni either wivu uliopitiliza au anataka kujiona anaumuhimu kupita hali halisi (god complex). wengine wana roho za abuse na wanachukia mke mchapa kazi maana hawawezi kumcontrol completely. pia bad upbringing inachangia, kuna watu wanaamini mke ni dhaifu hata iweje hivyo wakikutana na mke tofauti wanachukia. Akiwa na mke asiyefanya kazi anamyanyasa maana (mke) humtegemea kwa kila kitu hivyo hajali mchango wake kwenye familia; akiwa na mke mchapa kazi anamyanyasa kwa vile hawezi kumcontroll, it's lose-lose situation kuwa na mwanaume kama huyu.
 
Kuwa na mtu mchapakazi ni faida kwa wote na maendeleo ya wote!

Kila binadamu anapenda kuwa na partner mchapa kazi,wengine wakisha onamwenzie ni mchapakazi yeye ana bweteka!
Na mwingine ana kuwa na matumizi yasiyo na tija kwa sababu hazi tafuti yeye?

Wakati mwingine tume kuwa busy sana na kusahau majukumu yetu kwa watu wa karibu, mwingine ana diriki kumwachia majukumu yake afanye house girl!

Mwisho wa siku ni kutoa machozi kwani tumeshindwa kutumia muda wetu vizuri.

Vivyo hivyo kwa wanaume tuna weza kuwa busy na kazi na kusahau majukumu yetu kwa wake zetu kwa kisingizio kuwa nyumbani nimeacha kila kitu, fridge imejaa, nimemwachia pesa za kutosha na kusahau tunatakiwa tutenge muda wa kubadirisha mawazo na wake zetu na kuzigeuza kazi zetu kama wake. Akitoka nje utasikia tunasema mwanamke huyu malaya kumbe sisi ndio tatizo.
 
thats why nikauliza hili swali manake mpaka sasa wanawake hawajui uchapa kazi wao wenziw ao wanauchukuliaje. wengine ukiwauliza watasema ni sehem tu ya majukaumu lakin kwanini yakawa yako pia hana jibu na hata anayepokea matokeo ya uwajibikaji huu naye hana maono anachukulia kama haki yake tu.
 
Kuwa na mtu mchapakazi ni faida kwa wote na maendeleo ya wote!

Kila binadamu anapenda kuwa na partner mchapa kazi,wengine wakisha onamwenzie ni mchapakazi yeye ana bweteka!
Na mwingine ana kuwa na matumizi yasiyo na tija kwa sababu hazi tafuti yeye?

Wakati mwingine tume kuwa busy sana na kusahau majukumu yetu kwa watu wa karibu, mwingine ana diriki kumwachia majukumu yake afanye house girl!

Mwisho wa siku ni kutoa machozi kwani tumeshindwa kutumia muda wetu vizuri.

Vivyo hivyo kwa wanaume tuna weza kuwa busy na kazi na kusahau majukumu yetu kwa wake zetu kwa kisingizio kuwa nyumbani nimeacha kila kitu, fridge imejaa, nimemwachia pesa za kutosha na kusahau tunatakiwa tutenge muda wa kubadirisha mawazo na wake zetu na kuzigeuza kazi zetu kama wake. Akitoka nje utasikia tunasema mwanamke huyu malaya kumbe sisi ndio tatizo.

my bro rutta hivi kwanini mara nyingi sana niny wababa huimbilia kuona wake zenu walio wachapa kazi kama ni watu waliopitwa na wakati tena siyo watu wa kuponda nao raha yaaani wako radhi kuchukua mali ndani na kwenda kutapanya na vimwana ambao ngozi ni nyororor kwasababu hawaumii katika kuzitafuta?
 
Last edited by a moderator:

hii kweli ni tabia ya wanaume tulio wengi na ina tokana na kuto wajali wake zetu ndio maana tunaona wmechoka na siunajua pema usijapo pema ukipema si pema tena.

Pia ina tokana na wanawake pia kuto jijali yan una mkuta mtu mchana kutwa na nguo ya kulalia mwingine ina fika hadi saa sita ata kuoga hajaoga kisingizio kazi zimemzidia au mazoea, sasa hii inatufanya wana ume tulio wengi kuvutiwa na wale wanao jiweka smart.
Unajua mwanaume hata kama yeye ni mchafu always ana penda kuwa na mwanamke anayejipenda.
 
nakushukuru sana rutta kwamba umeonyesha weakness ya mama kitu ambacho sisi tunakienda ili tujirekebishe ila je si umwambie mkeo kuwa hupendi?
 
Last edited by a moderator:
wanawake ni wazuri kwa ku keep na ku save
ukipata ambae sie 'shangingi la mjini la kurushana roho na wenzie'...

ndo maana wanaume wengi hufanikiwa after marriage..
 
nakushukuru sana rutta kwamba umeonyesha weakness ya mama kitu ambacho sisi tunakienda ili tujirekebishe ila je si umwambie mkeo kuwa hupendi?

kwangu mimi siwezi ni kamuacha mpaka ana fiko hapo, lazima ni mwambie.

Lakini kumbuka wanaume tunatofautiana wengine akiona wewe ni mchafu ana take advantage ya kutoka nje.

Na lazima ukubali kuna wanawake wahashauriki ni wabishi, ukimwambia ajirekebishe atasema kazi ndio zinasababisha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom