Uchangudoa

kashehe ukitoka huko, ukifika hm wife anataka tena kwa speed ya one twnty, na huko unakuwa umekula kwa uroho hzo mbga
hapo kwenye blue ni kwamba huwezi kula CD kwa uroho ni kimoja tu, akili ikikaa sawa unakimbia hutaki kumwona. Ila mie simo huko
 
Hivi kuna mahali wapo machangudoa wa kiume ambako wanawake nao waweze pata huduma ya chapu chapu?
hiyo niliiona Pretoria SA ila nadhani Bongo hakuna lakini hata Serengeti Boyz ni kama Changu wa kiume maana uwa wanalipwa
 
Wana raha yao, ingawa ni watu hatari pia. Yataka umakini......... Unaweza porwa kila kitu
 
Hawana mapenzi kazi yao ni moja tu ku***** Then wanakuwa hawana gharama za kuomba voucher, lunch, outing, nk
 
Wana raha yao, ingawa ni watu hatari pia. Yataka umakini......... Unaweza porwa kila kitu

Duh ebwanaeeeee!!!!!Nilikuwa sijui kama hiibiashara huko Dar inafanyika hivyo!!!!!Last Month nilitembelea baadhi ya maeneo nikahisi ni ndoto;1. Kinondoni karibu na Heart Institute ukipita na gari unakimbiliwa na wadada kibao mida ya usiku kuanzia saa mbili. Wanajiuza biola kujua wanamuuzia nani - Inatisha.2. Jolly Club barabarani wanajipanga wamulikwe na taa za magari, ukipunguza mwendo tu; wanakuja kwa fujo.3. Kariakoo barabara ya uhuru karibu na Keys Hotel (Kuna jimama flani white ni mwaka wa tatu sasa naliona hapo usiku) wanategea.4. Buguruni sokoni kwenye kituo cha daladala mbele ya bar wanajipanga kusubiri wateja. Ukiingia chooni unawakuta wanakusubiri ili uingie nao chumbani - wamehalalisha naona eneo hilo5. Buguruni nyuma ya soko NDIO BALAA ZAIDI. kUNA UCHOCHORO UKIPITA UNAWAKUTA WAMEJIPANGA MBELE YA VYUMBA VYAO HUKU MWANGA HAFIFU UKIWEPO NDANI KUASHIRIA UNAKARIBISHWA. HAWAFICHI KILA KITU KIPO WAZI KUWA WANAUZA K... NA YEYOTE ANARUHUSIWA. SIPATI PICHA WATU WA ENEO HILO NA WATOTO WAO WANAKUWA KATIKA HALI GANI MAANA KILA KITU KIPO DHAHIRI.5.
 
CHANGUDOA - Siyo mwanamke tu..wapo KAKAPOA!! Hawa ni wanaume wanaojiuza kwa wanaume wenzao na wengine kwa wanawake
 
Duh ebwanaeeeee!!!!!Nilikuwa sijui kama hiibiashara huko Dar inafanyika hivyo!!!!!Last Month nilitembelea baadhi ya maeneo nikahisi ni ndoto;1. Kinondoni karibu na Heart Institute ukipita na gari unakimbiliwa na wadada kibao mida ya usiku kuanzia saa mbili. Wanajiuza biola kujua wanamuuzia nani - Inatisha.2. Jolly Club barabarani wanajipanga wamulikwe na taa za magari, ukipunguza mwendo tu; wanakuja kwa fujo.3. Kariakoo barabara ya uhuru karibu na Keys Hotel (Kuna jimama flani white ni mwaka wa tatu sasa naliona hapo usiku) wanategea.4. Buguruni sokoni kwenye kituo cha daladala mbele ya bar wanajipanga kusubiri wateja. Ukiingia chooni unawakuta wanakusubiri ili uingie nao chumbani - wamehalalisha naona eneo hilo5. Buguruni nyuma ya soko NDIO BALAA ZAIDI. kUNA UCHOCHORO UKIPITA UNAWAKUTA WAMEJIPANGA MBELE YA VYUMBA VYAO HUKU MWANGA HAFIFU UKIWEPO NDANI KUASHIRIA UNAKARIBISHWA. HAWAFICHI KILA KITU KIPO WAZI KUWA WANAUZA K... NA YEYOTE ANARUHUSIWA. SIPATI PICHA WATU WA ENEO HILO NA WATOTO WAO WANAKUWA KATIKA HALI GANI MAANA KILA KITU KIPO DHAHIRI.5.

Hongera sana! Inaelekea wewe ni mteja wao mkubwa vinginevyo usingejua vijiwe vyao vyote! Watu kama wewe ndio huifanya biashara hii kushamiri halafu mnakuja hapa na kuwasagia machangudoa. Wengine mtakuta mmesomeshwa kwa biashara hii hii halafu leo mnawatukana!
 
Kula kila siku chakula kimoja kinachosha sio utani, ni vema na busara kwenda kupata radha tofauti, ukirudi unaipenda ya home.
 
Back
Top Bottom